Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 34
    1. #1
      Ng'azagala's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 7th June 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 990
      Rep Power : 757
      Likes Received
      79
      Likes Given
      299

      Default Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Nilimsikia Naibu Waziri wa Elimu Mh Mwantumu Mahiza akiongea na wanafunzi wa ualimu kule Songea (source TBC Taifa jana jioni).
      Aliulizwa kuhusu mishahara midogo wanayolipwa walimu. Alijibu kuwa wale wanafunzi wasioridhika ni mishahara ya ualimu watafute kozi nyingine ili wapate hizo kazi zinazolipa zaidi. Na pia hata wale walimu wasioridhika na mishahara pia watafute kazi nyingine na sio kufanya migomo, kwani hata wao (mawaziri nafikiri) wakigoma itakuwaje?

      Nilisikitika mno na kauli ile na nilijiulizi hivi
      Serikali na wananchi tunalalamika sana kuhusu uhaba wa waalimu na pia mishahara midogo wanayolipwa hawa wachache ukiacha na haki nyingi wanazonyimwa. Je huyu Naibu Waziri anapata wapi kiburi cha kuwaambia walimu watafute kazi nyingine zitakazo walipa?
      Alisema walimu wananzia kulipwa kama laki mbili hivi ambazo hazijakatwa kodi. Je huyu Naibu Waziri ameshafanya kautafiti kuona kuwa hiyo inawatosha kuwafanya wasilalamike?
      Huyu ni Naibu Waziri wa ELIMU ambaye tunamtegemea asimamie vizuri Elimu yetu wa Tanzania iliyojaa matatizo. Badala ya kuwapa moyo walimu wanaoumia kwa kulitumikia Taifa kwa kujitolea, angalau kwa kuwaahidi kushughulikia matatizo ya Elimu, sasa anaongea kama mtu wa kijiweni.
      Sijui CV ya huyu Naibu lakini nafikiri tunamatatizo makubwa na uwezo wa baadhi ya mawaziri wetu.

      Hizi kauli MBOFU MBOFU kutoka kwa viongozi wetu zitakoma lini?

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,195
      Rep Power : 2094
      Likes Received
      1233
      Likes Given
      313

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      nimesikitishwa sana na kauli zake..huyu ni miongoni mwa mawaziri hovyo kabisa
      ______________________________ _
      Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

    4. #3
      Mpogoro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th December 2008
      Location : Mahenge
      Posts : 363
      Rep Power : 605
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Kifupi huyu mama hana shule...mtu ani-prove wrong...nasikia alikuwa mwalimu wa shule ya msingi moja hapa jijini na haijulikani ni lini alijiendeleza kielimu...???@#$%^
      Patience has its limits, take it too far and it's cowardice--Holbrook Jackson

    5. #4
      libidozy's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th July 2009
      Posts : 56
      Rep Power : 513
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Huyu mama alikuwa mwalimu mkuu msaidizi shule aliyokuwa anafundisha mama Salma Kikwete,mara baada ya JK kuchukua utamu wa nchi,Salma alimwomba mumewe ampe fadhila Mwantumu kwavile alikuwa anamsaidia kumwandikia 'notes' za masomo ya kufundishia wakati yeye Salma akiwa safarini na mumewe.Hivyo kilichotumika hapo ni fadhila na si kigezo cha elimu kilichomfanya JK amteuwe Mwantumu kuwa mbunge na baadae naibu waziri.

    6. #5
      kimatire's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2008
      Location : Sydine- St. Roix's
      Posts : 349
      Rep Power : 608
      Likes Received
      43
      Likes Given
      20

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Jamani hawa ndo mawaziri wa Muungwana eti,Huyu mama ni mtu wa mtaani sana kwani hamjui kuwa mume wake ni swahiba wa mwenye nchi??Hana lolote la kuwaambia wananchi kumbukeni kesi ya Mnally kuwalamba waalimu viboko alisemaje huyu?
      Waalahi nawaambia wanafunzi waliomuuliza hilo swali ni bora zaidi sana kuliko yeye kwenye upstairs !!!Ni waziri kidole juu tu hamna zaidi.
      I smile because I don't know what the hell is going on.

    7. Miaka 50

    8. #6
      HM Hafif's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th August 2009
      Posts : 1,372
      Rep Power : 771
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      maskini akipata .........

    9. #7
      Ng`wanakidiku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2009
      Posts : 1,128
      Rep Power : 739
      Likes Received
      216
      Likes Given
      395

      Cool Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Inasikitisha sana, unajua watu husaha kuwa kila tulichonacho kimetoka kwa mungu, na kila binadam anahitaji maisha bora na si ili mradi, nadhani huyu mama mungua atamuona na kumuadhibu kivyake, na ikishindikana basi kizazi chake kitakiona cha moto. Walimu ndo chanzo cha WWW.JAMIIFORUMS.COM, je bila hao walimu wa shule za msingi kuwa wavumilivu tungefika hapa.

    10. #8
      Kuntakinte's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2007
      Location : Matombo, Morogoro
      Posts : 796
      Rep Power : 772
      Likes Received
      4
      Likes Given
      4

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By mpogoro
      Kifupi huyu mama hana shule...mtu ani-prove wrong...1. nasikia alikuwa mwalimu wa shule ya msingi moja hapa jijini na haijulikani ni lini alijiendeleza kielimu...???@#$%^

      1. nilidhani unaushahidi mkuu

      2.ni kweli yawezakuwa hafai kulingana na maneno yako kama ufanisi wa mtu tunaupima kwa elimu peke yake lakini kiukweli nafikiri anauzoefu na wizara pamoja na nyanja yote ya ualimu na walimu ingawa ninaweza kukubali kwamba muda mwingine majibu anayotoa yanakuwa hayatoshelezi wapinzani.

      unaweza kugonga kwenye link nitaiweka mwishoni kuona experience aliyonayo na kama unafikiri elimu ya kuwa na madegree pekee ndio kigezo basi kuanzia uhuru tungekuwa na raisi professor mpk sasa na kama La basi tukubali kwamba elimu pekee sio kigezo cha kumsiliba huyu mama. (Ni mawazo yangu tuu)

      http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=321
      "Mwisho wa ubaya Aibu"

    11. #9
      Vakwavwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th May 2009
      Posts : 486
      Rep Power : 607
      Likes Received
      79
      Likes Given
      111

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Ng'azagala
      Nilimsikia Naibu Waziri wa Elimu Mh Mwantumu Mahiza akiongea na wanafunzi wa ualimu kule Songea (source TBC Taifa jana jioni).
      Aliulizwa kuhusu mishahara midogo wanayolipwa walimu. Alijibu kuwa wale wanafunzi wasioridhika ni mishahara ya ualimu watafute kozi nyingine ili wapate hizo kazi zinazolipa zaidi. Na pia hata wale walimu wasioridhika na mishahara pia watafute kazi nyingine na sio kufanya migomo, kwani hata wao (mawaziri nafikiri) wakigoma itakuwaje?

      Nilisikitika mno na kauli ile na nilijiulizi hivi
      Serikali na wananchi tunalalamika sana kuhusu uhaba wa waalimu na pia mishahara midogo wanayolipwa hawa wachache ukiacha na haki nyingi wanazonyimwa. Je huyu Naibu Waziri anapata wapi kiburi cha kuwaambia walimu watafute kazi nyingine zitakazo walipa?
      Alisema walimu wananzia kulipwa kama laki mbili hivi ambazo hazijakatwa kodi. Je huyu Naibu Waziri ameshafanya kautafiti kuona kuwa hiyo inawatosha kuwafanya wasilalamike?
      Huyu ni Naibu Waziri wa ELIMU ambaye tunamtegemea asimamie vizuri Elimu yetu wa Tanzania iliyojaa matatizo. Badala ya kuwapa moyo walimu wanaoumia kwa kulitumikia Taifa kwa kujitolea, angalau kwa kuwaahidi kushughulikia matatizo ya Elimu, sasa anaongea kama mtu wa kijiweni.
      Sijui CV ya huyu Naibu lakini nafikiri tunamatatizo makubwa na uwezo wa baadhi ya mawaziri wetu.

      Hizi kauli MBOFU MBOFU kutoka kwa viongozi wetu zitakoma lini?
      nimeona taarifa hii,nilisikitika sana kuona mtu wa level yake anaweza kujibu kama mtu wa mtaani.....alikuwa na point kwa alichokuwa anakizungumza kwa maana ya kwamba nchi profession nyingi hazilipwi inavyostahili. lakini alivyojibu kwa kwa ukali ni kama vile anamjibu mwanae alikuwa anakaripia!!!!hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo. baadhi ya nukuu ni ''kwa mlio mwaka wa kwanza hamjachelewa ondokeni mkasomee kazi zingine na hata nyie wa mwaka wa pili badilisheni kazi mkafanye zinazolipa zaidi'' mawaziri kama hawa ni mzigo kwa serikali...

    12. #10
      Ng'azagala's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 7th June 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 990
      Rep Power : 757
      Likes Received
      79
      Likes Given
      299

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Kuntakinte
      1. nilidhani unaushahidi mkuu

      2.ni kweli yawezakuwa hafai kulingana na maneno yako kama ufanisi wa mtu tunaupima kwa elimu peke yake lakini kiukweli nafikiri anauzoefu na wizara pamoja na nyanja yote ya ualimu na walimu ingawa ninaweza kukubali kwamba muda mwingine majibu anayotoa yanakuwa hayatoshelezi wapinzani.

      unaweza kugonga kwenye link nitaiweka mwishoni kuona experience aliyonayo na kama unafikiri elimu ya kuwa na madegree pekee ndio kigezo basi kuanzia uhuru tungekuwa na raisi professor mpk sasa na kama La basi tukubali kwamba elimu pekee sio kigezo cha kumsiliba huyu mama. (Ni mawazo yangu tuu)

      http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=321
      Nashukuru nimeiona hiyo link, elimu yake ni Diploma ya Chang'ombe, na kabla hajawa Waziri alikuwa headteacher wa Primary

      Lakini kama alikuwa mwalimu, amepitia kwenye mazingira magumu sana na anajua hali ya huko, inakuwaje anakuwa waziri anatoa lugha mbovu hivyo? hapa TZ hakuna options za ajira nyingi namna hiyo naye anajua.

      Wananchi tunapaswa kubadilika, mtu akitoa lugha kama hiyo tusikubali kirahisi.

    13. #11
      Kuntakinte's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2007
      Location : Matombo, Morogoro
      Posts : 796
      Rep Power : 772
      Likes Received
      4
      Likes Given
      4

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Ng'azagala
      Nashukuru nimeiona hiyo link, elimu yake ni Diploma ya Chang'ombe, na kabla hajawa Waziri alikuwa headteacher wa Primary

      Lakini kama alikuwa mwalimu, amepitia kwenye mazingira magumu sana na anajua hali ya huko, inakuwaje anakuwa waziri anatoa lugha mbovu hivyo? hapa TZ hakuna options za ajira nyingi namna hiyo naye anajua.

      Wananchi tunapaswa kubadilika, mtu akitoa lugha kama hiyo tusikubali kirahisi.
      Point of Correction......Diploma ya Chang'ombe ni mwaka 1987 mkuu na baada ya hapo zilikuwepo nyingine tena zenye exposure ndani yake.

      pili hakuwa headteacher kabla ya uwaziri kama ulivyosema mkuu alikuwa MWENYEKITI WA UMOJA WA WALIMU WAKUU WA SHULE ZA MSINGI DAR ES SALAAM NA SASA NI AFRICA MASHARIKI KWA UJUMLA WAKE
      "Mwisho wa ubaya Aibu"

    14. #12
      Bluray's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2008
      Posts : 3,450
      Rep Power : 1273
      Likes Received
      26
      Likes Given
      0

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      The fallacy of this hubris is not only in it's content, but also, and some would say even more, in it's delivery.

      The inviting dilemma, of whether to be mad because the junior minister lacked common courtesy and diplomatic language among many other things, or to be happy that this woman is such a nincompoop to have exposed herself openly like a person undressed -to the dismay of Tanzania watchers- is obvious.

      What if, in theory at least, all the teachers were to decide that the profession is not rewarding enough materially? What alternative does the bravura of this modern day Mary Antoinette offer?

      Many of these aspiring teachers have no option for other employment opportunities.Isn't this our very own case of "If you don't have bread eat cake"?

      As the saying goes, it would be funny if it wasn't so tragic.
      The Singularity is Near.

    15. #13
      Mvina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Posts : 972
      Rep Power : 693
      Likes Received
      19
      Likes Given
      13

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By HM Hafif
      maskini akipata .........
      Mkuu nanii hulia mbwata.
      Zito alikuwa sahihi kusema hawa wanaoitwa mawaz. wanajibu mbofumbofu tu.

    16. #14
      Gudboy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th August 2009
      Location : DSM
      Posts : 805
      Rep Power : 659
      Likes Received
      9
      Likes Given
      10

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      alikua sahihi kabisa kuwaambia ukweli, tatizo sisi watanzania tunapenda sana kudanganywa, na mtu anaposema ukweli hapo hapo anaonekana mbaya. Aliwaambia vile makusudi ili wafanyane kitu kingine mapema kabla hawajaingia kwenye huo ualimu. Hebu niambie ni mangapi serikali imeahidi lakini hayajatekelezwa? Kwa mtazamo wangu ni bora mtu anieleze ukweli kuliko kunidanganya, sasa hata hao watakao ingia kwenye huo ualimu, wajue kuwa hauna mshahara mkubwa na hivyo hana haja ya kugom. Hata hivyo hebu niambie serikali mtumishi mwenye degree analipwa sh. ngapi? kama sio 308,000 ni ngapi? sasa wewe mwl. mwenye cheti unataka alipwe 500,000? tusiwe tunazungumza ilimradi kuzungumza, pia tunatakaiwa kuangalia na sehemu nyingine. hata hivyo mtu hata akilpwa 10,000,000 bado ataklalamika hazitoshi......... ni mtazamo wangu tu

    17. #15
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,525
      Rep Power : 1798
      Likes Received
      655
      Likes Given
      0

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Kama amepitia huko angetafuta jinsi ya kuwajibu walimu kwa kuwapooza na kuwapa moral wa kazi ngumuuu sana wanaifanya.....ila jibu alilotoaa atakuja kulijutiaa sana akija kutoka hapo alipobebwa na kuwekwa....ni ulimbukeni tuu...hakuna kingine
      "No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK"

    18. #16
      agika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2009
      Posts : 385
      Rep Power : 584
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Gudboy
      alikua sahihi kabisa kuwaambia ukweli, tatizo sisi watanzania tunapenda sana kudanganywa, na mtu anaposema ukweli hapo hapo anaonekana mbaya. Aliwaambia vile makusudi ili wafanyane kitu kingine mapema kabla hawajaingia kwenye huo ualimu. Hebu niambie ni mangapi serikali imeahidi lakini hayajatekelezwa? Kwa mtazamo wangu ni bora mtu anieleze ukweli kuliko kunidanganya, sasa hata hao watakao ingia kwenye huo ualimu, wajue kuwa hauna mshahara mkubwa na hivyo hana haja ya kugom. Hata hivyo hebu niambie serikali mtumishi mwenye degree analipwa sh. ngapi? kama sio 308,000 ni ngapi? sasa wewe mwl. mwenye cheti unataka alipwe 500,000? tusiwe tunazungumza ilimradi kuzungumza, pia tunatakaiwa kuangalia na sehemu nyingine. hata hivyo mtu hata akilpwa 10,000,000 bado ataklalamika hazitoshi......... ni mtazamo wangu tu
      usisahau tu huyo mwalimu ndiye aliyekupa jeuri ya kuongelea degree leo hapa Jamiii Forum, so at least unaona umuhimu wake...........
      either hujui chochote kuhsu maisha ya waalimu tanzania or u r dumb
      ---------------------
      " To the Degree that you believe you will achieve"

    19. #17
      Kibongoto's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th August 2009
      Posts : 232
      Rep Power : 545
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Gudboy
      alikua sahihi kabisa kuwaambia ukweli, tatizo sisi watanzania tunapenda sana kudanganywa, na mtu anaposema ukweli hapo hapo anaonekana mbaya. Aliwaambia vile makusudi ili wafanyane kitu kingine mapema kabla hawajaingia kwenye huo ualimu. Hebu niambie ni mangapi serikali imeahidi lakini hayajatekelezwa? Kwa mtazamo wangu ni bora mtu anieleze ukweli kuliko kunidanganya, sasa hata hao watakao ingia kwenye huo ualimu, wajue kuwa hauna mshahara mkubwa na hivyo hana haja ya kugom. Hata hivyo hebu niambie serikali mtumishi mwenye degree analipwa sh. ngapi? kama sio 308,000 ni ngapi? sasa wewe mwl. mwenye cheti unataka alipwe 500,000? tusiwe tunazungumza ilimradi kuzungumza, pia tunatakaiwa kuangalia na sehemu nyingine. hata hivyo mtu hata akilpwa 10,000,000 bado ataklalamika hazitoshi......... ni mtazamo wangu tu
      Kwahiyo? Suggest, what should be done?

    20. #18
      Magezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2008
      Posts : 2,654
      Rep Power : 1073
      Likes Received
      33
      Likes Given
      50

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Kuntakinte
      1. nilidhani unaushahidi mkuu

      2.ni kweli yawezakuwa hafai kulingana na maneno yako kama ufanisi wa mtu tunaupima kwa elimu peke yake lakini kiukweli nafikiri anauzoefu na wizara pamoja na nyanja yote ya ualimu na walimu ingawa ninaweza kukubali kwamba muda mwingine majibu anayotoa yanakuwa hayatoshelezi wapinzani.

      unaweza kugonga kwenye link nitaiweka mwishoni kuona experience aliyonayo na kama unafikiri elimu ya kuwa na madegree pekee ndio kigezo basi kuanzia uhuru tungekuwa na raisi professor mpk sasa na kama La basi tukubali kwamba elimu pekee sio kigezo cha kumsiliba huyu mama. (Ni mawazo yangu tuu)

      http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=321
      Hapa mkuu hakuna kitu, kutoka headteacher wa primary school to deputy minister!! aaaaah....

      Mzee hapa lazima kuna jambo tu!!!!! Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa ni klaza tu!!!

    21. #19
      Magezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2008
      Posts : 2,654
      Rep Power : 1073
      Likes Received
      33
      Likes Given
      50

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Gudboy
      alikua sahihi kabisa kuwaambia ukweli, tatizo sisi watanzania tunapenda sana kudanganywa, na mtu anaposema ukweli hapo hapo anaonekana mbaya. Aliwaambia vile makusudi ili wafanyane kitu kingine mapema kabla hawajaingia kwenye huo ualimu. Hebu niambie ni mangapi serikali imeahidi lakini hayajatekelezwa? Kwa mtazamo wangu ni bora mtu anieleze ukweli kuliko kunidanganya, sasa hata hao watakao ingia kwenye huo ualimu, wajue kuwa hauna mshahara mkubwa na hivyo hana haja ya kugom. Hata hivyo hebu niambie serikali mtumishi mwenye degree analipwa sh. ngapi? kama sio 308,000 ni ngapi? sasa wewe mwl. mwenye cheti unataka alipwe 500,000? tusiwe tunazungumza ilimradi kuzungumza, pia tunatakaiwa kuangalia na sehemu nyingine. hata hivyo mtu hata akilpwa 10,000,000 bado ataklalamika hazitoshi......... ni mtazamo wangu tu
      wewe ni pumbafu kabisa, huna tofauti na chiligati

    22. #20
      Kuntakinte's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2007
      Location : Matombo, Morogoro
      Posts : 796
      Rep Power : 772
      Likes Received
      4
      Likes Given
      4

      Default Re: Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

      Quote By Skills4Ever
      Kama amepitia huko angetafuta jinsi ya kuwajibu walimu kwa kuwapooza na kuwapa moral wa kazi ngumuuu sana wanaifanya.....ila jibu alilotoaa atakuja kulijutiaa sana akija kutoka hapo alipobebwa na kuwekwa....ni ulimbukeni tuu...hakuna kingine
      Mkuu heshima mbele, sijakupata sawa hapo kwenye bold..kwa maana angewadanganya au angewapiga siasa na kukwepesha ukweli ama...?
      "Mwisho wa ubaya Aibu"

    Similar Topics

    1. CV ya naibu waziri!
      By Jamberi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 15
      Last Post: 1st April 2013, 13:54
    2. Walimu wataka Waziri awajibike wizi wa malipo kwa walimu hewa
      By Pdidy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 4th June 2009, 18:15
    3. Picha: Bweni lililomliza Naibu Waziri Mahiza Tanga
      By Mzee Mwanakijiji in forum Jamii Photos
      Replies: 56
      Last Post: 21st May 2009, 15:04
    4. Ajali ya ndege Kenya yaua Waziri na Naibu Waziri
      By Nemesis in forum Kenyan News
      Replies: 4
      Last Post: 11th June 2008, 14:46
    5. Naibu Waziri Mkuu?
      By Mzee Mwanakijiji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 7
      Last Post: 11th February 2008, 12:04

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...