Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Emmanuel Severre & The Tanzania Hunting "Cartel"

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      Lifer's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th January 2007
      Location : Arusha
      Posts : 30
      Rep Power : 636
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Serious business
      Attached Files
      Last edited by Lifer; 11th September 2007 at 18:13.

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Power to the People's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 370
      Rep Power : 681
      Likes Received
      17
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By Lifer
      None None None
      This is my first time in this forum na nimeingia baada ya kusoma skandali hii ya maliasili. Kweli mtu kama huyu Severe anaweza kujiita mwanamazingira? Na kwa nini watu kama hawa wanaendelea kuwepo katika nyadhifa zao? Mimi nafanya kazi katika industry hii ya natural resources na utalii asilimia kubwa ya yaliyosemwa katika hiyo dokumenti ni ya kweli kabisa.

      Wabongo wengi wanafanya kazi katika mazingira magumu sana wanaishiwa kulipwa pocket change. Na wageni wengi wanaokuja kwa ajili ya utalii wanatoa pesa nyingi sana kama tips lakini hawa wazimbabwe na makaburu weupe wanaishia kuwapunja wabongo wanaofanya kazi kama robots wanaambulia kulipwa kama vibarua. this is not fair na mimi nasema lazima tubadilishe mitazamo yetu katika kila jambo. Hawa viongozi tunaowachagua halafu wanabebanbebana ili kurudishiana favours watatucost vibaya na kutuingiza shidani. lakini pia kuongeza kiasi cha ada hakutasaidia lolote pesa hiyo itaishia kwenye mifuko ya kina severe am wrong jamani

    4. Miaka 50

    Similar Topics

    1. Replies: 402
      Last Post: 8th May 2012, 19:04
    2. Replies: 3
      Last Post: 17th March 2011, 09:20
    3. Replies: 0
      Last Post: 9th February 2011, 04:50
    4. Emmanuel Severre & The Tanzania Hunting "Cartel"
      By Lifer in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 3rd July 2007, 22:44

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...