Show/Hide This

  Topic: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

  Report Post
  Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 164
  1. silent lion's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2012
   Posts : 333
   Rep Power : 523
   Likes Received
   71
   Likes Given
   0

   Default Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema Sheikh Soraga amemwagiwa tindi kali na watu wasiojulikana asubuhi ya leo wakati akiwa katika mazoezi.

   hivi sasa inasemekana yuko njiani kuelekea Dar kwa matibabu.

   Sheikh Soraga ni pro-government na ni 'critic' mkubwa wa Uamsho. Katika hotuba yake ya Sala ya Iddi, aliiponda sana jumuiya hii. Sasa whether there is causal relationship between the two, ni kazi ya vyombo vya dola kung'amua

   -------------------UPDATE-----------------------
   Quote By abdulahsaf View Post   Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
   Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akipandishwa kwenye Gari ya Wagonjwa kwa lengo la kuwahishwa katika Hospitali ya Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
   Wananchi mbalimbali wakishuhudia Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akiwahishwa katika Hospitali ya Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.

   PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


   Imewekwa na MAPARA at 10:30 AM
   mungelehumphrey likes this.


  2. mauro's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th November 2011
   Posts : 106
   Rep Power : 491
   Likes Received
   29
   Likes Given
   74

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu...ukishaanza kula huwezi acha." Mwl J.K Nyerere sasa watatafunana wenyewe kwa wenyewe.

  3. Kibunango's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2006
   Location : Tampere
   Posts : 7,453
   Rep Power : 44352
   Likes Received
   873
   Likes Given
   2642

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Quote By mpalu View Post
   jamhuri ya pemba Vs. jamhuri ya unguja
   Hakuna kitu kinachoitwa Jamhuri ya Pemba! Usipotoshe umma.
   Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
   But, if you think again, neither does milk."
   Vituko Vya Zenj

  4. Kagosaki's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th February 2010
   Posts : 208
   Rep Power : 997
   Likes Received
   54
   Likes Given
   75

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Wamekula ya mbuzi, wakaota mapembe!

  5. shizukan's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th January 2011
   Posts : 1,160
   Rep Power : 935
   Likes Received
   544
   Likes Given
   219

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Hii ni vita ya kutaka kumrudisha mwarabu atawale visiwa vya Kara-Fuu
   "You know you are in Tanzania whenyour president believes traffic jam is anindicator of development!" Dr. Wilbrod Peter Slaa

  6. Mzito Kabwela's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : MPUMBULI
   Posts : 12,642
   Rep Power : 172390668
   Likes Received
   2487
   Likes Given
   20

   Default

   Quote By Tumaini Makene View Post
   Mkuu

   Hapa umehukumu bila kuwa umesikiliza au kusoma vyema na kuelewa. Msome mwanzisha maada vizuri...
   Ndugu yangu, rafiki yangu na kamanda wangu Makene achana na thread zenye uelekeo huu, tuachie sisi tubwabwaje, usije ukaingia mtegoni kaka
   controler likes this.


  7. #26
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 3,529
   Rep Power : 1874
   Likes Received
   801
   Likes Given
   77

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,sasa wao kwa wao.falsafa za baba wa Taifa zimeanza kuonekana kiuhalisia, hiyo imetulia.

  8. Mtoto wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2009
   Posts : 753
   Rep Power : 731
   Likes Received
   63
   Likes Given
   23

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Jamani hebu tuache kuwabeza hata wanao taka amani , shekhe yuko against hao uamsho na ndio maana amekuwa attacked . Mungu amlinde na amjalie afya njema apone upesi.
   Money Stunna likes this.

  9. Mzito Kabwela's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : MPUMBULI
   Posts : 12,642
   Rep Power : 172390668
   Likes Received
   2487
   Likes Given
   20

   Default

   Quote By mauro View Post
   Dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu...ukishaanza kula huwezi acha." Mwl J.K Nyerere sasa watatafunana wenyewe kwa wenyewe.
   Mkuu naona roho yako kwatuuuuu!

  10. Mr.Mak's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd February 2011
   Posts : 1,551
   Rep Power : 824
   Likes Received
   256
   Likes Given
   109

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Quote By jamii01 View Post
   Baada ya kuchoma makanisa wameamia sasa wao kwa wao..
   Ama kweli wewe ndio kibaraka wa propaganda. naona ulipigwa propaganda na ikakushika sana. Yaani mpaka leo hii uelewa wako ni kuwa makanisa yalichomwa na waislam? Kama ni kuyachoma kwanini iwe leo? Unajua kama kamati ya uchunguzi iliundwa na ripot ilisha kamilika? kwanini hawataji majina ya waliohusika kuchoma? na matokeo yake walitangaza kuwa serikali itayajenga? Ebu jitahidi akili yako kuwa unaiachia free ili upate mwenyewe binafsi kuyawaza mambo kwa upeo wako wa akili na si kupigiwa tu ngoma nawe ukaanza kuicheza.

  11. altaaf's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th September 2009
   Posts : 135
   Rep Power : 612
   Likes Received
   27
   Likes Given
   45

   Default BREAKING NEWSSSS !!!!!!!!!!!!! msaidizi mufti amwagiwa tindi kali zaznibar.

   Msaidizi zanzibar amwagiwa tindi kali (acid ) na watu wasiojulikana . Msaidizi huyu tayari amesafirishwa Dar es salaam kwa matibabu zaidi. mufti inasemekana alikua akijifanyia mazoezi alfajiri katika viwanja vya mwana kwerekwe karibu na nyumbani kwake. habari kamili zitafuata mida mida.


   Click image for larger version. 

Name:	soraga.jpg 
Views:	0 
Size:	200.7 KB 
ID:	70436

  12. Nicole's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th September 2012
   Posts : 4,284
   Rep Power : 1352
   Likes Received
   2487
   Likes Given
   2312

   Default Re: BREAKING NEWSSSS !!!!!!!!!!!!! msaidizi mufti amwagiwa tindi kali zaznibar.

   Part II ya Sinema ileeee imeanza

  13. cacico's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2012
   Location : DSM
   Posts : 8,249
   Rep Power : 94738
   Likes Received
   7490
   Likes Given
   5876

   Default Re: BREAKING NEWSSSS !!!!!!!!!!!!! msaidizi mufti amwagiwa tindi kali zaznibar.

   hivi hawa watu wa hii dini walirogwa na nani??? ramadhan igondu, hemed msangi! ni majina yale yale ya ile imani yanayopenda kutoa uhai wa watu hovyo! hebu nipite hapa!
   "the problem is not me! the problem is you understading me!"

  14. kisilo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th October 2012
   Posts : 121
   Rep Power : 448
   Likes Received
   29
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By zodiac View Post
   Wazee wa tindikali wameanza!!! Unajua hii dhambi ya chuki waliyoippanda huwa inawasumbua sana. Sasa walichinja yule koplo Said, leo tindikali kwa sheikh!!!! Huu ni mfano hai, angalia kinachotokea Syria, kilichitokea Lebanon, angalia yanayotokea Sudan, Somalia et al. Its better to preach peace rather than cowardness!!! Mbaya sana. Kwa kweli visasi ni vibaya sana, yani mtu ukizoea kuishi kwa visasi haya huwa matokeo yake maana na wale wafuasi wa huyo sheikh nao watamsaka aliyefanya hilo tendo na kumchinja sijui, then itakuwa malipizano tu!! Watu mnaishi kama wanyama bana! Mungu awjaalie hekima na busara sio maliizi.
   Asante mkuu nadhan una PhD ya hekima.caocao.

  15. Mvaa Tai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2009
   Location : Kunduchi
   Posts : 4,701
   Rep Power : 33508
   Likes Received
   2154
   Likes Given
   1684

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   UAMSHO tusipoibana mapema hawna tofauti na ALQAEDA, BOKOHARAM NA ALSHABAB
   Mke wa mtu si sumu vinginevyo binaadamu wangebaki wachache sana duniani

  16. snochet's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st March 2011
   Location : East Nowhere
   Posts : 1,171
   Rep Power : 902158
   Likes Received
   669
   Likes Given
   642

   Default Re: BREAKING NEWSSSS !!!!!!!!!!!!! msaidizi mufti amwagiwa tindi kali zaznibar.

   Quote By Ciello View Post
   Part II ya Sinema ileeee imeanza
   alafu sinema lenyewe halina stelingi,kila actor jambazi

  17. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 11,631
   Rep Power : 118916054
   Likes Received
   3196
   Likes Given
   1888

   Default Katibu wa mufti Zanzibar amwagiwa tindikali

   Breaking news: Katibu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Suleiman Fadhil Soraga, amemwagiwa tindi kali asubuhi hii na hali yake si nzuri amekimbizwa katika Hospitali Kuu ya Taifa ya rufaa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.

   Source: group la radio imaan facebook

  18. artorius's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th January 2012
   Posts : 764
   Rep Power : 617
   Likes Received
   161
   Likes Given
   0

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   hii itakuwa conc.sulphuric acid nini?this is an act of terror..

  19. #38
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 17,114
   Rep Power : 429500514
   Likes Received
   7290
   Likes Given
   6377

   Default Re: Katibu wa mufti Zanzibar amwagiwa tindikali

   Pole zake sana, apumzike kwa amani. Atapona tu ndio maombi yetu
   "The Lord will fight my case and I shall hold my peace".Exodus 14:14

  20. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 49,519
   Rep Power : 429507009
   Likes Received
   18306
   Likes Given
   1490

   Default Re: Katibu wa mufti Zanzibar amwagiwa tindikali

   Uamsho?

  21. Kennedy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2011
   Location : Everywhere
   Posts : 7,208
   Rep Power : 701784
   Likes Received
   1513
   Likes Given
   3200

   Default re: Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

   Get well sorry.


  Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...