Katibu wa BAKWATA mkoani Arusha bwana AbdulKarim Jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha hivi sasa yuko hoi katika hospitali ya Mount Meru.
Chanzo: Wapo Radio
Katibu wa BAKWATA mkoani Arusha bwana AbdulKarim Jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha hivi sasa yuko hoi katika hospitali ya Mount Meru.
Chanzo: Wapo Radio
Duuuu...kisa nn mkuu?
Nijuze zaidi plizzz...
Hivi BAKWATA watu wanalazimishwa kuwa chama lao au?
Mhh!! Shughuli imeanza. Ila nina mashaka na branch ya uamsho tanganyika.
Unga ltd mchezo?
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
katibu mkuu wa BAKWATA arusha ajeruhiwa kwa kulipuliwa na bomu na watu wasiojulikana usiku wa saa saba,walivunja kioo cha nyumba yake na kumrushia bomu akiwa amelala nyumbani kwake.
source:Wapo Radio FM.
dhambi ya ubaguzi inawatafuna sasa."religion of peace"
Serikali imemchekea sana Ponda kwa muda mrefu sasa ndiyo watamsoma namba, atawasumbua sana huyu mrundi.
NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUIUNGA MKONO CCM
Taarifa zilizo rasmi ni kuwa katibu mkuu wa BAKWATA mkoani Arusha Sheikh Abdukarim Jonjo amejeruhiwa kwa Bomu usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba akiwa amelala nyumbani kwake.
Tayari yupo amelazwa Hospitali ya Mount Meru anapatiwa Matibabu.
My Take: Hivi hizi silaha kweli zimezagaa kiasi hiki..
mmmh! huu uzi inabidi kuchangia kwa busara la sivyo ban zitatembea hapa, naona kama kuna harufu ya u........ni
"Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein
Bomu la kutengeneza ama bomu kabisa? Wanataka kumsambaratisha? Tutakapoanza kuzoea mabomu, wmd zitafuata na kufunga ukurasa.
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
Matunda ya ponda hayo.
Hawa watu wanataka nini? Mara wapige wakristo,Mara wapige waislam wenzao
wamesema wataandamana tar 2 kuiondoa bakwata so wameshaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.. Bora waanze kumtafuta mchawi huko huko kwao badala ya kuvamia makanisa
Teknolojia ya kutengeneza mabomu imesambaa kiasi hicho tayari??????
Ni mwanasiasa au mdini,au kala pesa za bakwata?hawaaminiki kama ccm
Jamani hii ni mbaya sana,serikali bado imelala?dah something serious need to be done,
Follow Us Here