Hivi jana nilipanda ndege kuelekea ugahibuni, nilikutana na wahuduumu wtuu wa kike . jee kwanini iwe hivi. jee
Hivi jana nilipanda ndege kuelekea ugahibuni, nilikutana na wahuduumu wtuu wa kike . jee kwanini iwe hivi. jee
Panda EGYPTAIR wote ni wanaume.....kwani kuna shida gani? are you a GAY?
Mbona mashirika mengi tu ya ndege wahudumu ni mchanganyiko wa jinsia zote. Hebu jaribu kupanda ndege za zaidi ya shirika moja ulilopanda utaona. Hata hivyo ubaya wa wahudumu wote kuwa wa kike au wa kiume nini????????????????
precision wako mchanganyiko pia
Je AIR India ikojee???
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.
Ilikuwa bahati yako tu ukapanda flight yenye shift ya wahudumu wa kike. Panda mara kwa mara utakutana na shift ya wanaume au mchanganyiko. Kwenye ndege hawachagui wahudumu kwa kubagua jinsia, hasa commercial flights. Uko hapo?
Peace is meaningless if nothing is right. Do it and Do It Right or Not at All.
Swallowing His Own Words has never Killed the Politician!
Kama we si mgeni kupanda ndege hilo si tatizo, tatizo ni mwoono wako. Kumbuka kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume, wanawake kwa nasaba zao ni wazuri zaidi katika matumizi ya lugha yoyote, wanawake ni wepesi kutoa huduma na unadhifu wao. Pia wanaoomba kazi hiyo wanawake na wanaume wako sawa?
Lakini wanaume wapo tena si haba kwa airline mbalimbali angalia ATC, Kenya airways, ect.
Jibu ni kwa sababu wanavutia jinsia zote mbili.kwahio muheshimiwa kama unataka midume sijui airline gani hio na kama hipo utuambie hili tukae nayo mbali.kuna raha yake kuhudumiwa na mwanamke mrembo,inapuguza uchovu wa safari.
"Nobody has enough talent to live on talent alone. Even when you have talent, a life without work goes nowhere". A. Wenger
Women are more welcoming and hospitable. Maybe ni kutokana na there "motherly" nature. Lakini pia wahudumu wa kiume wapo. Tatizo ni kama mtu unadhani wale wanao serve tea pekee ndiyo wahudumu. Na ukipanda ndege nyingi haswa kubwa zenye kuhitaji wahudumu wengi utakuta wa kiume na wakike.
Sometimes inatokea to profession fulani inavutia watu wa jinsia fulani. Hata manurse na masekretari wapo wakiume lakini unakuta wengi wana kuaga wanawake. Na kuna kazi pia unakuta kuna wanaume wengi zaidi ya wanawake.
Angalia thread za huyu mwenzetu hata anavyojiita mzee wa hoja sijui hoja zenyewe ndio zipi, tumemsaida kwa lugha ya kistaarabu ameshindikana, sasa anatakiwa kurudishwa kwenye mstari kwa nguvu. Angalia reply ngapi, bahti mbaya nimeondoa waliosoma hizo hoja zake na kuondoka bila kujibu kitu, Napendekeza watu muwe mnasusia hoja zisizotuletea Tija katika mskabari wa nchi hii.
Thread / Thread Starter
ForumReplies
Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake ( 1 2)
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Kilichoandikwa na MwanaHalisi dhidi ya Shamsa Mwangunga chatimia Bungeni ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Wazungu vinara vya utumwa na si waarabu Afrika
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Mbunge wa Mafia anaishi Dar? ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
kikwete na 90% ya ushindi 2010 ( 1 2)
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
Barua ya wazi kwa wana jf
MzeeWaHoja
Complaints, Congrats, Advice
Symbolism for African-Americans' History
MzeeWaHoja
International Forum
Mh mkuchika usiitumie TFF ZFA kujinasua
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
Nipashe, Kulikoni , Gurdian Kulikoni? ( 1 2 3 4)
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Spika Sita sheria hizi za uchaguzi zifutwe
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
Najitokeza kugombea Ubunge jimbo la Mafia 2010 ( 1 2)
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
Mwanahalisi lafilisika? ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
Tumpongezeni JK kwa Uhuru huu ( 1 2 3)
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
Jukwaa la wahariri ,Moat vinaelekea wapi?
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Tido muhando kutoka Bush house kuja Town
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Ni wakati wa zfa kumtimua bushiri
MzeeWaHoja
Michezo (Sports & Games)
BBC Swahili hamjali wasikilizaji wenu?
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
Ujumbe kwa salim dimani wa cuf ( 1 2)
MzeeWaHoja
Jukwaa la Siasa
magazeti ya Tz na wachezaji wanaojaribiwa Ulaya
MzeeWaHoja
Michezo (Sports & Games)
Ss kuwajibia mawaziri
MzeeWaHoja
Habari/Hoja mchanganyiko
4 UR Business Solution
Follow Us Here