Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ukweli upo wapi kuhusu mount kilimanjaro

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      846
      Likes Given
      1603

      Default Ukweli upo wapi kuhusu mount kilimanjaro

      Nikiwa katika pilika za kupigia kura vivutio vyetu nikakutana na paragraph hiyo chini nime-copy kwenye sevennaturalwonders.org kuhusu view ya Mount Kilimanjaro maana japokuwa ninaishi huku kijijini kwetu Itabagumba lakini nimebahatika kuona view ya Mt Kilimanjaro kwa upande wa Himo, ukiwa Soweto Moshi, KCMC, maeneo ya KIA na pia upande wa Arusha, swali langu kuhusu best view ya mlima ni kweli ipo kama hapo nilipo-bold? au mitandao hii kama kawa inatumika kunadi wenzetu pamoja na kwamba umetajwa upo Tz but still ukiwa Kenya utapata view nzuri ya mlima? see below paragraph as according to sevennaturalwonders.org;

      The best view of Mount Kilimanjaro comes from approaching the mountain from the northern Kenya side. The majority of pictures seen in magazines and travel guides feature this view. However, the best way to experience Mount Kilimanjaro is through taking a trek up the mountain
      kamkoda likes this.


    2. #2
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,779
      Rep Power : 22095
      Likes Received
      1044
      Likes Given
      857

      Default Re: Ukweli upo wapi kuhusu mount kilimanjaro

      Kuna haja ya kuwa na mkakati mahususi wa kudeal na wakenya juu ya subotage zao juu ya huu mlima
      WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

    3. #3
      Globu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2011
      Location : Giningi
      Posts : 5,102
      Rep Power : 3359
      Likes Received
      570
      Likes Given
      36

      Default Re: Ukweli upo wapi kuhusu mount kilimanjaro

      Watanzania bado tumelala na hii issue ya MT KILIMANJARO. Wenzetu washatuzidi maarifa, na wanaendelea kutupiga bao. Itachukua muda mrefu kuifanya dunia iamini kama huu mlima upo TZ. Binafsi nimeshabishana sana na wazungu katika safari zangu za Europe, lakini nilishindwa kuwashawishi kama huu mlima upo TZ. Tumechelewa mno.

    4. #4
      TZ biashara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 516
      Rep Power : 536
      Likes Received
      98
      Likes Given
      224

      Default Re: Ukweli upo wapi kuhusu mount kilimanjaro

      Ndio manake.Tunaanza na Malawi halafu tutaletewa ishu nyingine ya Kenya sasa hapo mtafuteni mchawi ni nani.Kwani nani aliwawekeeni mipaka ya nchi?Sasa jiulizeni nani atakuja kufuta mipaka yenu na kuwanyang'anya ardhi zenu.
      Wapo wanaopenda kuona na kusikia lakini wapo wanaojifanya vipofu na viziwi

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...