| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 259
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Majibu ya Maswali haya yapo kwa CCM na kama ndio Amani wao ndio wanaweza kufanya taifa letu lianze machafuko?? Kuna haja ya kumtafuta Philip Mangula na aje aseme kama ni kweli aliweka suala la Mahakama ya kadhi kwenye Ilani ya CCM. Hakuna haja kila mtu ana dini zake na imani yake!! Hakuna haja mzee wangu. tukianza kufanya hivyo tunakwenda wapi?? Kuna watu wasio na Dini, Je wakisema hivyo na bwana Kakobe naye akapendekeza misimamo yake Mikali ndio ya kufuata itakuaje?? Hakuna haja ya kufanya hivyo. kama watu wanataka kufanya Dini waanze kuhubiri mitaani na kusema kuwa Dini ya nani ni nzuri au watu wafuate dini ya nani?
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Spika aonyeshe leadership. Mimi naona kinachoendelea ni bunge kujalidi Ilani ya CCM. Mijadala kama hii ilitakiwa iwe within CCM. Bunge ingehushwa tu iwapo kungekuwa na mswaada unaohusiana na jambo hili.
__________________
"Colonialists over the past 100 years have gone to Africa and taken all the best things, and now they are taking all the best footballers" Sepp Blatter |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tulijuwa tu
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ikiwa CCM waliweka kwenye Ilani yao ya uchaguzi agenda ambayo ni ya kidini, hili si suala la kikatiba? Kwa nini CCM waje na ajenda ya kidini wakati wao si chama cha kidini? Je kwa kuweka suala hilo kwenye ilani ya uchaguzi CCM hawakuvunja katiba?
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ikiwa basi Bungeni kuna mabench ya wataalam kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa kitaalam inapotokea ufafanuzi unahitajika, mf mwanasheria mkuu wa serikali, mkemia mkuu, n.k. Basi serikali iweke na wataalam wa dini mbali mbali ambao watakuwa wakitoa ufafanuzi authoritative kuhusu dini mbali mbali bungeni. Vinginevyo Bunge halizitendei haki dini.
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Lakini vile vile wabunge wanapola haki ya kuzizungumzia dini wakati hawana authority na hatuna ushahidi kuwa dini wanazozizungumzia zimewatuma kweli wazitetee bungeni.
Vinginevyo vyama vyenye ajenda za kidini basi vitamke kuwa pamoja na malengo yake mengine, dini vile vile ni sehemu ya sera zao. Vyama viruhusiwe kusema ni dini gani wanajiainisha nayo. Manake tunachagua vyama na wabunge, wakiisha ingia bungeni, dini zinaanza. |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hapana JK aliwahi kusema kuwa yeye alikuwa hajui kama kuna suala la mahakama ya kadhi kwenye Ilani ya CCM mimi nasema hivyo kwasababu Ilani ilitayarishwa na CCM na pia MANGULA alikuwa Katibu mkuu wa CCM na yeye Jk alisema kuwa hicho waliweka Wakristo na sio yeye. Sasa Mimi nasema kuna haja ya kutafutwa MAngula aje aseme kama kweli yeye ndio aliyetoa shinikizo la Mahakama ya Kadhi liwe kwenye Ilani ya CCM. Hivyo wao nao Bila ya kujua hata wale wenzangu na mimi walichagua mtu ambaye anataka Mahakama ya kadhi. Waislamu wana haki ya kudai Mahakama ya kadhi. Kuna tetesi kuwa waliwahi hata kukaa vikao vya siri kule Dodoma kujua ni lini wataanzisha mahakama ya kadhi. CCM ndio wameyataka haya. Mimi nadiliki kusema kuwa CCM ndio cha cha Kidini cha sasa
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
CCM kwa hiyo wanaexploit dini kwa kuweka agenda ya kidini kwenye irani yao ya uchaguzi. Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa wamekaa kimya. Je vyama vingine ni haki vile vile kuleta agenda za kidini?
Nadhani hapa CCM waseme waliteleza au wakubali kuwa dini ni sera yao!!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 04:51 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||