| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 207
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Dah! Kweli wengine chongo huita kengeza. Nashangaa mada nzuri kama hii inakosa wachangiaji hapa JF. Tumebobea kwenye pokopoko, mambo muhimu sijuhi tumemwachia nani?
Kwenye orodha yako ya ugaidi na ujasusi wa kiuchumi, Kenya hawaibi utalii tu bali hata mazao. Sisi kwenye sekta ya maua na vyakula (Asali, Mboga mboga, matunda) tumelithibitisha hilo. Ninazo reports za kenya zikionyesha jinsi sekta ya maua ilivyokuwa kutokana na maua yanayotoka Tanzania, ninaoushahidi (ambao serikali pia inao) jinsi Mboga mboga na matunda ya Tanzania yavyopelekwa Ughaibuni kwa jina la Kenya na si Tanzania, nimesoma Strategic Plan ya Kenya Honey Council Ltd inasema wazi, mkakati mkuu wa kuongeza asali inayouzwa kwa jina la Kenya ni kuhakikisha wanapata asali yote nzuri toka Tanzania. Nitoe wito kwa wale wote wanao ona uzito katika hoja ya thread hii, ebu tufanye kitu kwa ajili ya vizazi vijavyo na taifa letu. Maneno mengi (pokopoko), lawama lukuki havijengi bali kuzidisha uhasama na kubomoa umoja tuliokuwa nao kama taifa. ![]()
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
Last edited by Sanjara Honey; 3rd July 2009 at 12:10 AM.. |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
[QUOTE=Sanjara Honey;508848]Dah! Kweli wengine chongo huita kengeza. Nashangaa mada nzuri kama hii inakosa wachangiaji hapa JF. Tumebobea kwenye pokopoko, mambo muhimu sijuhi tumemwachia nani?
Nashangaa pia. Watanzania tuna desturi ya kuongelea sana na kwa kina mambo mepesi na ya mtaani mtaani tu. Hoja nzito twazikwepa. Inatucost sana hii.... Ningependelea zaidi kutumia ujasusi kuliko ugaidi of whatever form. Ugaidi una negative connotation. Any successful organization needs serious intelligency. Wajapan ujasusi wanauficha kwenye idara za R&D
__________________
'The rich of the future are those who are rich in mind'. Winston Churchill |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
[quote=Kaniki1974;508858]
![]()
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
kumbe hata hizi ziara za nje ya nchi anazofanya Mh. Rais,kwa kisingizio cha kuvutia wawekezaji, zingepunguzwa na bajeti yake ikatengwa kuandaa competent cadres kwa ajili hiyo.
|
|
#6
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
![]()
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
|
|||||||||||||||
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Wakuu mnaolalamika sijui mmekuwa members kwa muda gani na sijui mnafuatilia post kwa kiasi gani. Hizo habari ambazo mnaona hazijadiliwi au hazichangiwi zimechangiwa sana ana wadau huko nyuma, sio hadithi mpya. Mengine ni mambo ambayo hayana haja ya kujadiliwa kwa kuwa yako wazi. Soma jinsi Umoja Wa Wanawake ulivyojadiliwa toka uongozi wake na utendaji wake mpaka muundo wake, na uozo ulioingia unaweza kuona kuwa hakuna jipya.
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Jamani mimi niliwahi kutoa thread kuhusu jinsi kitengo cha ujasusi wa kiuchumi cha CIA kilivyo isambaratisha Nyumbu yetu iliyokuwa imeanza kupata uhai miaka ya 80. Walichofanya, waliirubuni serikali ya TZ chini ya Mzee mwinyi kwamba itawapa technolojia mpya ya magari, na pia waliisha mnunua meneja wa nyumbu wakati ule, serikali kama kawaida ikakubali, lakini lengo la wamarekani ilikuwa tusiweze kutegeneza magari ya kijeshi, na baada tu ya wao kuona tumeingia mkenge wakajitoa na pesa walizo ahidi hawakutoa na ndo ukawa mwisho wa nyumbu.
Economic intelligence ndiyo inasaidia nchi kujua nani anategeneza nini na anachokitegeneza kinaathiri vipi uchumi wa nchi yako na ufanye nini ili either umzidi au muwe sawa. Sisi serikali yetu chini ya CCM wamelala fofofo, wanadhani WB, IMF, n.k. inawapenda, hakuna....inatumaliza. Kuhusu jirani zetu, wala tusibabaike isipokuwa tujifunze kwa haraka na tutaendanao sambamba, wasi wasi wangu ni kuwa hatuna rais wala waziri mkuu wa kuthubutu, wao ni siasa tu.... Hapo tunamkumbuka Lowasa pamoja na matatizo ya richmond lakini alikomaa mpaka mradi wa maji wa ziwa victoria ukaanza ingawa misri na UK zilikuwa zinapinga vikali. Kitu cha kushangaza, Kwa nini nchi zingine mashirika ya umma yanafanya vizuri lakini TZ mashirika ya umma yanakufa?? Hapa ndo kuna tatizo, na labda niseme tu kwamba hii imechangiwa na tabia ya CCM kuchukua pesa kila wakati wa uchaguzi na hiyo inwapa mwanya viongozi wa mashirika na wao kuchota kiasi wancho taka.......sina muda wa kutosha..... |
|
#9
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
nchi nyingi za mashariki ya mbali baada ya vita baridi "cold war" zilibadilisha mbinu za kijasusi wakaanza ujasusi wa kiuchumi kuiba teknolojian.k lakini kabla ya hilo walikuwa wamejiandaa vyema waliwekeza vichwani mwa watoto wao "Kielimu" ili waweze kumudu kuiba teknolojia ya nchi za magharibi.lakini sasa sisi watoto wetu tumewapuuza vijana wetu walioko vyuoni tunawapuuza wanapotushauri dawa ni kuwavurumishia virungu vya "FFU". wale wakubwa waliokimbizia watoto wao ulaya wakapate elimu waliowengi wanaishia kulewa na kula madawa ya kulevya. Haya mambo tunatakiwa tuyaweke sawa kwanza,ujasusi ni kazi nyeti sana ukikurupuka utaenda na maji hata kabla hujanusa kitu.sasa kwa hali ya maandalizi kwa vijana wetu tusipoliona hilo hatutaiba teknolojia yoyote.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 10:25 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||