JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 41
  1. Ngaliba Dume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 1,167
   Rep Power : 802
   Likes Received
   617
   Likes Given
   322

   Default Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Jana I.G.P S.Mwema alisambaza waraka kwa ma-RPC wote Tz nzima kuwataka waitishe "MABARAZA YA ASKARI" ktk mikoa yote,lengo likiwa ni kutathimini mwenendo wa Jesh la polisi dhidi ya raia. Katika Mabaraza hayo Askari walipewa nafasi kujadili,kutoa mawazo na kupendekeza nini kifanyike baada ya Jesh kupoteza imani kwa raia na jamii. Katika waraka huo wa siri I.G.P aliwataka makamanda wawatie moyo vijana wasikate tamaa,kwan kwa tukio la Iringa imeonekana askari wote wamerudi nyuma na kupunguza hari ya kazi,hii imefanya viongozi wa juu kupata hofu ya utayali wa askari ktk kulitumikia jeshi... Katika maoni,askar wengi wamependkeza RPC Iringa aunganishwe ktk kesi,kwani kumwacha Cleophas Simon peke yake n uonevu,pia wameomba serikali iwakemee viongozi wa CCM wanaoshndkza polisi kuwatandka vyama vya upinzani..ktk kikao cha mkoa wa Iringa askari wengi wameonekana kukata tamaa na kutaka kuacha kazi...hali ya askari wa chini wanaotumika ktk Operation za riots imeshuka sana kwa kutishika na tukio la Iringa. Vijana wengi wameonekana kuchukizwa na hali ya kulazimishwa kutumia nguvu kwa maslahi ya kisiasa,kwa kugundua hilo makamanda wamewatia moyo vijana wengi kuwa wasikate tamaa,kwani swala la Iringa n sehemu ya ajali za kazini ambazo wao kama askari wanatakiwa wakabiliane nazo! Kiukweli vijana wengi wamekata tamaa baada ya kuona panapotokea tatizo ni askari wa vyeo vya chini ndo wanatolewa kafara bila kufuata uwajibikaji wa pamoja na Seniority ya jeshi la polisi ambapo mdogo hafanyi kitu bila mkubwa kutoa amri.
   Last edited by Ngaliba Dume; 15th September 2012 at 03:01.

  2. #21
   katule's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 10th September 2012
   Posts : 5
   Rep Power : 470
   Likes Received
   0
   Likes Given
   3

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   ni vizuri tungewekewa huo waraka tungechangia vzr!! mtoa mada jitahidi kuupata ili u defend thread yako hatupingi ila ushahidi muhimu ukweli wa kosa haupatikani kwa mkosaji hivyo police ukiwauliza huwezi pata ukweli kamili coz wamefundishwa usiri na wamehapa kutotota siri kwa mtu asiyehusika.

  3. Malipo kwamungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2012
   Posts : 533
   Rep Power : 601
   Likes Received
   67
   Likes Given
   103

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Eeh ..Jf members don"t forget we need Police ... ! They should be there if you LIKE or NOT

  4. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 5,341
   Rep Power : 1604
   Likes Received
   1438
   Likes Given
   1972

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Muulize IGP ile barua aliyoanidikiwa na askari wa morogoro ikwawekwa humu jf kuhusu askari wanaoshiriki ujambazi ameifanyioa kazi?
   NO SECOND CHANCE TO MAKE THE FIRST IMPRESSION

  5. Osia's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st September 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 57
   Rep Power : 481
   Likes Received
   13
   Likes Given
   3

   Default Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Nimesoma mawazo ya wachangia mada lkn mm nauliza; kua hata inapotokea kua na general order, hivi hili hupunguza utashi wa akili yako???
   1. Linawashusha morali kwasababu mwisho wa siku c aliyetoa order bali aliyetekeleza hilo kwa vitendo.
   2. Kuna layer nyembamba sana inayotenganisha akili na upumbavu ktk ubongo wa binadamu. Unapofikia hatua ya kumuua binadamu mwenzio tena asiye na hatia kwa kutii g/order ww hufai kbs kuwa askari.
   3. Jingine ni ufinyu wa fikra za mapolis, hivi huyu alitekeleza mauaji haya anaamini kbs kua marehemu hana ndg askari?? Je watoto wa marehemu hawata apa kulipiza? Km ndivyo jamaa na rafiki zake pia? Km hana je walioumia kwa alilolotenda hawatakuwepo! Huku uraiani wapo wanaweza tumia bunduki zaidi zao, ila wao hawajui. Anapovua hizo jezi zake haoni kn analingana kbs na walio ktk jamii???
   Hata mm nalazimika kuamini kbs kua waraka huo wa kuwatia moyo hao vijana wao ni kuwaambia Ueni Zaidi.
   Mm naamini kua kila kitu kinamwisho, ni vyema kuanza fikiria kua ipo
   Siku atasimama yeye km yeye na atalipa kwa alilolofanya.

  6. #25
   KOMBAJR's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2011
   Location : Ufipa Street
   Posts : 5,843
   Rep Power : 6677
   Likes Received
   1253
   Likes Given
   505

   Default

   Quote By Lukansola View Post
   Muulize IGP ile barua aliyoanidikiwa na askari wa morogoro ikwawekwa humu jf kuhusu askari wanaoshiriki ujambazi ameifanyioa kazi?
   Bado alikuwa anasubiri washauriane na Nchimbi

  7. mwanaodessa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 86
   Rep Power : 509
   Likes Received
   12
   Likes Given
   34

   Default

   Quote By Malipo kwamungu View Post
   Eeh ..Jf members don"t forget we need Police ... ! They should be there if you LIKE or NOT
   Labda kuongoza magari barabarani,
   Maana Hata ukiwaita Kwenye tukio la ujambazi hawaji ng'o, Mpaka wana nchi wauwe jambazi basi wao watakuja kubeba mwili wa huo jambazi baada ya masaa Sita.

  8. #27
   Thanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Multiple Destination
   Posts : 1,917
   Rep Power : 1744
   Likes Received
   586
   Likes Given
   1552

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Kwa South Africa au kinyumbani ni iNingizimu Afrika, maana ya jina lako(username) ni unspeakable joy...furaha ipitilizayo, au happiness.....Anyway umesema ukweli kuhusu polisi.
   I am a Democratic Figure,Opposer of Non reality Proposers.
   Thanda Similane

  9. Kifarutz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2012
   Posts : 1,683
   Rep Power : 809
   Likes Received
   283
   Likes Given
   23

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Tatizo na police wetu shule zao ndogo, they lack reasoning capacity. I am sure hakuna kipengele kinacho mlazimisha police kuua kwa maslahi ya wanasiasa..!

  10. hekimatele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 9,038
   Rep Power : 159399919
   Likes Received
   1962
   Likes Given
   836

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Kuna umuhimu geshi ra porishi likajisafisha kwa kiasi kikubwa kwa wananchi ili lirudishe imani kama enzi za Nyerere.
   Mahita kwa kiasi kikubwa amelichafua jeshi hili. Ili kukabiliana na changamoto hizi za ukosefu wa imani kwa wananchi, hawana budi kushughulika na uozo wao wenyewe ndani. Waondoe majambazi yaliyomo ndani kwanza kabla ya kuja kwa wananchi la sivyo wananchi hawataliamini kamwe.
   Leo hii majambazi yanakamatwa baada ya siku kadhaa yapo mtaani yakiendelea na ubazazi. Kuna imani kweli hapo?
   Hata wananchi kujitokeza kuwafichua majambazi mitaani inakua haiwezekani.

  11. nguvumali's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd September 2009
   Location : nimerudi Mwanza
   Posts : 4,799
   Rep Power : 1585
   Likes Received
   1030
   Likes Given
   308

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   kamuhada ni poyoyo wa sheria na utumishi ! hatari sana kwa maendeleo ya taifa hili !

   Lakini chanzo cha yote ni huyu mwema , Hajawahi kuwa makini tangu baada ya mkasa wa vifo vya Mahabusu mkoani Mbeya

  12. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 23,607
   Rep Power : 168829832
   Likes Received
   9035
   Likes Given
   3536

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Usicheze na damu ya mtu,hilo la iringa sio upepo hauwezi pita hivi hivi.

  13. #32
   Wacha1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2009
   Posts : 10,993
   Rep Power : 429499238
   Likes Received
   4079
   Likes Given
   4221

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By Ngaliba Dume View Post
   Jana I.G.P S.Mwema alisambaza waraka kwa ma-RPC wote Tz nzima kuwataka waitishe "MABARAZA YA ASKARI" ktk mikoa yote,lengo likiwa ni kutathimini mwenendo wa Jesh la polisi dhidi ya raia. Katika Mabaraza hayo Askari walipewa nafasi kujadili,kutoa mawazo na kupendekeza nini kifanyike baada ya Jesh kupoteza imani kwa raia na jamii. Katika waraka huo wa siri I.G.P aliwataka makamanda wawatie moyo vijana wasikate tamaa,kwan kwa tukio la Iringa imeonekana askari wote wamerudi nyuma na kupunguza hari ya kazi,hii imefanya viongozi wa juu kupata hofu ya utayali wa askari ktk kulitumikia jeshi... Katika maoni,askar wengi wamependkeza RPC Iringa aunganishwe ktk kesi,kwani kumwacha Cleophas Simon peke yake n uonevu,pia wameomba serikali iwakemee viongozi wa CCM wanaoshndkza polisi kuwatandka vyama vya upinzani..ktk kikao cha mkoa wa Iringa askari wengi wameonekana kukata tamaa na kutaka kuacha kazi...hali ya askari wa chini wanaotumika ktk Operation za riots imeshuka sana kwa kutishika na tukio la Iringa. Vijana wengi wameonekana kuchukizwa na hali ya kulazimishwa kutumia nguvu kwa maslahi ya kisiasa,kwa kugundua hilo makamanda wamewatia moyo vijana wengi kuwa wasikate tamaa,kwani swala la Iringa n sehemu ya ajali za kazini ambazo wao kama askari wanatakiwa wakabiliane nazo! Kiukweli vijana wengi wamekata tamaa baada ya kuona panapotokea tatizo ni askari wa vyeo vya chini ndo wanatolewa kafara bila kufuata uwajibikaji wa pamoja na Seniority ya jeshi la polisi ambapo mdogo hafanyi kitu bila mkubwa kutoa amri.
   Jeshi la polisi limepoteza heshima, kinachotakiwa hivi sasa ni kulivunja. Tuwe na makamanda wa polisi ambao wanawajibika kwa mikoa waliyopo, i.e. huwezi kuwa na uwajibikaji kutoka Dar wakati huyo kiongozi aliyepo Dar hajui mazingara ya mkoa husika. Haya mambo ya kulimbikiza madaraka yote Dar ndiyo yanatumaliza na yamepitwa na wakati, Jeshi la polisi livunjwe kama vile ilivyotokea mwaka 1963/4. Uwajibikaji uwe mikoani.
   Baada ya kufanya kazi nzuri katika wizara ya Ujenzi, John Pombe Magufuli amepewa dhamana na Watanzania kushika hatamu kuliongoza taifa. Wakati umefika kusafisha Ikulu, kusafisha wizara na mashirika ya Umma kuwatumikia Watanzania. Kutokomeza ufisadi uliokubuhu na kukomesha mafisadi ambayo yamejikita kuwadhulumu walipa kodi wa nchi hii.

  14. #33
   Bitabo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th September 2011
   Posts : 1,704
   Rep Power : 858
   Likes Received
   545
   Likes Given
   508

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By Matola View Post
   Awaulize Polisi au awaulize ma RPC? hapa nilipo mimi nipo na Polisi ni rafiki yangu na na yeye ni Polisi wa Mahakamani na huwa havai uniform, ni kwamba jana Polisi wote walipewa amri ya kuvaa uniform kwa ajili ya kukabili maandamano ya waislamu lakini rafiki yangu alivyofika pale Central Polisi alisingizia amefiwa na akaruhusiwa kwenda kuzika lakini ilikuwa ni fix yeye hayko tayari kutumika kwenye ujinga.

   Back to topic ni vizuri kama una hizo Information ungetuwekea huo waraka hapa lakini usiseme waulize Polisi, maana hao Polisi baadhi yao ambao ni wema tuko nao na kama kuna hilo wanalifahamu mimi ningekuwa nimelijuwa. Ila sijakupinga.
   Mkuu mwambie huyo askari amshauri bosi wake kuwa kama wanataka nchi hii ichukuliwe na waingereza kwa mara ya pili basi waanze kukimbizana na hao waislamu. Siku zote waislam wanaaka wapigwe ili wpate pa kusemea na kuanzisha fujo kubwa kwa kufadhiliwea na waarabu wenye hela za mafuta ambazo hazina kazi. bora waendelee kuwapiga CHADEMA ila hao waislam mziki wake wala hausubiri kikao cha kamati kuu.
   Trelaa lao kwa sasa wnataka kumuchinja shehe mkuu wao. kazi hii ya waislam ni pana mno
   Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

  15. #34
   Bitabo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th September 2011
   Posts : 1,704
   Rep Power : 858
   Likes Received
   545
   Likes Given
   508

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Mi nilidhani huo waraka ni wa IGP kuachia ngazi kumbe bado anaendelea na jukumu lake la kuwachinja raia alioapa kuwalinda?

   Nchi hii kweli ni ya kusadikika na kushangaa shangaa
   Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

  16. #35
   BHULULU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 4,823
   Rep Power : 30917
   Likes Received
   1538
   Likes Given
   1254

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By Bitabo View Post
   Mkuu mwambie huyo askari amshauri bosi wake kuwa kama wanataka nchi hii ichukuliwe na waingereza kwa mara ya pili basi waanze kukimbizana na hao waislamu. Siku zote waislam wanaaka wapigwe ili wpate pa kusemea na kuanzisha fujo kubwa kwa kufadhiliwea na waarabu wenye hela za mafuta ambazo hazina kazi. bora waendelee kuwapiga CHADEMA ila hao waislam mziki wake wala hausubiri kikao cha kamati kuu.
   Trelaa lao kwa sasa wnataka kumuchinja shehe mkuu wao. kazi hii ya waislam ni pana mno
   mkuu hapo kwenye red umefanya nimecheka sana,kama hiyo ni Trelaa,je,picha kamili itakuwaje??Hatari

  17. #36
   joely's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 928
   Rep Power : 750
   Likes Received
   382
   Likes Given
   71

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   kamuhanda si wakushitakiwa hata kidogo anastahili kunyongwa hadharani au kukatwa shingo kwa kisu butu ili asikie maumivu

  18. Philipo Kidwanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th July 2012
   Location : kusadikika
   Posts : 2,063
   Rep Power : 1111
   Likes Received
   585
   Likes Given
   147

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By Matola View Post
   Awaulize Polisi au awaulize ma RPC? hapa nilipo mimi nipo na Polisi ni rafiki yangu na na yeye ni Polisi wa Mahakamani na huwa havai uniform, ni kwamba jana Polisi wote walipewa amri ya kuvaa uniform kwa ajili ya kukabili maandamano ya waislamu lakini rafiki yangu alivyofika pale Central Polisi alisingizia amefiwa na akaruhusiwa kwenda kuzika lakini ilikuwa ni fix yeye hayko tayari kutumika kwenye ujinga.

   Back to topic ni vizuri kama una hizo Information ungetuwekea huo waraka hapa lakini usiseme waulize Polisi, maana hao Polisi baadhi yao ambao ni wema tuko nao na kama kuna hilo wanalifahamu mimi ningekuwa nimelijuwa. Ila sijakupinga.
   huyo polisi uliyekuwa naye ni kamanda.?
   LIMPETA

  19. Philipo Kidwanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th July 2012
   Location : kusadikika
   Posts : 2,063
   Rep Power : 1111
   Likes Received
   585
   Likes Given
   147

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By BHULULU View Post
   mkuu hapo kwenye red umefanya nimecheka sana,kama hiyo ni Trelaa,je,picha kamili itakuwaje??Hatari
   mislam anapotekeleza analoliamini sio mtu wa kumchezea hata kidogo hana unafiki pale anapoamini jambo hata kama sio sahihi huamini anachoamini.
   LIMPETA

  20. #39
   BHULULU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 4,823
   Rep Power : 30917
   Likes Received
   1538
   Likes Given
   1254

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By philipo kidwanga View Post
   mislam anapotekeleza analoliamini sio mtu wa kumchezea hata kidogo hana unafiki pale anapoamini jambo hata kama sio sahihi huamini anachoamini.
   Kweli jamaa huwa hawana utani

  21. #40
   KIBE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2010
   Posts : 942
   Rep Power : 756
   Likes Received
   183
   Likes Given
   16

   Default Re: Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

   Quote By ngaliba dume View Post
   jana i.g.p s.mwema alisambaza waraka kwa ma-rpc wote tz nzima kuwataka waitishe "mabaraza ya askari" ktk mikoa yote,lengo likiwa ni kutathimini mwenendo wa jesh la polisi dhidi ya raia. Katika mabaraza hayo askari walipewa nafasi kujadili,kutoa mawazo na kupendekeza nini kifanyike baada ya jesh kupoteza imani kwa raia na jamii. Katika waraka huo wa siri i.g.p aliwataka makamanda wawatie moyo vijana wasikate tamaa,kwan kwa tukio la iringa imeonekana askari wote wamerudi nyuma na kupunguza hari ya kazi,hii imefanya viongozi wa juu kupata hofu ya utayali wa askari ktk kulitumikia jeshi... Katika maoni,askar wengi wamependkeza rpc iringa aunganishwe ktk kesi,kwani kumwacha cleophas simon peke yake n uonevu,pia wameomba serikali iwakemee viongozi wa ccm wanaoshndkza polisi kuwatandka vyama vya upinzani..ktk kikao cha mkoa wa iringa askari wengi wameonekana kukata tamaa na kutaka kuacha kazi...hali ya askari wa chini wanaotumika ktk operation za riots imeshuka sana kwa kutishika na tukio la iringa. Vijana wengi wameonekana kuchukizwa na hali ya kulazimishwa kutumia nguvu kwa maslahi ya kisiasa,kwa kugundua hilo makamanda wamewatia moyo vijana wengi kuwa wasikate tamaa,kwani swala la iringa n sehemu ya ajali za kazini ambazo wao kama askari wanatakiwa wakabiliane nazo! Kiukweli vijana wengi wamekata tamaa baada ya kuona panapotokea tatizo ni askari wa vyeo vya chini ndo wanatolewa kafara bila kufuata uwajibikaji wa pamoja na seniority ya jeshi la polisi ambapo mdogo hafanyi kitu bila mkubwa kutoa amri.

   stori ya kutunga utaiona tu inawekewa mbwembweee nyingii kwa maslahii fulani... Jana walaka utoke jana vikao vifanyika jana kila kitu kifanyike ??????????????????.. Kajipange upya

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...