JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Maadhimisho Ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2012

  Report Post
  Results 1 to 3 of 3
  1. #1
   AMEND's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 6th August 2012
   Location : Dar es Salaam, Tanzania
   Posts : 9
   Rep Power : 475
   Likes Received
   0
   Likes Given
   3

   Default Maadhimisho Ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2012

   Mwaka huu maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yataadhimishwa rasmi mkoani Iringa kuanzia tarehe 17 hadi 22 Septemba. Kauri mbiu ni "Pambana Na Ajali Za Barabarani Zingatia Sheria". Mkoani Dar es Salaam uzinduzi utafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia sa mbili asubuhi.

   Ajali na usalama barabarani ni masuala yaliyosahaulika sana nchini kwetu Tanzania na bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania kijamii na kiuchumi. Zaidi ya 3.4% ya pato la Taifa Tanzania linapotea kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. 75% ya ajali husababishwa na kutowajibika kwa madereva wawapo barabarani (The Guardian; 'It’s time for Sumatra and traffic police to act' - IPP Media, 2011). Mbaya zaidi ya yote, hali inazidi kuwa mbaya, kila mwaka. Karibu kila siku tunasoma, tunasikia na kuangalia habari kuhusu VVU / UKIMWI na Malaria kutoka vyombo mbalimbali vya habari, lakini mara ni mara ngapi umma wa Watanzania unasikia kuhusu usalama barabarani na athari za kijamii na kiuchumi zinayosababishwa na ajali za barabarani? Ajali za barabarani ni janga kubwa duniani kote. Ni wakati sasa tushirikiane sote kubadili hali hii na si kusubiri mara moja kila mwaka ili kufanikisha hili.

  2. Otorong'ong'o's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2011
   Location : Uvunguni
   Posts : 20,089
   Rep Power : 241984752
   Likes Received
   4857
   Likes Given
   2380

   Default Re: Maadhimisho Ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2012

   Hii mambo si inahusika na polisccm?....ptuuuuuuu!!! go to hell polisccm.

  3. #3
   Nguto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 1,597
   Rep Power : 862
   Likes Received
   272
   Likes Given
   10

   Default Re: Maadhimisho Ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2012

   Waandishi wa Dar hawajasusia kuripoti habari za jeshi la polisi na wizara yake hadi kieleweke? Hata hapa jamvini tungeacha kuandika mambo ya polisi.
   Quote By AMEND View Post
   Mwaka huu maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yataadhimishwa rasmi mkoani Iringa kuanzia tarehe 17 hadi 22 Septemba. Kauri mbiu ni "Pambana Na Ajali Za Barabarani Zingatia Sheria". Mkoani Dar es Salaam uzinduzi utafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia sa mbili asubuhi.

   Ajali na usalama barabarani ni masuala yaliyosahaulika sana nchini kwetu Tanzania na bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania kijamii na kiuchumi. Zaidi ya 3.4% ya pato la Taifa Tanzania linapotea kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. 75% ya ajali husababishwa na kutowajibika kwa madereva wawapo barabarani (The Guardian; 'It’s time for Sumatra and traffic police to act' - IPP Media, 2011). Mbaya zaidi ya yote, hali inazidi kuwa mbaya, kila mwaka. Karibu kila siku tunasoma, tunasikia na kuangalia habari kuhusu VVU / UKIMWI na Malaria kutoka vyombo mbalimbali vya habari, lakini mara ni mara ngapi umma wa Watanzania unasikia kuhusu usalama barabarani na athari za kijamii na kiuchumi zinayosababishwa na ajali za barabarani? Ajali za barabarani ni janga kubwa duniani kote. Ni wakati sasa tushirikiane sote kubadili hali hii na si kusubiri mara moja kila mwaka ili kufanikisha hili.

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...