Akina dada na salon za kiume!! - Page 8 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Habari na Hoja mchanganyiko


Habari na Hoja mchanganyiko Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 26th June 2009, 11:49 AM  
Akina dada na salon za kiume!!
Kyachakiche Kyachakiche is offline 26th June 2009, 11:49 AM

Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.

Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na kinyozi mmoja mwanaume.

Taratibu kwa kadri muda ulivyoendelea na utandawazi kushika hatamu, sasa tunashuhudia naweza kusema nyumba za kisasa kabisa zimejengwa ama kugeuzwa kuwa maeneo ya kunyolea nywele huku huduma nyingine za kuosha nywele,uso, kucha na nyingine kama hizo zikifanywa na akina dada tena warembo kweli kweli.

Baadhi ya hawa akina dada wamekuwa wanavaa nguo ambazo wakati mwingine zinaacha maswali mengi kwamba je ni huduma hii ya kufanya usafi wa nywele na uso ama ni zaidi ya hapo. Na zaidi ya hapo wakati wa hizi huduma wana minjonjo mingi tu kama kufungua vifungo vya shati ili waweke taulo/kitambaa, wasugue masikio, shingo,..nk.

Nawaulizeni wana-JF wenzangu, je kama uko na mai waifu wako akaona unayofanyiwa na hawa akina dada atakuruhusu uwe unakwenda peke yako? Au kama maiwaifu wako angekuwa anafanya kazi huko, ungemruhusu awafanyie wanaume wengine vile hawa akina dada wanafanya?

Na tujadili!

Kyachakiche
JF Senior Expert Member
Points: 149,498, Level: 100 Points: 149,498, Level: 100 Points: 149,498, Level: 100
Activity: 6% Activity: 6% Activity: 6%
Join Date: Mon Feb 2009
Posts: 474
Thanks: 109
Thanked 38 Times in 24 Posts
Views: 2754
Reply With Quote
  #71  
Old 3rd July 2009, 03:45 PM
Kingi's Avatar
Kingi Kingi is offline
Kingi is down to earth
JF Senior Expert Member
Points: 533,094, Level: 100 Points: 533,094, Level: 100 Points: 533,094, Level: 100
Activity: 49% Activity: 49% Activity: 49%
 
Join Date: Thu Mar 2009
Posts: 1,639
Thanks: 166
Thanked 221 Times in 175 Posts
Rep Power: 25
Kingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enoughKingi will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Wanatuibia tu..wanatupaka tu-chemicali ambako hata hatutujui..Wanazuga sijui facial sijui nini ..ili mradi ulipie fedha nyingi zaidi..Uwizi mtupu.
kwani baada ya kunyoa unalazimishwa kufanya scrub? haulazimishwi, so waache wenye kutaka wafanye hivyo
__________________
"The only problem with Africans is implementation and maintenance"- Kingi.
Reply With Quote
  #72  
Old 3rd July 2009, 11:11 PM
John74e's Avatar
John74e John74e is offline
John74e affable Wolves
Senior Member
Points: 54,671, Level: 100 Points: 54,671, Level: 100 Points: 54,671, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sat May 2009
Posts: 51
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 21
John74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enoughJohn74e will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Mkuu mbona ziko nyingi tuu. Pitia mitaa ya Sinza hasa kandokando ya barabara ya Shekilango au maeneo ya Sayansi kuelekea Rose Garden! Zaidi ya hapo wasiliana na mkuu hapo juu akujuze zaidi.
Mzee nashukuru sana...nitalifanyia kazi..Nahitaji huduma bora ...!!
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
akina, dada, kiume, salon


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Afumaniwa na dada yake akijivinjari na shemeji yake MziziMkavu Jokes/Utani + Udaku/Gossips 24 10th July 2009 06:34 PM
Homa ya akina dada katika mapenzi!!! Bikra Mahusiano, mapenzi, urafiki 5 18th May 2009 05:12 AM
Akina mama play your part,it can be done Njowepo Habari na Hoja mchanganyiko 0 13th March 2008 04:07 PM
Akina Dada Bubu Ataka Kusema Habari na Hoja mchanganyiko 55 18th August 2007 04:00 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 09:20 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com