Akina dada na salon za kiume!! - Page 4 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Habari na Hoja mchanganyiko

Habari na Hoja mchanganyiko Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 26th June 2009, 11:49 AM  
Akina dada na salon za kiume!!
Kyachakiche Kyachakiche is offline 26th June 2009, 11:49 AM

Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.

Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na kinyozi mmoja mwanaume.

Taratibu kwa kadri muda ulivyoendelea na utandawazi kushika hatamu, sasa tunashuhudia naweza kusema nyumba za kisasa kabisa zimejengwa ama kugeuzwa kuwa maeneo ya kunyolea nywele huku huduma nyingine za kuosha nywele,uso, kucha na nyingine kama hizo zikifanywa na akina dada tena warembo kweli kweli.

Baadhi ya hawa akina dada wamekuwa wanavaa nguo ambazo wakati mwingine zinaacha maswali mengi kwamba je ni huduma hii ya kufanya usafi wa nywele na uso ama ni zaidi ya hapo. Na zaidi ya hapo wakati wa hizi huduma wana minjonjo mingi tu kama kufungua vifungo vya shati ili waweke taulo/kitambaa, wasugue masikio, shingo,..nk.

Nawaulizeni wana-JF wenzangu, je kama uko na mai waifu wako akaona unayofanyiwa na hawa akina dada atakuruhusu uwe unakwenda peke yako? Au kama maiwaifu wako angekuwa anafanya kazi huko, ungemruhusu awafanyie wanaume wengine vile hawa akina dada wanafanya?

Na tujadili!

Kyachakiche
JF Senior Expert Member
Points: 149,498, Level: 100 Points: 149,498, Level: 100 Points: 149,498, Level: 100
Activity: 6% Activity: 6% Activity: 6%
Join Date: Mon Feb 2009
Posts: 474
Thanks: 109
Thanked 38 Times in 24 Posts
Views: 2755
Reply With Quote
  #31  
Old 26th June 2009, 04:47 PM
Epitome Epitome is offline
Epitome has no status.
Member
Points: 54,027, Level: 100 Points: 54,027, Level: 100 Points: 54,027, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Apr 2009
Posts: 11
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Epitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enoughEpitome will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.

Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
Reply With Quote
  #32  
Old 26th June 2009, 05:02 PM
Akili Unazo!'s Avatar
Akili Unazo! Akili Unazo! is offline
Akili Unazo! Kichwangum
JF Premium Member
Points: 324,263, Level: 100 Points: 324,263, Level: 100 Points: 324,263, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Wed Feb 2009
Location: Tanzania
Posts: 522
Thanks: 295
Thanked 69 Times in 45 Posts
Rep Power: 23
Akili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enoughAkili Unazo! will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.

Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
wewe mbona hujajibu ila unawalaumu wengine?hii ndo tabia ya watanzania kulaumlaumu tu bila hata kufikiria haya umeona mwenzio amekosea si umuelimishe na siyo kumlaumu kama ulivyowalumu tena umesema wote waliochangia hii maada hakuna aliyejibu.

wewe wakati unaandika ulikuwa unachangia au ulikuwa unalaumu?

Kikubwa elimisha mtu kabla ya kumlaumu.
Reply With Quote
  #33  
Old 26th June 2009, 05:23 PM
Amosam Amosam is offline
Amosam has no status.
Senior Member
Points: 83,099, Level: 100 Points: 83,099, Level: 100 Points: 83,099, Level: 100
Activity: 9% Activity: 9% Activity: 9%
 
Join Date: Thu Jan 2009
Posts: 156
Thanks: 0
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power: 22
Amosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enoughAmosam will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Mnanikumbusha Ze Origino komedi('Kula njugu na demu')
Reply With Quote
  #34  
Old 26th June 2009, 06:11 PM
MwanajamiiOne MwanajamiiOne is offline
MwanajamiiOne has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 505,734, Level: 100 Points: 505,734, Level: 100 Points: 505,734, Level: 100
Activity: 20% Activity: 20% Activity: 20%
 
Join Date: Thu Jul 2008
Location: TANZANIA
Posts: 2,674
Thanks: 1,777
Thanked 841 Times in 496 Posts
Rep Power: 27
MwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

kaulizeni hizo saluni kama hao kina dada huwa wanadumu!!
__________________
The Past is lost to you forever and the future is not yet yours. Now is the Only time you own. Use it wisely........ Maria Fontaine
Reply With Quote
  #35  
Old 27th June 2009, 12:06 PM
Kyachakiche Kyachakiche is offline
Kyachakiche has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 149,498, Level: 100 Points: 149,498, Level: 100 Points: 149,498, Level: 100
Activity: 6% Activity: 6% Activity: 6%
 
Join Date: Mon Feb 2009
Posts: 474
Thanks: 109
Thanked 38 Times in 24 Posts
Rep Power: 22
Kyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enoughKyachakiche will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.

Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
Mkuu nashukuru kwa kukumbushia maswali nilyoyauliza kwenye hii mada. Hata hivyo ni vema pia kusika maoni ama mitazamo tofauti kuhusiana na mada husika kama vile unaionaje hii biashara, ni kwanini kwa siku za hivi karibuni imeshamiri sana.. nk.
Reply With Quote
  #36  
Old 27th June 2009, 06:29 PM
Ogah Ogah is offline
Ogah is Omnipotent
JF Premium Member
Points: 5,281,031, Level: 100 Points: 5,281,031, Level: 100 Points: 5,281,031, Level: 100
Activity: 12% Activity: 12% Activity: 12%
 
Join Date: Fri Mar 2006
Posts: 3,412
Thanks: 1,394
Thanked 383 Times in 211 Posts
Rep Power: 2031
Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.

Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
umesema vema, nilitegemea kuona na wewe ukijaribu kujibu accordingly ili kuonyesha mfano...lakini wapi....angalau ungesema kuhus hili swali lililoulizwa............ wewe huna majibu

pili, nimependa jinsi ulivyoepuka kutumia neno "ovyo ovyo" au "Hovyo Hovyo"....na umetumia neno "wanalipualipua"......well habari za huko Mheshimiwa..........

Back to the mada

Kusema ukweli kwenye biashara ni muhimu kuwa na strategies kuvutia wateja, otherwise ukiwa na business as usual unaweza kujikuta you don't make it.........kwa hiyo mwenye biashara "akili mu kichwa"

pili wateja (kiume/kike) tunapenda kuhudumiwa vizuri, sasa uteja huo uko wapi...thats debatable.....wengine wanasema wake zao ni mafundi wengine wanasema salon zinafanya kazi nzuri....inabaki kuwa very subjective issue.........na ili huduma zisiwe percieved subjective.....inabidi wenye biashara wawe na standard.......sasa kwenye hili sijui kama zipo

Culture nayo inachangia sana.......Our African Culture (Im sorry ndivyo tulivyo)........si vema kuruhusu jinsia tofauti kushika shika mwili wa jinsia mwingine.......ndio maana tumekuw ana majibu kama ulivyoyaona hapo juu mkuu.......ulimwengu wa wengine....trust me it is strictly business.....

kwenye American Top Model kuna jamaa anaitwa "Miss Alexander"....yaani siku zote perception yangu ilikuwa jamaa si riziki.....kumbe jamaa normal....thats what i mean when saying "Strictly business"

my 50cents
Reply With Quote
  #37  
Old 27th June 2009, 11:33 PM
mbwembwe mbwembwe is offline
mbwembwe has no status.
Member
Points: 54,441, Level: 100 Points: 54,441, Level: 100 Points: 54,441, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Fri Jun 2009
Posts: 14
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
mbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enoughmbwembwe will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

iyo ndio technologia ma utandawazi bwana, wache watuibie si tunaenda wenyewe
Reply With Quote
  #38  
Old 28th June 2009, 12:34 AM
WomanOfSubstance's Avatar
WomanOfSubstance WomanOfSubstance is offline
WomanOfSubstance is counting her blessings
JF Premium Member
Points: 800,587, Level: 100 Points: 800,587, Level: 100 Points: 800,587, Level: 100
Activity: 23% Activity: 23% Activity: 23%
 
Join Date: Fri May 2008
Posts: 3,658
Thanks: 424
Thanked 692 Times in 340 Posts
Rep Power: 29
WomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enoughWomanOfSubstance will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Sijawahi ona mwanaume anaenda kunyoa au kufanyiwa facial akiwa na mke wake!!
Angalia vizuri utaona ndugu.
__________________
Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. -- Buddha
Reply With Quote
  #39  
Old 28th June 2009, 04:40 PM
King Zenji King Zenji is offline
King Zenji has no status.
Senior Member
Points: 87,190, Level: 100 Points: 87,190, Level: 100 Points: 87,190, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Feb 2008
Posts: 85
Thanks: 10
Thanked 9 Times in 5 Posts
Rep Power: 23
King Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enoughKing Zenji will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Kama unaona wewe inakukwaza usiende. Au ukishanyolewa usisafishwe na hao wadada kama unaona itakuharibia......

,,,,,,Ha ha haaaaa!!,kuna jamaa mmoja huku zenji alikua anakoshwa uso na nywele baada ya kunyolewa,sasa saluni za siku hizi zenji wanaleta wadada walio jaaliwa toka bara,na kama unavyojua tena wadada wa kizenji wengi vi basmati(portable),lijamaa limeshamaliza kuoshwa linaambiwa MAKAME haya amka aje mwingine,,halitaki,,kumbe mambo yalikua yesha kua mabaya kwenye suruali,MNYAMA alikua kesha kamata network,kwa kweli ilikua kali kwelikweli.Hi kitu ni balaa lakini si ndo maendeleo bana,tutazoea tu.
Reply With Quote
  #40  
Old 28th June 2009, 09:20 PM
Sonara Sonara is offline
Sonara has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 213,351, Level: 100 Points: 213,351, Level: 100 Points: 213,351, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Thu Oct 2008
Posts: 407
Thanks: 7
Thanked 35 Times in 20 Posts
Rep Power: 22
Sonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enoughSonara will become famous soon enough
Default Re: Akina dada na salon za kiume!!

Quote:
View Post
Angalia vizuri utaona ndugu.
Hivi wasichana wetu hapa Bongo wanafanya BIKINI WAX katika hizo saloon?
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
akina, dada, kiume, salon

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Afumaniwa na dada yake akijivinjari na shemeji yake MziziMkavu Jokes/Utani + Udaku/Gossips 24 10th July 2009 06:34 PM
Homa ya akina dada katika mapenzi!!! Bikra Mahusiano, mapenzi, urafiki 5 18th May 2009 05:12 AM
Akina mama play your part,it can be done Njowepo Habari na Hoja mchanganyiko 0 13th March 2008 04:07 PM
Akina Dada Bubu Ataka Kusema Habari na Hoja mchanganyiko 55 18th August 2007 04:00 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 11:07 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com