Habari na Hoja mchanganyikoUna jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.
Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na kinyozi mmoja mwanaume.
Taratibu kwa kadri muda ulivyoendelea na utandawazi kushika hatamu, sasa tunashuhudia naweza kusema nyumba za kisasa kabisa zimejengwa ama kugeuzwa kuwa maeneo ya kunyolea nywele huku huduma nyingine za kuosha nywele,uso, kucha na nyingine kama hizo zikifanywa na akina dada tena warembo kweli kweli.
Baadhi ya hawa akina dada wamekuwa wanavaa nguo ambazo wakati mwingine zinaacha maswali mengi kwamba je ni huduma hii ya kufanya usafi wa nywele na uso ama ni zaidi ya hapo. Na zaidi ya hapo wakati wa hizi huduma wana minjonjo mingi tu kama kufungua vifungo vya shati ili waweke taulo/kitambaa, wasugue masikio, shingo,..nk.
Nawaulizeni wana-JF wenzangu, je kama uko na mai waifu wako akaona unayofanyiwa na hawa akina dada atakuruhusu uwe unakwenda peke yako? Au kama maiwaifu wako angekuwa anafanya kazi huko, ungemruhusu awafanyie wanaume wengine vile hawa akina dada wanafanya?
Inategemea na mkeo/mmeo anaelewa namna gani mimi siwezi kuacha kwenda hizi saloon kwa sababu wanasafisha vizuri kweli hata zile sehemu ambazo mimi na haraka zangu siwezi kumbuka kusafisha.....
Na hawa wanafanya kama nchi nyingine mfano nilienda lusaka, tena kule unanyolewa chumba hiki na unaenda safishwa chumba kingine sasa kama wewe ni mtu wa zipu wazi "ufwa wilola"
Kuna jamaa yangu alienda saloon baada ya kunyolewa akaanza kufanyiwa scrub kwa jinsi alivyokuwa anaguswa mpaka kwenye masikio anapitishwa vidole kwa ufundi na binti wa saloon, mwamvuli uko chini ukaanza kukunjuka, kidogo angepiga bao.
Mkuu Sipo,
Si useme tu wazi kwamba hayo yalikukuta wewe mwenyewe? Kwani wewe ulikuwa umekaa wapi wakati huyo jamaa anakaribia kupiga bao!!!!
Inategemea na mkeo/mmeo anaelewa namna gani mimi siwezi kuacha kwenda hizi saloon kwa sababu wanasafisha vizuri kweli hata zile sehemu ambazo mimi na haraka zangu siwezi kumbuka kusafisha.....
Na hawa wanafanya kama nchi nyingine mfano nilienda lusaka, tena kule unanyolewa chumba hiki na unaenda safishwa chumba kingine sasa kama wewe ni mtu wa zipu wazi "ufwa wilola"
Kwa nini usimunulie mkeo hivyo vitu ili akufanyie yeye nyumbani au unamaanisha mkeo ana mapungufu ya kukuandalia hata mambo mengine.
I think hizi huduma tuzifuatazo Saloon za kike au hata za kiume lakini tunapewa huduma hizo na wanawake zinaweza fanywa na wake zetu vizuri tu tena kwa style yoyote uitakao.
Mimi mke wangu ananifanyia mwenye na na enjoy sana kwa kuwa mkizidiwa mnaendeleza libeneke.
hata salon za wanawake kuna wanaume pia wanatoa huduma kwa wanawake.
Waombeni star TV warudishe kipindi chao cha FUTUHI, walisha wahi ionyesha hii, baba alimkuta mkewe saluni, kijana yuko bize anamsugua kucha.. na kumwambia miguu yako laini, huku mama akijibu mikono yako laini na vicheko vingiiii.. baba kiroho kikauma, mkewe kawa mbogo kwamba hiyo huduma ya saluni tu,
Basi baba kaondoka kaenda saluni ya kufanyiwa 'masaji' na kadada, basi kadada kakawa kako bize kumshika shika yule baba akawa anacheka cheka na kufurahii na kuahidi kuongeza malipo, mkewe alipo fika akakuta huduma kwa mumewe akataka leta zari.. kwamba hako kadada kwanini kana mshika mumewe, yule baba akasema hee, na hii ni huduma ya saluni tu!
It was so funny,
Kwahiyo hizo huduma za jinsia tofauti ni mtego mzuri wa kibiashara, na unafanyakazi vyema tu.
jamani waacheni wadada wa watu wamejitafutia ajira hapo kwa kuosha osha watu sura..unaetaka wakuosha sura tusiotaka kama sie twanyoa tu na kutoka nduki..maana sie wengine bwana tukishashikwa shikwa na wamama basi misisimuko inaanza na tunaogopa kufika mbali zaidi...kwahiyo ni wife tu ndo afanyakazi ya kunishika mwili