JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 32 of 32
  1. mwenyenguvu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 158
   Rep Power : 522
   Likes Received
   39
   Likes Given
   359

   Default Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Kila mara naangalia vyombo vyetu vya habari lakini napatwa na maswali mengi juu ya ITV/Radio One, kampuni hii naweza kusema inaongoza kwa kuhamwa na wafanya kazi wake, sijui tatizo ni nini hebu angalia mfano
   Regina Mwalekwa from ITV/Radio one to Clouds int.
   Miradi Ayo kaenda clouds
   Sebo kaenda channel ten
   Salum mkambala juzi tu namwona channel ten
   Janet Mwena kwenda clouds
   Abdul Mohamed kwenda clouds
   Musa wa 'mtaani kwetu'eatv kwenda clouds
   Sasa sifahamu tatizo ni nini? Au clouds ni tawi la itv? Au itv hawalipi vizuri au mazingira ya kazi ITV hayapo sawa? Naomba mnijulishe wadau

   Sent from Yahoo! Mail on Android

  2. Mdakuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,472
   Rep Power : 984
   Likes Received
   1707
   Likes Given
   2186

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By mwenyenguvu View Post

   Mbona huko Clouds nako hutaji walioondoka?
   1. ML Chris
   2. Ray C
   3. Lady Jaydee
   4. Finna Mango
   5. Gadna G Habash
   6. Sebastian Ndege
   7. Taji Liundi
   8. Seven

  3. Joyceline's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : dar es Saalaam
   Posts : 1,017
   Rep Power : 862
   Likes Received
   128
   Likes Given
   92

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By Mtoboasiri View Post
   Kufanya kazi kwenye organisation moja tu miaka nenda miaka rudi nako ni dalili ya kuwepo tatizo ama kwenye taasisi husika au mfanyakazi binafsi.
   Kweli kuna mama hapa ofisini kwetu yupo tangu mwaka 1981, wengine hatujazaliwa

  4. Adrian Stepp's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2011
   Posts : 1,822
   Rep Power : 894
   Likes Received
   644
   Likes Given
   4129

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By Mdakuzi View Post
   Mbona huko Clouds nako hutaji walioondoka?
   1. ML Chris
   2. Ray C
   3. Lady Jaydee
   4. Finna Mango
   5. Gadna G Habash
   6. Sebastian Ndege
   7. Taji Liundi
   8. Seven
   alikua east africa na si clouds!!!
   RIP Bibi!

  5. #24
   Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,542
   Rep Power : 85915142
   Likes Received
   2004
   Likes Given
   1025

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By King'asti View Post
   Sehemu yoyote ukiona turnover ya wafanyakazi ni kubwa kuna mawili.
   1- Wanawatrain wafanyakazi wao kwa hali ya juu sana, kiasi kwamba wanakuwa hot cake kwenye soko. Wakati mwingine wanakuwa head-hunted.

   2- hawalipwi vizuri ama mazingira ya kazi hayaridhishi (kwa usalama, integrity, comfortability na hata respect)
   Ya kwanza inaweza kuwa sahihi kabisa. Ukiachilia kwenda TBC, Clouds, Channel Ten na na vyombo vingine vya habari vya ndani ya nchi, ITV/Redio 1 wametoa wafanyakazi wengi kiasi chake kwenda BBC, DW na kadhalika. Hapa naongelea akina Flora Nducha, Salim Kikeke, Marehemu John Ngahyoma, Abdallah Majura na Faudhiyat Abood, Suzanne Mungi waliokuwa/wako majuu. Ila sijasikia mtu katoka Clouds FM kwenda majuu kutangaza. You know why! Msiniulize

   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  6. Lait noir's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd August 2012
   Posts : 99
   Rep Power : 7601
   Likes Received
   42
   Likes Given
   23

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By King'asti View Post
   Sehemu yoyote ukiona turnover ya wafanyakazi ni kubwa kuna mawili.
   1- Wanawatrain wafanyakazi wao kwa hali ya juu sana, kiasi kwamba wanakuwa hot cake kwenye soko. Wakati mwingine wanakuwa head-hunted.

   2- hawalipwi vizuri ama mazingira ya kazi hayaridhishi (kwa usalama, integrity, comfortability na hata respect)
   Na saa zingine yaweza kuwa yote mawili King'asti kama mfano wa Geita Gold Mine!

  7. Safari_ni_Safari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Kibaruani
   Posts : 17,806
   Rep Power : 3277024
   Likes Received
   9581
   Likes Given
   3670

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By watu8 View Post
   Mkurugenzi wa Radio One inasemekana hana elimu, nasikia kaishia STD 7 na elimu nyingine ni ya kujiendeleza tu...nasikia hata ngeli inampiga chenga yaani hawezi kabisaaaa.Kilichompa kazi kwa mara ya kwanza ni uzuri wa sauti yake ambayo inavutia kuisikiliza...
   Pili nasikia ni mtu wa majungu sana, haoni shida kumchomea mtu kwa mama(Mhaville)...na hicho ndio kilichompelekea akapandishwa cheo kutoka utangazaji wa michezo, habari na sasa Ukurugenzi.

   Kwa upande mwingine ni kiburi cha mama, pia inasemekana huwa hababaishwi na mtu...ikitokea amekuchukia kwa salama yako ni bora ufungashe tu virago maana itakuwa inakula pande yako sana.
   Mbweno?

   "If you can't RESPECT EXISTENCE then you must EXPECT RESISTANCE!"

  8. #27
   Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,542
   Rep Power : 85915142
   Likes Received
   2004
   Likes Given
   1025

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By Tbag Hatari View Post
   alikua east africa na si clouds!!!
   Ray C alishawahi kufanya kazi na Clouds FM pia, ingawa ni kwa muda mfupi sana
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  9. #28
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,636
   Rep Power : 429506157
   Likes Received
   27722
   Likes Given
   29094

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By Safari_ni_Safari View Post
   Mbweno?

   Hicho Kipare au lugha gani? mimi huyo Mkurugenzi hata simfahamu nimesimuliwa tu na wafanyakazi wake
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  10. Safari_ni_Safari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Kibaruani
   Posts : 17,806
   Rep Power : 3277024
   Likes Received
   9581
   Likes Given
   3670

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By watu8 View Post
   Hicho Kipare au lugha gani? mimi huyo Mkurugenzi hata simfahamu nimesimuliwa tu na wafanyakazi wake
   Ni Kihaya
   "If you can't RESPECT EXISTENCE then you must EXPECT RESISTANCE!"

  11. #30
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,636
   Rep Power : 429506157
   Likes Received
   27722
   Likes Given
   29094

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By Safari_ni_Safari View Post
   Ni Kihaya
   oooh na nahisi huyo Mkurugenzi naye ni wa huko huko
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  12. Mdakuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,472
   Rep Power : 984
   Likes Received
   1707
   Likes Given
   2186

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   Quote By Tbag Hatari View Post
   alikua east africa na si clouds!!!
   Acha ubishi, Ray C alipotoka East Africa akaenda Clouds, na ndiko alikojifunzia UDJ na baadaye kuanza fani ya muziki chini meneja wake Ruge Mutahaba!

  13. Mkali Tozz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2012
   Posts : 277
   Rep Power : 528
   Likes Received
   73
   Likes Given
   40

   Default Re: Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

   employee turn over is everywhere in the world, Not only ITV & RADIO ONE.We may discuss the reasons and its turn over ratio ......

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...