Habari na Hoja mchanganyikoUna jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
__________________ Miafrika Ndivyo Tulivyo!!
You are talking loud but saying nothing!
Last edited by Silencer; 20th June 2009 at 11:01 PM..
ahhahahahhahahh
wabongo noma sana baada ya kujifunza ya maana huko ulaya waliko wanajifunza upuuzi, sasa fikiria kaishi UK na kufanya upuuzi kama huo kweli wabongo noma , anastahili kufunzwa maana hakufunzwa na mama yake labda sasa atafunzwa na Sheria.
kila la kheri na mnaoishi nje someni ya kuisaidia nchi yenu sio kufanya yasomaana ni aibu .
Waambie Invisible a.k.a. kajumulo hahahahahh
Kajifunze Kiswahili halafu ndiyo uje hapa Jamvini bana, kama unashindwa hata kutofautisha kati ya BAADA na BADALA utaweza kuongea Pointi mkuu! Anyway Karibu kwa Jamvi
__________________ """ When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her." Lee Major