Habari na Hoja mchanganyikoUna jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
__________________ Miafrika Ndivyo Tulivyo!!
You are talking loud but saying nothing!
Last edited by Silencer; 20th June 2009 at 11:01 PM..
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,
- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.
- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.
- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.
Ahsante Sana Wakuu.
William. - Community Organizer (CO)
Mkuu kama ulivyotuletea hii habari kwa usibitisho wako wa kimaneno so far tunakubaliana na wewe, kwani jamaa yupo huru na shuhuli zake kama kawaida ,sasa zaidi Binafisi na hisi atafutwe huyu aliyebadika hiyo picha na kumuhusisha mtu ambae hakuwa na uhakika nae kwani ikiwa serekali itampata mlate habari kuna uwezekano mkubwa kwa njia moja au nyingine yakaeleweka mengi ,kama tunavyo juwa ulimwengu wa leo watu ni hodari kubadilisha upepo unapo waelemea sasa hatujuwi kama mleta habari na hiyo picha yeye binafsi anao uhusiano wowote na zeutamu na ndio anajaribu kuondosha hizi habari zisimuelemee upande wake naimani JF itatowa ushirikiano kwa vyombo vya dola ndani na nje ili kumtambuwa mtowa habari hizi.
hapa suala la jurisdiction likeletwa litapigwa chini maana tayari yumo mikoni mwao...
Cha kufanya ni akatae tu kwamba hizo picha za the utamu si za wahusika na kuwarudishia mpira wao ili wa-proove kwamba ni zao na tuwajue ni akina nai hao...
Kwenye hili la zeutamu, nawahakikishieni Tanzania haiwezi kufanya lolote kwa sababu mbili kuu,
1. Tanzania hatuna any Cyber Legistlation. Yaani hatuna sheria ihusuyo mambo ya
mtandao, hata akikamtwa atashitakiwa kwa sheria gani?.
2. Kama kosa limetendeka nje ya mipaka ya Tanzania, mahakama za Tanzania hazina any jurisdiction za kusikiliza shauri lililofanyika nje ya Tanzania. Uthibitisho wa hili mtaushudia hivi karibuni kwenye kesi ya Prof. Mahalu jinsi ule ushahidi wa mtandao utakavyo pigwa chini kwa sababu sheria yetu ya ushahidi "Evidence Law"haiutambui ushahidi wa aina hii.
Kitu ambacho serikali inaweza kufanya ni kumshitaki huko huko aliko, kosa la kweli ni kama angeweka picha za watoto under "child pornography" lakini hizi za mtu mzima, sijui.
Kisa hiki cha zeutamu sasa ndio kitatufungua macho tuko nyuma kiasi gani, Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 haiwezi lolote hapa ni kapa kapa kapa tupu.
Nyani Ngabu vp mbona sikioni umeingia mitini Komredi?
Serikali imeshindwa kurudisha pesa za rada huko visiwa vya U.K eti inaomba kumkamata ze utamu kha! jamani hivi wameshindwa hata kuwashughulikia walio kula pesa za EPA kupitia KAGODA wanahangaika na ze utamu.... huyo mwacheni mbona bushi amechafuliwa sana kwa mtandao sijawahi sikia USA inahangaika kuwatafuta wamiliki....jamani tujadili maendeleo ze utamu mwacheni atajifia mwenyewe.
Tuanze na pesa za rada watuambie wamewaomba interpool kusaidia sehemu waliyo ficha? watu eleze wamesha waomba interpool kujua vile vijisenti vimeishia wapi vya kule kwenye kisiwa?Jamani msiwe na uchungu na mzee Utamu mpaka achafuliwe rais ndo mnajidai kufuatilia kwa makini? Dadaangu ametundikwa pale hamkuomba hata serikali imtafute haya jama mkae mkijua mnawapa watu ulaji kwenye hili dili la kumtafuta ze utamu mtakapo kuja kuambiwa zimetumika bilioni 35 kumsaka ze utamu duniani popote pale msibaki vinywa wazi. Tushukuru tu mtandao umesha fungwa basi watu wapo na amani sasa.
Nataka niulize ile Grobalpublishers nayo vp haiwachafui watu? au hii kwa vile ipo home tu hapa hapa? au wale wanarekebisha tabia za watu? Au mpaka aandikwe waziri mkuu basi watu mtafunguka macho kuwa wana wananga watu?
Kwa herini narudi kujiexpress Komredi tutaonana nyumbani.
__________________ Ukiuza utumbo usiogope nzi. Chuda Raha