Habari na Hoja mchanganyikoUna jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
Nyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
__________________ Miafrika Ndivyo Tulivyo!!
You are talking loud but saying nothing!
Last edited by Silencer; 20th June 2009 at 11:01 PM..
Tuangalie hii ishu kwa mapana zaidi.Okay,jamaa alikuwa anawindwa kwa tuhuma za ku-photshop picha ya JK (wengine wanasema yule sio JK bali ni kufanana sura tu because the picture in question was not accompanied with a caption or a name).Whether alichofanya ni kosa au ni sahihi,depends na mtizamo wa mtu kuhusu freedom of speech/expression especially wapi inapoanzia na kuishia.
Tunachoelekea kukipuuza hapa ni kuwa zeutamu ilikuwa chapisho la mtandaoni kama ilivyo JF.Japo contents za sites hizi mbili ni mithili ya usiku na mchana (wa kitropiki),zote essentially ni sehemu ya ushirikishaji umma katika mtandao.Lakini la muhimu zaidi ni ukweli kwamba sites zote mbili,zeutamu na JF ni WAWINDWA.Wakati zeutamu ilikuwa inawindwa na victims wake,JF ni target muhimu ya mafisadi.
Kwahiyo wakati baadhi ya wenzetu wanafurahi kiama kilichomfikia zeutamu (which is fine kwa vile kila mtu ana uhuru wa kufurahi au kukasirika),ni muhimu tuangalie hatma ya JF in the context ya kilichoikumba zeutamu.
Ikumbukwe kuwa zeutamu became "an extremely dangerous site" ONLY WHEN ILIPOWEKA HIZO PHOTOSHOPPED PICS.Na hapo ndipo tunapaswa kutafakari.JF imeendelea kuwa mwiba mchungu kwa mafisadi day in day out,come rain come sunshine.For that matter,kama ni makosa basi la zeutamu lilikuwa moja tu (touching the untouchables) while sie hapa tunafanya hivyo kila siku.
JE TUKO SALAMA KIASI GANI? Ili kutafakari ipasavyo,ni muhimu kuchora mstari unaolinganisha na kutofautisha tovuti hizi mbili.
Last edited by Mlalahoi; 19th June 2009 at 09:46 PM..
Wewe unayesema ushirikiano wa shigongo na huyu kijana fikiria jambo lifuatalo kamanda kova wiki iliyopita alienda kwa shigongo kufanya nini kama sio kukubaliana kuhusu kijana huyu au wale wote wanaohusika nae jambo lingine angalia upande wa technologia niliwahi kubandika kitu fulani kuhusu the utamu address yake ( mmoja wa watu anayetumia email ya utamu ) alituma email fulani tokea san diego hivi vyote vinaweza kutumika kama ushahidi
Ahhh Shy....unataka ku-steal credits za Interpol?Au mzee na wewe ni Interpol?
Tuangalie hii ishu kwa mapana zaidi.Okay,jamaa alikuwa anawindwa kwa tuhuma za ku-photshop picha ya JK (wengine wanasema yule sio JK bali ni kufanana sura tu because the picture in question was accompanied with a caption or a name).Whether alichofanya ni kosa au ni sahihi,depends na mtizamo wa mtu kuhusu freedom of speech/expression especially wapi inapoanzia na kuishia.
Tunachoelekea kukipuuza hapa ni kuwa zeutamu ilikuwa chapisho la mtandaoni kama ilivyo JF.Japo contents za sites hizi mbili ni mithili ya usiku na mchana (wa kitropiki),zote essentially ni sehemu ya ushirikishaji umma katika mtandao.Lakini la muhimu zaidi ni ukweli kwamba sites zote mbili,zeutamu na JF ni WAWINDWA.Wakati zeutamu ilikuwa inawindwa na victims wake,JF ni target muhimu ya mafisadi.
Kwahiyo wakati baadhi ya wenzetu wanafurahi kiama kilichomfikia zeutamu (which is fine kwa vile kila mtu ana uhuru wa kufurahi au kukasirika),ni muhimu tuangalie hatma ya JF in the context ya kilichoikumba zeutamu.
Ikumbukwe kuwa zeutamu became "an extremely dangerous site" ONLY WHEN ILIPOWEKA HIZO PHOTOSHOPPED PICS.Na hapo ndipo tunapaswa kutafakari.JF imeendelea kuwa mwiba mchungu kwa mafisadi day in day out,come rain come sunshine.For that matter,kama ni makosa basi la zeutamu lilikuwa moja tu (touching the untouchables) while sie hapa tunafanya hivyo kila siku.
JE TUKO SALAMA KIASI GANI? Ili kutafakari ipasavyo,ni muhimu kuchora mstari unaolinganisha na kutofautisha tovuti hizi mbili.
Si walishatu beep Mkulu wa kaya akawapiga stop. As long as hatuingizi habari za kipuuzi kama hizi za ze utamu, cost ya kuifunga JF kwa maguvu ni kubwa kwa serikali kuliko hasara ya kuiacha JF iwe hewani.
Mkulu yuko na Makamba, ambaye ana uzoefu sana na ma online forum alikuwa mchangiaji mzuri sana YA na hata humu anakuja sana, si ajabu anamwambia waachie waseme tu, ukiwashughulikia itakugharimu ki image sana mpaka kimataifa.
Tayari walivyotubeep tu vi communique vilishaanza kutoka viofisi vya haki za binadamu New York na Geneva.
Hatujawa tishio bado, not to that extent ama sivyo Invisible angekiona cha mtema kuni.
Hii sio mara ya kwanza kuelezwa hapa kwamba Ze utamu kapatikana. Last time lilitajwa jina na picha ikawekwa ya kijana mmoja anaitwa Gerald Kigisi. Baadae ikaonekana habari hiyo haikuwa ya ukweli. Nitabaki kutokuamini yanayosemwa hapa mpaka iwe proved otherwise.
Halafu eti tunamsubiri William aje afanye confirmation kwamba ndugu yake ndiye ze Utamu!!! Itakuwa ajabu endapo William atajitokeza na kusema ni kweli ndugu yake ndiye alikuwa anaendesha ze utamu.
Swali la msingi la kujiuliza ni gharama kiasi imetumiwa na serikali ya Tanzania kumsaka huyu Ze utamu? Si ajabu ukaambiwa zimetumika shs. bilioni 10. Nimelazimika kusema hivi kwani nina amini serikali ya TZ haina uwezo hata kidogo wa kuweza kusimama yenyewe na kumtafuta huyu mtu. Kwa vyovyote walifanya out sourcing ya wataalamu la sivyo hiyo website ingefungiwa kwanza isionekane Tanzania wakati wakiendelea kumsaka. Nina imani siku wakawa na huo uwezo wa kuzuia website kadhaa zisiweze kufunguka ndani ya Tanzania, basi website ya kwanza kufungiwa itakuwa JF.
- Wakuu kumekuwa na tetesi ya hii habari kwa muda sasa, na hasa wiki iliyopita toka Jumapili nimejaribu sana kufuatilia kwa makini sana hii ishu kwa kujadiliana na wananchi mbali mbali wanaoifahamu, na ni muda mfupi tu uliopita nimeongea na mwenyewe mhusika akiwa akiwa anaendesha gari barabarani akitokea Birmingham kwenda nyumbani kwake,
- Na as a man na pia kama ndugu, nikamuuliza swali moja tu is it true or not, akanijibu kwamba he has absolutely nothing to do with it, na kwamba never katika anytime kuna yoyote kutoka kwenye authorities either ya Tanzania au ya UK amewahi kumuuliza anything on the ishu, sasa kama ndugu I take him at his word kwamba he is telling the truth and nothing but the whole truth.
- Nimeamua kuongea kama bina-adam, tena against ushauri wa wengi sana kwamba I should stay out of this mess, my heart goes kwa the victims wa hiyo kitu ambayo kwangu hata kuitaja nasikia chills mwilini kutokana na habari nyingi mbaya sana nilizowahi kuzisikia, binafsi nimewahi kuichungulia mara mbili tu, kwanza walipodhalilishwa marafiki wa karibu sana na familia yangu, na pili alipodhalilishwa Mheshimiwa rais, na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha kuondolewa kabisa kwa hiyo kitu ambayo ninaiita mkono wa shetani.
- Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, ni matumaini yangu kwamba authorities yetu wako on the top of this ishu, ni kukamatwa tu kwa owner ndiyo njia pekee ya kuelekea kwenye healing na recovery kwa victims ambao nasikia ni wengi sana wa hiyo kitu, ninawaombea Mungu awape baraka na spirit of quick recovery ingawa pia with the presha toka kwa pilato na this ishu in the last few weeks, baada ya hii topic nitajiweka kando rasmi na mitandao in general mpaka huko mbele ya safari ambako sijui itakuwaje na ni lini.
Hii sio mara ya kwanza kuelezwa hapa kwamba Ze utamu kapatikana. Last time lilitajwa jina na picha ikawekwa ya kijana mmoja anaitwa Gerald Kigisi. Baadae ikaonekana habari hiyo haikuwa ya ukweli. Nitabaki kutokuamini yanayosemwa hapa mpaka iwe proved otherwise.
Halafu eti tunamsubiri William aje afanye confirmation kwamba ndugu yake ndiye ze Utamu!!! Itakuwa ajabu endapo William atajitokeza na kusema ni kweli ndugu yake ndiye alikuwa anaendesha ze utamu.
Swali la msingi la kujiuliza ni gharama kiasi imetumiwa na serikali ya Tanzania kumsaka huyu Ze utamu? Si ajabu ukaambiwa zimetumika shs. bilioni 10. Nimelazimika kusema hivi kwani nina amini serikali ya TZ haina uwezo hata kidogo wa kuweza kusimama yenyewe na kumtafuta huyu mtu. Kwa vyovyote walifanya out sourcing ya wataalamu la sivyo hiyo website ingefungiwa kwanza isionekane Tanzania wakati wakiendelea kumsaka. Nina imani siku wakawa na huo uwezo wa kuzuia website kadhaa zisiweze kufunguka ndani ya Tanzania, basi website ya kwanza kufungiwa itakuwa JF.
2.I suspect serikali ya Tanzania iliiomba tu serikali ya Uingereza kuisaidia kumtafuta huyu bwana.Kwa vile sasa hivi with terrorism and all serikali za magharibi zinakuwa very eager ku cooperate, hasa kwa kesi kama hizi, hapa serikali ya Uingereza imeshaifanyia favor serikali ya Tanzania basically kwa kum order ISP tu afanye tracking na kuangalia malipo ya credit card, ambayo huyu bwana alikuwa majununi kalagabaho kiasi cha kutumia credit card zake mwenyewe na kuacha a paper trail that is longer than the Nile.Kwa hiyo inawezekana kwamba kuna ki effort cha ufuatiliaji kimetumiwa lakini sioni kama kumfuatilia mtu kwa ISP na kutrack credit card kutatumia hela nyingi.
Bottom line, tusitake kutumia kesi kubwa za mafisadi ku excuse hizi tabia chafu.Ningependa kuona watu wakiipa pressure serikali kwamba kumbe ikiamua kufuatilia vitu inaweza, kwa nini isifuatilie maswala ya EPA na ubadhirifu mkubwa mwingine?