Re: Ze Utamu blogger under arrest
Hehehee,
Isije kuwa kama wakati wameanza kuzishambulia P2P. Walishitaki wee, ikafa(Nepstar?). Hapo zikafumuka Kazaa, Donkey nk nazo wakazishitaki na zikafa. Sasa ndiyo zimekuja BABA LAO maana huko unapata kila kitu katika high class. Ukiacha na akina TORRENT. Sasa hivi hawa akina Rapidshare, Megashare, Zshare nk ni wabaya kuliko hata wale wa mwanzo kwani huko sasa unakuta hadi film katika blueray, wewe wavuta tu na kuchoma bila woga wowote.
Haya, tusubiri tuone. Ila naona sasa vijana wamepewa challenge maana kila akifumuka kichaa wa IT atasema "Catch me if you can......" na atakuja na zeutamu mbaya kuliko ya mwanzo..... Hii kitu ni mwanzo tu, Mzee Punch atadumu milele, sema mwanzo alikuwa kwenye kuta za UDSM, sasa yuko kwenye Mtandao.... Yangu macho.
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
|