Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

    Report Post
    Results 1 to 12 of 12
    1. #1
      Mwanaharakatihuru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2012
      Posts : 474
      Rep Power : 0
      Likes Received
      114
      Likes Given
      14

      Default OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Kutokana na sensa kufunikwa na maswala ya udini, maswala ya siasa na maswala ya maslahi ni bora hekima ikatumika sensa ihairishwe mpaka mambo yakae sawa. Tukiendelea kwa maswala ya liwalo na liwe kuna mdau mmoja ametahadharisha watu watalala misikitini na kama kumbukumbu zinazohitajika ni za aliye lala basi hawajalala nyumbani

      Serikali ni kodi za wananchi mnazotumia busara itumike

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      nicksemu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : DSM
      Posts : 142
      Rep Power : 396
      Likes Received
      30
      Likes Given
      2

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Naunga mkono hoja

    4. #3
      Sometimes's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th December 2010
      Posts : 1,365
      Rep Power : 760
      Likes Received
      230
      Likes Given
      39

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Maji ukiyavulia nguo, lazima uyaoge!

    5. #4
      Njangula's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 179
      Rep Power : 418
      Likes Received
      16
      Likes Given
      1

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Naunga mkono!

    6. #5
      Yaya Toure's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2012
      Posts : 1,234
      Rep Power : 655
      Likes Received
      272
      Likes Given
      117

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Ntakuwa gesti siku hiyo na staki kabisa usumbufu
      Ni hatari sana kwa afya yako kushabikia siasa za Tanzania....

    7. Miaka 50

    8. #6
      dwight's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 287
      Rep Power : 491
      Likes Received
      20
      Likes Given
      3

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Watu wote watakaolala hotel/guest,wasafiri,wawindaji,wavuv i watahesabiwa!
      Ila serikali haijajiandaa maana vifaa hakuna.

    9. #7
      simplemind's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2009
      Posts : 2,848
      Rep Power : 1155
      Likes Received
      509
      Likes Given
      0

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Mwanaharakatihuru hasara ya bilioni 140 alotaja Pinda isikupe presha itakuwa a mere drop in an ocean of hasara's/ mabilioni ya uswisi, radar,malipo haramu ya capacity charges,mikataba mibovo sekta ya madini/gas inayopelekea tusifaidi rasilimali zetu etc etc

    10. #8
      Msalagambwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2012
      Posts : 537
      Rep Power : 453
      Likes Received
      178
      Likes Given
      530

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Serikali ya CCM ikijua idadi kamili ya Watanzania,
      taarifa hiyo itasaidia kufanya nini??

      Kwamba itawajali zaidi?

      Tusubiri mpaka tupate serikali ya watu ndipo tuhesabiane vema.
      hawa wenye kutaka kipengere cha Dini wawekewe kipengere hicho.

      tatizo ni pale watakapo gundua Waislamu ni 29.5%,
      sijui watasema sensa imechakachua???

    11. #9
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      kuna tetesi kuwa Waislamu wenzangu wanataka siku ya Ijumaa iwe siku ya mapunziko kama ilivyo Juma2 siku ya ibada ya wakristo na Jumamosi kwa wasabato...SIUNGI MKONO HOJA YAKO SENSA IENDELEE KAMA KAWAIDA

    12. #10
      Nkwesa Makambo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th August 2011
      Posts : 1,029
      Rep Power : 0
      Likes Received
      164
      Likes Given
      153

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Sensa ikisitishwa itakuwa ni kutambulisha jamii kuwa serikali ni ya KIDINI kwa kuwa itakuwa imesalimu amri kwa wamiliki wake,kama serikali yetu ni secular sensa iendelee,kujua idadi ya WATZ ni muhimu hao wahuni wachahche waachwe kwani,kuwahesabu au kutowahesabu tarehe 26 hakuzuii kujua idadi yao,kwni orodha iliyotangulia zoezi la vitambulisho vya taifa kwa kila kaya itakuwa imewajumuisha ni swala la wanatakwimu kutumia bongo kidogo kutoa na kujumlisha tutapata idadi ya watz wote hata kama kuna majuha wamegomea kuhesabiwa na serikali ili wajijue wako wangapi,Kwangu mimi sensa haikuwa na sababu ya kufanyika wakati tulikuwa na zoezi ambalo lingejumuisha mahitaji ya kwenye sensa,lakini kwa kuwa serikali iko short sighted basi sensa ifanyike angalau tujue kupitia zoezi hili idadi na mtawanyiko wa watz,kiuchumi,kijinsia,kimazin gira na kimaumbile

    13. #11
      Sideeq's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Posts : 1,597
      Rep Power : 799
      Likes Received
      212
      Likes Given
      0

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      Quote By Nkwesa Makambo
      Sensa ikisitishwa itakuwa ni kutambulisha jamii kuwa serikali ni ya KIDINI kwa kuwa itakuwa imesalimu amri kwa wamiliki wake,....
      Sasa Serikali isipo "salimu amri" kwa raia wake japo mmoja achilia mbali mamilioni ya Waislamu unataka iwasikilize kina nani? raia wa Zambia?!
      Ama kweli wewe ni msiba ndani ya msiba.

    14. #12
      peri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 1,193
      Rep Power : 652
      Likes Received
      372
      Likes Given
      40

      Default Re: OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

      wanatuchezea waislam, waacheni waone watakavyo aibika.
      Hawataki kuwasikiliza wananchi wao watawasikiliza kina nani?

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...