Kuna mtu amefariki kwa ajali ya daladala mjini tanga ila cjapata habari zaidi nikizipata fresh nitawajuza,,,,
Kuna mtu amefariki kwa ajali ya daladala mjini tanga ila cjapata habari zaidi nikizipata fresh nitawajuza,,,,
kwani usingezipata kbs ndo ungetuambia
diet! Fuatilia urudi tena!
Hatuwataki member wanaokuja humu nusu nusu!
Kuwa makini na kazi yako.
Follow Us Here