Re: Billion 140 za sensa.
...Ni kweli alikuficha???
...Alihonga shilingi 114,000/= akitegemea kuwa malipo ya shilingi Ngapi???
...Kama alikuficha wakati wa kuhonga kwa nini akuambie sasa??
...Umechukua hatua gani baada ya kugundua kuwa kijana wako amehonga 114,000/= ili kupata kazi ambayo
hajui kipato chake cha mwisho kitakuwa shilingi ngapi??
...Haya malalamiko yake sasa yanakuja baada ya kugundua kuwa walidanganyana vijiweni kuwa malipo ya
ukarani yangekuwa ni shillingi Milioni na Ushee ndio maana akawa tayari kuhonga 114,000/=??
...Baada ya kijana wako kukiri kuwa amehonga mtu 114,000/= ili kupata kazi ya muda ya ukarani wa Senda
MMCHEKUA HATUA GANI ?????
Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!
Follow Us Here