Kila nikipiga hii namba huwa haipokelewi kamwe, badala yake wanakula hela yangu tu kwa matangazo yao! Kwa nini hii namba haipokelewi? Mwenye msaada tafadhali tupia hapa Jukwaani! Anyway nilitaka kuwauliza kwa nini mitaa ya Kimara Temboni maji hayatoki hii wiki ya tatu mfululizo! Namba yao ya 0775048554 ya Kimara haipatikani kabisa ...

Reply With Quote


Follow Us Here