Ndugu wana jf kuna nyumba inaungua moto huku temeke,yombo vituka karibu na karakana ya tazara.nyumba iko mtaa wa kiembe samaki.muda wa nusu saa sasa fire bado hawajafika.naomba msaada kama wahusika wanasoma.moto unazidi na kuna uwezekano wa nyumba nyingine kushika.namba 0655222214

poeni bandugu,
inawezekana magari yao hayana maji, wapigieni kikosi cha zimamoto uwanja wa ndege kwani wao wapo karibu zaidi ya wale wa makao makuu.
Ni rahisi zaidi popo kuwa ndege, kuliko ndizi kuwa tunda
Flems za maduka zote tano zimeteketea,vyumba sita vyote vimeteketea.kifupi nyumba imekwisha yote.watu wanajitahidi kuzuia usiende nyumba za jirani.no fire rescure
kama mngepiga namba yao ya land line wangekuja mapema angalau, lakini ile ya emergence, unaweza kuta anayepokea hiyo simu yupo mbali na eneo anapoweza kuwashtua wenzake ili waende kuhami uhai na mali za watu dhidi ya moto.
Once again poleni sana.
Ni rahisi zaidi popo kuwa ndege, kuliko ndizi kuwa tunda
Ndo kwa mana tunahiitaji CHADEMA iingie madarakani ili kuondokana na huu uzembe, kituo cha fire kipo kimoja hivi moto ukitokea Kibamba?bila kuwaondoa nyie wazembe tutaendelea na majanga kila siku.
Usiku huu inawachukua saa 1. Kwa nini kusiwe na vituo vingi zaidi? Mbona mapolisi wana vituo kila sehemu? Huu mji mkubwa jamani, we need at least 10 fire and rescue stations. Poleni ndugu!
Follow Us Here