Re: Rada ya BAE Systems DIA imekufa wiki ya 3 hii
[QUOTE=J4MAYOKA;4451741]Hii wiki ya pili
na nadhani mnajua kama BAE SYSTEMS wanataka ma bilioni kuja kuifanyia marekebisho
uzuri rada tuliuziwa na wawekezaji ambao tunawapenda na tunawaona sio matapeli (wazungu)
Ingekuwa tumeuziwa na Waarabu naona kungekuwa kunawaka moto sasa
Kazi kwenu na nchi yenu ya kufikirika
Najua uwanja wa ndege umebadilishwa jina lakini silipendi kulitumia hiyo jina kipya linantia kichefu chefu na naomba uamuzi wangu uheshimiwe[/QUOTE]
kama hutaki kuutambua kuwa unaitwa mwalimu J. K Nyerere international airport sasa hilo tatizo lako mm siwezi kuheshimu uamuzi usio na mantiki!
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!
Follow Us Here