1st July 2009, 03:02 PM
mmaroroi
has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Thu May 2008
Posts: 769
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power:
23
Re: Sakina datoo is no longer ipp employee
Ebu muendelee kutupa data maana huyu Datoo katoka Mwananchi Juzijuzi tuu,mbona anahamahama asijekuwa anatumiwa.
1st July 2009, 03:50 PM
Amosam
has no status.
Senior Member
Join Date: Thu Jan 2009
Posts: 156
Thanks: 0
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power:
22
Re: Sakina datoo is no longer ipp employee
Nafikiri kilichomtoa pale ni pamoja na watu wanaofanana ngozi naye kuitwa mafisadi papa na mmiliki wa IPP,hivyo kahisi ubaguzi kaamua kukitoa
1st July 2009, 04:01 PM
IronBroom
is just that
JF Senior Expert Member
Join Date: Thu Jun 2008
Location: Nyumbani
Posts: 353
Thanks: 65
Thanked 52 Times in 36 Posts
Rep Power:
22
Re: Sakina datoo is no longer ipp employee
Quote:
Nafikiri kilichomtoa pale ni pamoja na watu wanaofanana ngozi naye kuitwa mafisadi papa na mmiliki wa IPP,hivyo kahisi ubaguzi kaamua kukitoa
Ooops....too low of you.And,that cant be Sakina.
1st July 2009, 06:48 PM
BabaDesi
has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Sat Jun 2007
Posts: 641
Thanks: 114
Thanked 54 Times in 36 Posts
Rep Power:
24
Re: Sakina datoo is no longer ipp employee
...Usikatae. Inawezekana.
2nd July 2009, 10:06 PM
Songambele
has no status.
Senior Member
Join Date: Tue Nov 2007
Posts: 204
Thanks: 4
Thanked 15 Times in 12 Posts
Rep Power:
23
Re: Sakina datoo is no longer ipp employee
IPP media ni noma, na asingeweza kukaa kwani inaonekana that is not place of great thinkers zaidi ya kudumisha fikra za mwenyekiti.
IPP kulipa milioni 11??? kama inawezekana basi ndio sababu moja wapo ya kuaanza, zaidi ya yote private sector ikikuhitaji basi ni lazima itakugharamia lakini ikikukataa haiitaji tume kuamua vinginevyo na kuandika barua ni utaratibu wa kiungwana zaidi.
2nd July 2009, 10:32 PM
Geoff
geoff@jamiiforums.com
JF Premium Member
Join Date: Fri Jan 2009
Location: CHAWOTE BAR!
Posts: 7,000
Thanks: 1,896
Thanked 2,046 Times in 1,381 Posts
Rep Power:
36
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
Quote:
Kaenda wapi tena..?
IPPMEDIA kutakuwa na matatizo madogo madogo..mie sioni tatizo hata kama wakiondoka wote.
Vijana wapewe nafasi tu!
hatutegemei GEMBE akaongea kauli tofauti na hii!
__________________
''TRUTH TAKES TIME''
3rd July 2009, 12:45 PM
Barubaru
has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Mon Apr 2009
Location: Doha, Qatar
Posts: 1,317
Thanks: 256
Thanked 248 Times in 185 Posts
Rep Power:
23
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
Haya ni mambo ya kawaida kwa mfanyabiashara yoyote. Sasa ni wakati ake kuangalia ni wapi anafanya makosa na kuyasahihisha ili kuendelea na biashara. Kwani dunia ni ushindani.
Tusimlaumu au kumshika mtu uchawi. IPP ijipange upya.
3rd July 2009, 01:08 PM
superfisadi
has no status.
Member
Join Date: Fri May 2009
Posts: 40
Thanks: 0
Thanked 4 Times in 4 Posts
Rep Power:
0
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
ufisadi unaelekea kushika hatamu manake waswahili wanasema adui yako mpe shughuli sasa mengi kleshapewa wao wanaend front line
3rd July 2009, 02:09 PM
Froida
has no status.
Senior Member
Join Date: Mon May 2009
Posts: 198
Thanks: 0
Thanked 3 Times in 1 Post
Rep Power:
21
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
Mambo ya kawaida katika kazi atapatikana anayependa kufanya huko
3rd July 2009, 02:26 PM
Josh Michael
has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Fri Jun 2009
Location: Kibandani
Posts: 2,010
Thanks: 1,193
Thanked 197 Times in 152 Posts
Rep Power:
25
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
Labda kuna ajenda nyingine sana, Wanafanya sana spinning zaidi yao. ni kitu safi tu kuhama but kuna kitu
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
Thread Tools
Display Modes
Rate This Thread
Linear Mode
Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts
HTML code is Off
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako !
All times are GMT +3. The time now is 10:44 AM .
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com