Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi
Habari na Hoja mchanganyikoUna jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
Baada ya Sakina Datoo kuondolewa katika uongozi wa IPP media na Msaki kujiuzulu, mhariri wa makala Loy Nabeta naye ameandika barua ya kujiuzulu wiki iliyopita.
Ku-resign kwa waandishi hao wawili...kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono.
Mkuu hivi unamfahamu vilivyo Loy... si mtu wa kushikwa mkono na sakina, hata kidogo
kuna jamaa wanataka kummaliza mengi katika njia zote, inabidi mjomba awe makini sana kwani hawa jamaa ni mafia na wako kwenye system nzima kuanzia serikalini mpaka kwa wananchi wa kawaida hivyo mtu mzima lazima awe makini sana
Vijana wa clouds FM wana msemo "VITA NI VITA MURAA; UNAKUJA NA JEMBE MJINI UNATAKA KULIMA RAMI " Kwa kweli mtu mzima ni lazima awe makini sana kwani he is dealing with the DON CORLEONES[ MAFIA KINGPINS}
Matatizo ni makubwa, sasa hivi IPP Media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
Siamini haya yanayoandikwa kuwa wafanyakazi wa IPP media wanapata tabu kupata mishahara yao; naona hizi kama ni negative propaganda against Mengi. Juzi juzi tu Mengi ametoa mchango kwa kanisa huko Moshi kiasi cha shilingi millioni 400 atashindwaje kuwalipa mishahara wafanyakazi wake? Haingii akilini.
Ku-resign kwa waandishi hao wawili na mwingine anayeitwa Joyce Kisaka kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono. Nadhani ni kutokana na ushawishi wa Sakina huyo huyo ndio maana wame-resign. Bila shaka kuna kitu wanataka kufanya kwani katika siku za hivi karibuni wamekuwa karibu sana na RA na wapambe wake akina Zitto Kabwe na Omari.
Huyo Sakina Dewji 'Datoo' aliichanganya The Guardian kwa fitna kama kaka yake Kassim Dewji alivyoichanganya Simba SC wakati fulani. Ni watu hatari sana na bila shaka fitna ipo kwenye damu.
Mkuu MzeePunch,are you sure na Joyce Kissaka ameacha kazi IPPMEDIA? please check and confirm.
wana JF taarifa nilizopata leo toka ofisi ya MSHANA ni kuwa SAKINA DATOO jana jioni amekabidhi barua ya kuacha kazi Rasmi toka IPP ninafanya jitihada kupata kivuli cha barua hiyo ili niiweke hapa,kwani naambiwa ni barua ya page tatu inayoeleza matukio mengi yaliyopelekea yeye kufanya uamuzi huo.
wana JF taarifa nilizopata leo toka ofisi ya MSHANA ni kuwa SAKINA DATOO jana jioni amekabidhi barua ya kuacha kazi Rasmi toka IPP ninafanya jitihada kupata kivuli cha barua hiyo ili niiweke hapa,kwani naambiwa ni barua ya page tatu inayoeleza matukio mengi yaliyopelekea yeye kufanya uamuzi huo.
naomba kuwasilisha
Like any other employee, she has just exercised her right (if this is true); moreover, Sakina being such a professional and holging such senior and sensitive posts at IPP Media, it is a good decision ---rather than wait for a sack or another transfer to lesser depts
Only concern hapa ni kama atabaki professionalist au ndio atahama kambi kama wanasiasa.... Naomba mungu asiwe journalist mandazi kama baadhi yao. Atakuwa amejiaibisha, kaaibisha familia yake especially na watanzania kwa ujumla
THERE IS NOTHING BETTER THAN EXERCISING YOUR CAREER AND PROFESSIONAL RIGHTS...
wana JF taarifa nilizopata leo toka ofisi ya MSHANA ni kuwa SAKINA DATOO jana jioni amekabidhi barua ya kuacha kazi Rasmi toka IPP ninafanya jitihada kupata kivuli cha barua hiyo ili niiweke hapa,kwani naambiwa ni barua ya page tatu inayoeleza matukio mengi yaliyopelekea yeye kufanya uamuzi huo.
naomba kuwasilisha
This is old news nashangaa imechelewa kufika hapa pa sikuzote
Kikosi cha CSI cha JF mmekuwa slow sana kupata data