Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi
Habari na Hoja mchanganyikoUna jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
Baada ya Sakina Datoo kuondolewa katika uongozi wa IPP media na Msaki kujiuzulu, mhariri wa makala Loy Nabeta naye ameandika barua ya kujiuzulu wiki iliyopita.
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
hii habari ya mishahara kwa makampuni mengi ni tatizo, nenda kiwira, tanzania relwe, habari copr.
sio kama RA anawalipa vizuri sana hao waandishi wake na hapo panafuka moto, isipokuwa kwa wale big name ndio wako swali
cha muhimu mengi inabidi aangalie kachemsha wapi
Re: Je kulikoni IPP? Mhariri wa makala ajiuzulu Guardian
Ku-resign kwa waandishi hao wawili na mwingine anayeitwa Joyce Kisaka kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono. Nadhani ni kutokana na ushawishi wa Sakina huyo huyo ndio maana wame-resign. Bila shaka kuna kitu wanataka kufanya kwani katika siku za hivi karibuni wamekuwa karibu sana na RA na wapambe wake akina Zitto Kabwe na Omari.
Huyo Sakina Dewji 'Datoo' aliichanganya The Guardian kwa fitna kama kaka yake Kassim Dewji alivyoichanganya Simba SC wakati fulani. Ni watu hatari sana na bila shaka fitna ipo kwenye damu.

Mzee Mengi uwe makini na waandishi makuwadi watakuharibia vita yako dhidi ya mafisadi,kama wameanzisha vita huko meru basi tuwaanzishie nao upande wa pili kusaka Kagoda,Richmond/Dowans na Kiwira.
Matatizo ni makubwa, sasa hivi IPP Media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
Wewe ndio Mhasibu wao au Mkurugenzi,acha uongo,au umetumwa.
Matatizo ni makubwa, sasa hivi IPP Media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
he mbona mengi anachanga hadi milioni 400 kwenye harambee moja..