Daah, sijui nianzie na gazeti gani la jumatatu. Maana kuna habari mbili kuu. Ya kufurahisha , na Ya Kuchekesha. Sipati picha magazeti ya wiki hii..! Itabidi mengine yaahirishe habari za michezo na burudani ili kuongeza nafasi ya masuala haya ma-2. Nadhani
Tanzania Daima itaandika: Mabwepande Hoi, Ulimboka aitoa jasho Serikali.
Mwananchi: Nape awa Kituko cha Wikiendi
Magazeti mengine yataandikaje wiki hii....
......
.......

Reply With Quote

Follow Us Here