Rafiki yangu mmja kanitumia video clip hii inyoonyesha maisha ya mashindano na ushirikiano kati ya wanyama wa porini: Simba Vs Mbogo wakiingiliwa na Mamba. Nadhani nayi wenzangu itawafurahisha kuona jinsi wanyama wa porini wanavyoshirikiana katika survival. Simba wanashirikiana kutaka kuwua mbogo wamle, mbogo nao wanashirikiana kuwashambulia simba hao il wamwokoe mwenzao aliyekwisha kabwa koo na simba hao. Video iko hapa Hebu fuatilia mwenyewe.
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
Follow Us Here