Jeri Muro ni jembe la ukweli,jana kupitia clouds Tv kaonesha jinsi alivyo jasiri wa kuongea ukweli pasipo uoga wowote...plz CDM fanyeni mpango mathubuti mlichukue jembe hili.
Jeri Muro ni jembe la ukweli,jana kupitia clouds Tv kaonesha jinsi alivyo jasiri wa kuongea ukweli pasipo uoga wowote...plz CDM fanyeni mpango mathubuti mlichukue jembe hili.
ni wazo zuri sana....il nina wasiwasi na TISS kama hawatamnaniliu maana MAGAMBA na serikali yao wanamchukia sana.......
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
Du hii nchi bwana leo muomba rushwa mkubwa anaitwa jasiri walai tumelaaniwa,juzi juzi kanifurahisha alilia kama mtoto alinyanganywa dem moja hivi mwenye hela aliekuwa anamweka mjini hapa ilikua ni kilio cha hatari,kumbe wanaume wanapenda mtelezo saizi kapigwa chini na huyo mama pedeshe na gari kamnyanganya, huyo ndo jasiri..
Wazo zuri sana tena sana!yale mambo ya kuogopanaogopana sasa yamekwisha...
Jerry bwana! Amesema 5 out of 95 (akimaanisha asilimia 5) !! Kazi ya mathematics bado ipo kubwa tu kwa magraduate wetu!
Inabidi apewe huu ushauri ili aufanyie kazi.
Follow Us Here