jamani huu ni mgao au ndio mabomu ya kibamba!!!? mbezi ya kimara hamna umeme toka saa 7 usiku, je ni nchi nzima au?
jamani huu ni mgao au ndio mabomu ya kibamba!!!? mbezi ya kimara hamna umeme toka saa 7 usiku, je ni nchi nzima au?
Zitto Zuberi Kabwe alitahadharisha kwamba uwezekano wa mgawo upo, ila Waziri wa nishati na madini Prof.Muhongo na Katibu wake Maswi wakam-beza na kusema mgawo wa umeme hautatokea tena kamwe maana uliokuwepo ulikuwa wa kupanga. Hebu jaribu kucheck nao TANESCO watuhabarishe, ingawa naamini hata kama ni mgawo watakuambia ni tatizo la kiufundi. ha ha haaa!!!!!!!!!!!
HILI LI-SERIKALI BHANA, YAANI UONGO NI SERA RASMI YA SERIKALI, ila tu usiitangaze lakini ITEKELEZE.
Follow Us Here