Re: Milipuko Mikubwa yarindima Kibamba...

By
Shifta
Mimi ni Shifta, zee la kisomali.
Ninaishi kwa Mirungi na Maji.
Napatikana Baidoa, Kismay na Mogadishu, Islii na Garitha pale Kenya, na nikiwa Dar napatikana Maeneo mbali mbali ya Kariakoo.
Huwa nachukia sana wakurupukaji wanaojishaua kuandika ushuzi hapa jamvini na wewe ukiwa ni moja wao wa hawa washambenga.
So siwezi kufumbia macho wapuuzi muugeuze mtandao huu kuwa ni kambi yenu ya kuandika ushuzi.
Nakusubiri uje tena.
kumbe ni mirungi ndio inakuongoza kuandika uharisho huu? naamini JF inajuta kukupatia hii chance you are a digrace and disappointment to this forum!
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!
Follow Us Here