JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 63
  1. LeoKweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2008
   Posts : 340
   Rep Power : 765
   Likes Received
   6
   Likes Given
   0

   Default ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzania’s President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts.
   According to Habari Leo , a Tanzanian newspaper[sw] the country’s police are seeking help from Interpol in tracing the owners and publishers of the blog.
   Ze utamu (www.************), probably Tanzania's most controversial blog, came to the limelight by publishing a mixture of Tanzanian Diaspora gossip, nude and sex photographs of well known people as well as name-and-shaming articles. While it attracted many readers, the blog has also attracted criticism.
   Some bloggers are of the opinion that the authorities did not care when posts about ordinary citizens were posted at ze utamu. A comment from a blog post at Watanzania Oslo blog that posted the Habari Leo article about the police hunt for ze utamu blog owners says:
   Mtandao huu wa ze utamu umkuwepo kwa muda mrefu sana na watu wengi wasio na hatia (raia wa kawaida) wamedhalilishwa sana kupitia mtandao huo kwa picha zao kuwekwa bila ridhaa yao. nyingi ya hizo picha ni za utupu na hata zile ambazo siyo za utupu ziliwekwa bila ridhaa ya wahusika. hivi kuwekwa picha ya rais Kikwete ndo kile chombo kinachojifanya cha usalama kinakurupuka kuwasaka wenye mtandao? […]unafiki mkubwa na ufisadi aina nyingine huu. kudhalilishwa ni kudhalilishwa, ama iwe ni raia tu, kiongozi wa kawaida na hata rais.
   Ze utamu has been around for a long time and many innocent people (average/normal citizens) have been shamed through this site when their photographs were posted without their consent. Most of them are nude photographs and even those that are not were posted without consent. Is it true that only by posting the president’s photos has prompted that institution that claims to be the security and regulatory body to jump and pretend to search for the site owners? […] this is hypocrisy, degrading people means degrading people, be they ordinary citizens, leaders or even the president.
   That point was also raised by Happy Katabazi :

  2. MwanaFalsafa1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Posts : 5,598
   Rep Power : 10040
   Likes Received
   738
   Likes Given
   504

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By josm View Post
   unajua wengi walikuwa wanapinga sana uwepo wa zeutamu maana wengi wetu matendo yetu sio mazuri.
   Pia wengine ilikua publicity. Siyo wote walio chukia kuingizwa mule. Najua kuna watu fulani fulani wame tuma wenyewe picha zao. na ni kweli wengi walikua wakii ogopa kwa sababu kila mtu aki kumbuka mtu wake wa zamani na mambo waliyo fanya anaanza sasa kuji shuku.

  3. Kakalende's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2006
   Posts : 3,575
   Rep Power : 1493
   Likes Received
   659
   Likes Given
   628

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Meneja wa Global Publishers Abdallah Mrisho (kushoto) na Mhariri Mtendaji Richard Manyota (kulia) wakifurahia uchangamfu wa Kamanda Kova muda mfupi baada ya kuwasili kwenye chumba cha Habari cha Global

   SOURCE: Global Publishers
   Wakuu hebu tueleweshane, huyu Abdallah Mrisho si ndio mmiliki wa ile tovuti ya Zeutamu? Sasa hapa Kamanda Kova yuko kazini au ndio wamemalizana kiaina???!!!!

  4. Rwabugiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2007
   Posts : 3,040
   Rep Power : 1350
   Likes Received
   171
   Likes Given
   138

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By Kakalende View Post
   Wakuu hebu tueleweshane, huyu Abdallah Mrisho si ndio mmiliki wa ile tovuti ya Zeutamu? Sasa hapa Kamanda Kova yuko kazini au ndio wamemalizana kiaina???!!!!
   Kakalende ni kweli ndiye mmiliki ama una hisi tu?

  5. JosM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2008
   Location : Dar es salaam/Kampala
   Posts : 693
   Rep Power : 815
   Likes Received
   3
   Likes Given
   14

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   anahisi tu hakuna ukweli wowote.
   Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.

  6. Shy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2006
   Posts : 4,896
   Rep Power : 0
   Likes Received
   120
   Likes Given
   0

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Zamani katika blogu ya abdala mrisho kulikuwa na link ya kwenda the utamu sasa ilipoanza kuchafua watu ndio akaitoa link hiyo , hata dada dina aliweka link ya the utamu kwenye blogu yake mpaka mambo yalivyobadilika

  7. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158073
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Unajuwa watoto wakitukanana mitaani, wazazi wao huwavuta masikio au mashavu, kisha mambo yanaisha. Ila siku wakitukanwa wazazi, utafutwa fimbo ya mpera kama si mikanda wa ngozi.   Ndio manake...!
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  8. mwagala's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th May 2009
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   I is time to close this topic

  9. Raia Fulani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Posts : 10,174
   Rep Power : 2938
   Likes Received
   1600
   Likes Given
   1026

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By LeoKweli View Post
   The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzania’s President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts.
   According to Habari Leo , a Tanzanian newspaper[sw] the country’s police are seeking help from Interpol in tracing the owners and publishers of the blog.
   Ze utamu (www.************), probably Tanzania's most controversial blog, came to the limelight by publishing a mixture of Tanzanian Diaspora gossip, nude and sex photographs of well known people as well as name-and-shaming articles. While it attracted many readers, the blog has also attracted criticism.
   Some bloggers are of the opinion that the authorities did not care when posts about ordinary citizens were posted at ze utamu. A comment from a blog post at Watanzania Oslo blog that posted the Habari Leo article about the police hunt for ze utamu blog owners says:
   Mtandao huu wa ze utamu umkuwepo kwa muda mrefu sana na watu wengi wasio na hatia (raia wa kawaida) wamedhalilishwa sana kupitia mtandao huo kwa picha zao kuwekwa bila ridhaa yao. nyingi ya hizo picha ni za utupu na hata zile ambazo siyo za utupu ziliwekwa bila ridhaa ya wahusika. hivi kuwekwa picha ya rais Kikwete ndo kile chombo kinachojifanya cha usalama kinakurupuka kuwasaka wenye mtandao? […]unafiki mkubwa na ufisadi aina nyingine huu. kudhalilishwa ni kudhalilishwa, ama iwe ni raia tu, kiongozi wa kawaida na hata rais.
   Ze utamu has been around for a long time and many innocent people (average/normal citizens) have been shamed through this site when their photographs were posted without their consent. Most of them are nude photographs and even those that are not were posted without consent. Is it true that only by posting the president’s photos has prompted that institution that claims to be the security and regulatory body to jump and pretend to search for the site owners? […] this is hypocrisy, degrading people means degrading people, be they ordinary citizens, leaders or even the president.
   That point was also raised by Happy Katabazi :

   we are so reactive than proactive. all these had not had happened if precautions had been taken
   Beware of a sucker punch

  10. Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,502
   Rep Power : 2117
   Likes Received
   498
   Likes Given
   926

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By Magezi View Post
   Ze utamu Oyeeeeeeeeeeeee!!!!!!
   Hayo ndo malezi kuntu uliyopata kutoka kwa wazazi eeeh???
   kaaaz kweli kweli
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  11. IronBroom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2008
   Location : Huku
   Posts : 525
   Rep Power : 795
   Likes Received
   28
   Likes Given
   39

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By Rwabugiri View Post
   Kakalende ni kweli ndiye mmiliki ama una hisi tu?
   Quote By josm View Post
   anahisi tu hakuna ukweli wowote.

   Josm,wewe ndio kakalende?Msemaji wake pengine?

  12. JosM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2008
   Location : Dar es salaam/Kampala
   Posts : 693
   Rep Power : 815
   Likes Received
   3
   Likes Given
   14

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By BabaJ View Post
   Josm,wewe ndio kakalende?Msemaji wake pengine?
   sio mimi,sio msemaji wake,
   Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.

  13. Kakalende's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2006
   Posts : 3,575
   Rep Power : 1493
   Likes Received
   659
   Likes Given
   628

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By Rwabugiri View Post
   Kakalende ni kweli ndiye mmiliki ama una hisi tu?
   Wakati ZeUtamu inaanza, picha za huyu bwana zilikuwa zinabandikwa kila siku, tena utakuta hizo hizo ndio walikuwa wakiweka kwenye tovuti ya Global Publishers.

   Hata hapa ukumbini JF iliwahi kujadiliwa sana, natafuta link yake kisha nitakuwekea.

  14. Original Pastor's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th November 2007
   Location : Mwanza Ilemela
   Posts : 1,226
   Rep Power : 10225
   Likes Received
   25
   Likes Given
   26

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Ze utamu is big issue

  15. Game Theory's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2006
   Posts : 10,035
   Rep Power : 3481
   Likes Received
   503
   Likes Given
   0

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   ile blog nyingine naona inazidi kupata trafiki

   lakini huipati mpak aupate mwaliko

  16. MwanaHaki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2006
   Posts : 2,294
   Rep Power : 85933889
   Likes Received
   573
   Likes Given
   461

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Nilianzisha blog ya kuipiga vita ZEUTAMU! Ninashukuru wamedhihirisha UPUMBAVU wao na wamefungiwa! Mola atuepushie na balaa hili! Amin!

   ./Mwana wa Haki
   Speaking Openly, without fear!

  17. Semjato's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 26th June 2008
   Posts : 213
   Rep Power : 730
   Likes Received
   4
   Likes Given
   11

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By MwanaHaki View Post
   Nilianzisha blog ya kuipiga vita ZEUTAMU! Ninashukuru wamedhihirisha UPUMBAVU wao na wamefungiwa! Mola atuepushie na balaa hili! Amin!

   ./Mwana wa Haki
   amen.......

  18. Field Marshall ES's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th April 2006
   Posts : 13,876
   Rep Power : 196824
   Likes Received
   722
   Likes Given
   225

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   - Aliyeitengenza ile picha na kui-post nasikia ni mtoto wa kigogo mmoja wa CCM na serikali, ambaye serikali imeshindwa cha kumfanya kutokana na heshima ya baba yake kwa taifa letu, nasikia walimjua ni nani baada ya kusaidiwa na wazungu huko majuu, anaishi majuu walimfuatilia for a week na kujua kwamba ni fundi bingwa sana wa computer na kila siku hutumia masaa mengi sana kwenye internent, maana ilifikia mahali alikuwa kila akiingia mtandaoni jamaa wanam-monitor bila ya yeye kujua, ninaamini mpaka leo wanaendelea.

   Respect.

   FMEs!

  19. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Aliyeitengenza ile picha na kui-post nasikia ni mtoto wa kigogo mmoja wa CCM na serikali, ambaye serikali imeshindwa cha kumfanya kutokana na heshima ya baba yake kwa taifa letu, nasikia walimjua ni nani baada ya kusaidiwa na wazungu huko majuu
   Nasikia wewe ni Muongo Unajua Kila Kitu!

  20. Field Marshall ES's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th April 2006
   Posts : 13,876
   Rep Power : 196824
   Likes Received
   722
   Likes Given
   225

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   Quote By Miganiko View Post
   Nasikia wewe ni Muongo Unajua Kila Kitu!

   -
   Habari/Hoja mchanganyiko Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.

   Hillarious.......Bwa! ha! ha! sina mpango wa ligi leo Jumapili, wasalimie Bwa! ha! Yaani nikiandika mawazo yangu wewe unajisikia mnyonge na kuniona najua kila kitu, sasa nikusaidieje Bwa! ha! ha! labda niwe na mimi sijui kila kitu kama kidenge flani Bwa! ha! no way ha! ha! ha!

   FMEs!

  21. JosM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2008
   Location : Dar es salaam/Kampala
   Posts : 693
   Rep Power : 815
   Likes Received
   3
   Likes Given
   14

   Default Re: ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

   kuna mtu anaweza kunipa address ya hiyo blog mpya tafadhali? nime mic sana mavituz ya mzeeutamu.
   Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Blogger.com Vs Wordpress (self-hosted)
   By mdeesingano in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 1
   Last Post: 12th August 2011, 13:05
  2. Ze Utamu blogger under arrest?
   By Nyani Ngabu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 571
   Last Post: 7th October 2010, 12:40

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...