Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 27 of 27
    1. #1
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,700
      Rep Power : 22524
      Likes Received
      6358
      Likes Given
      2841

      Default Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Mara nyingine kuna hatari kubwa kwa migogoro inayotokea katika nchi zetu hizi kuvishwa sura zenye malengo binafsi ya watu au kundi la watu hasa malengo ya kisiasa na umaarufu au kufuta kashfa fulani zinazoikabili nchi husika.

      Tanzania kwa sasa tuko katika mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, unaohusisha Ziwa Nyasa. Mgogoro huu ni wa ukweli kabisa na si wa kutungwa maana upo tangu enzi za Mwalimu. Lakini kitu cha kuwa nacho makini ni upande wa maamuzi sahihi juu ya kukabiliana na mgogoro huu mzito ambapo usipokabiliwa kwa umakini, tutashuhudia nchi ikiingia kwenye vita na kumwaga damu za Watanzania, maana vita haina macho!

      Hapa jamvini kwa sasa kuna threads ambazo zinasema wazi kuwa majeshi yetu yameshaanza kufanya mobilisation ya kusogea eneo la Kyela. Kuna mdau mmoja jana alisema kuwa mida ya saa 3.30 za usiku amekutana na Army Deployment ya hatari ambapo msafara mzito wa magari ya jeshi yapatayo 200 yakitokea PANDE ZA Arusha na Moshi yanaelekea kusini mwa nchi, ambapo kama ni kweli, basi hali si shwari.

      Naomba kutoa tahadhari kwa wanadiplomasia, Wanasiasa na Jeshi kuwa tusipokuwa makini mgogogoro huu unaweza kuwa mtaji na kinga kisiasa(political camouflage) wa baadhi ya manyang'au wa hapa nchini kwetu, ambapo wanaweza kuamua ku'capitalize on it kwa kuiingiza nchi vitani kwa malengo kama:

      I. Kuwafool wananchi wajue kuwa serikali yao inawajali sana na kulinda mipaka yake, wakati ambapo ukweli ni kuwa kila kona ya mpaka wa nchi yetu inapitika kirahisi tu na wazamiaji toka nchi za jirani(mifano ipo mingi).

      II. Ku-divert attention ya wananchi ambapo sasa wako katika mijadala mizito juu ya hatima ya nchi yao. Kuna masuala mazito ambayo yametokea of recent ambapo mengine yameibuliwa Bungeni, na mengine yakiwa yanahusisha migomo na maslahi wa Tanatanzania kwa ujumla.

      III. Kujisafisha na kutengeneza image inayopendeza usoni pa wananchi, ili kujiwekea malengo ya kufikiriwa kwa uongozi huko mbele ya safari.

      IV. Kupata sababu ya kutotimiza ahadi nyingi zilizoahidiwa kwa wananchi nyakati za uchaguzi.

      Isije kuwa tunalazimisha Punda afe lakini mzigo wa tajiri lazima ufike sokoni.

      Nawasilisha.
      Last edited by PakaJimmy; 8th August 2012 at 09:06.
      Ndahani, Remmy, Boflo and 4 others like this.
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    2. Miaka 50

    3. #21
      giLESi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th November 2011
      Posts : 777
      Rep Power : 536
      Likes Received
      217
      Likes Given
      235

      Default Re: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Lowassa anataka tuingie vitani ili afanye biashara ya silaha

    4. #22
      mikonomiwili's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 119
      Rep Power : 447
      Likes Received
      27
      Likes Given
      199

      Default Re: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Quote By PakaJimmy
      Mpaka sasa kauli nzito za kutishia vita zimeshatamkwa na wafuatao:
      1. Samwel Sitta
      2. BERNARD Membe
      3. Edward Lowassa.
      Ukiangali nyuma ya pazia utajua kuwa hawa wote wana Political Motive, na ni prospectives wa 2015!
      ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO!
      Nilikua na wazo kama lakwako mkuu
      kama ulimsikiliza membe vizuri alisema Serikali ya ccm haitaweza kuvumilia vitendo kama hivi . badala yakusema serikali YaTanzania , pia sioni haja saana ya kuitaja ccm kwenye huu mgogoro

      nchi ndoina ingia kwenye vita nasi serikali ya ccm kama alivyo sema
      nakubaliana na wewe hii ni janja ya nyanikula indibichi

    5. #23
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,700
      Rep Power : 22524
      Likes Received
      6358
      Likes Given
      2841

      Default Re: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Quote By giLESi
      Lowassa anataka tuingie vitani ili afanye biashara ya silaha
      Quote By mikonomiwili
      Nilikua na wazo kama lakwako mkuu
      kama ulimsikiliza membe vizuri alisema Serikali ya ccm haitaweza kuvumilia vitendo kama hivi . badala yakusema serikali YaTanzania , pia sioni haja saana ya kuitaja ccm kwenye huu mgogoro

      nchi ndoina ingia kwenye vita nasi serikali ya ccm kama alivyo sema
      nakubaliana na wewe hii ni janja ya nyanikula indibichi
      We are dancing to the same tune now!
      Ile vita ya Comoro iliwapa watu kuvimba vichwa, na nakumbuka wakati unakaribia Uchaguzi wa 2010 ilikuwa ikiwekwa mara kwa mara ili kuonyesha jinsi maamuzi ya watawala wetu yalivyo ya busara, kumbe ndani ni namna politiki!
      Sasa itakuwa hii ya kupiganisha nchi?
      Hii ni dili kubwa in many ways!...You guys will forget each and everything kuhusu nchi hii, and you will be ready for anything to facilitate the battle...Mafuta yataingizwa nchini bila kuangalia bei, mitambo na equipment zitaingizwa regardless of cost!..Hapo ndipo wenye hela zao watakapoamka na double utajiri.
      Look into this!
      mikonomiwili likes this.
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    6. #24
      Kakubilo Kasota's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th March 2012
      Posts : 166
      Rep Power : 396
      Likes Received
      53
      Likes Given
      21

      Default Re: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Malawi ni kanchi kadogo sana, nadhani ukubwa wake ni kama mkoa wa Mwanza, ukiiweka na Geita kabla haijapewa mkoa, issue yangu ni hii, hivi wanajeshi wetu sasa hivi, bado wanaouzalendo huo wa kuipigania nchi yao kama enzi za Iddi Amin Dada? maana'ke wanajua hata kama watatoa damu zao, kula wanakula wengine while wao wanaachwa tu, so hofu yangu mimi, nikichanganya na ujio wa mama clinton hapo Nyasaland, dalili za kupigwa naziona zote, hili likitokea, itakula kwa viongozi wanaotaka kutotekeleza ahadi zao kwa kisingizio cha kuwa vitani!

    7. #25
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,619
      Rep Power : 1106
      Likes Received
      998
      Likes Given
      754

      Default Re: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Quote By PakaJimmy
      Wewe unasema hayo maneno coz uko Mbali na eneo la tukio!
      Mtu anayeishi Mbeya au pale pale Kyela hawezi kuthubutu kuongea kitu hicho.
      Ukitaka kujua zaidi waulize watu wa Uganda wa miaka ya 1978/79 wakueleze shughuli ya vita inamaanisha nini kwa raia wanaoishi hapo.
      Just as we are talking here, nothing is the same in Kyela. Kuna jamaa yangu hapa kila baada ya masaa mawili anapokea simu za kuombwa hifadhi huku kutoka kwa watu wa kwao huko Kyela!
      Think about it from the obtuse angle.
      hii hai justify sisi kuogopa kuingia vitani kulinda mipaka yetu, mimi nipo karibu tu na eneo la tukio na sitasita kujiunga na jeshi letu kulinda mipaka yetu tunatakiwa tujipange kupigana vita vya muda mfupi sana with minimum loss lakini haikubaliki kuwaachia wamalawi ziwa lote wewe ungekuwa amir jesh mkuu basi ungekuwa hufai maana muoga!!
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      kupe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2012
      Posts : 628
      Rep Power : 0
      Likes Received
      103
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By OSOKONI
      Suala ambalo lipo ni kuwa Wamalawi wametangaza ziwa lote ni lao na wameanza kufanya utafiti wa mafuta ndani ya ziwa bila kujali mpaka katikati ya ziwa! sasa je waachiwe tu waendelee? nani anajua kesho congo watasema tanganyika lote ni lao uganda wakasema victoria lote lao? mimi naona hatua za kijeshi dhidi ya malawi zinacheleweshwa bila sababu jeshi li strike haraka sana na kuwaondoa ndani ya mipaka yetu!tuacheni woga!

      sio tu watanzania tumekuwa waoga . tumekuwa kama was...nge.
      OSOKONI likes this.

    10. #27
      kivyako's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd February 2012
      Posts : 572
      Rep Power : 482
      Likes Received
      72
      Likes Given
      71

      Default Re: Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

      Badala ya kupambana na matatizo yanayowafanya wananchi waigomee serikali yao, wao wanaona vita ndo rahisi kupigana ili kukomboa kipande cha nchi ambacho kiko majini! Na bado Malawi wanakaribisha mazungumzo ila wenyewe wana-opt vita, kweli hii nchi yetu aliyeiroga alishakufa! na tutataabika sana!

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...