Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tatizo la maji Morogoro

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      1800's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 1,672
      Rep Power : 898
      Likes Received
      419
      Likes Given
      21

      Default Tatizo la maji Morogoro

      Leo ni siku ya kumi hakuna maji Morogoro,maeneo kama ya Kola,Bigwa,Nane nane nk ni makame kabisa na hakuna hata tone la maji,mamlaka husika (MOROWASA) imekaa kimya haitoi sababu yeyote wala haikutoa tahadhari yoyote kabla,mnatudondoshea ma bill tu na kukimbilia kuja kukata mabomba wakati huduma hamtoi na zinazidi kuzorota kadri ya siku ziendavyo!maji yakitoka ni machafu,yanakuja na mchanga na mizizi kama vile tumekwenda kuchota mtoni na si maji yanayokua treated na mamlaka husika!tunaomba kujuzwa ubabaishaji huu kwenye kila idara muhimu za serikali utakoma lini?tunahitaji maji Morogoro,sio blah blah!


    2. #2
      Kiumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 494
      Rep Power : 470
      Likes Received
      80
      Likes Given
      0

      Default Re: Tatizo la maji Morogoro

      Maeneo ya bigwa maji yalitoka juzi saa sita usiku tena madogo hatari. Sasa kwani maji yatoke usiku wa manane wakati watu wamelala.

    3. #3
      1800's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 1,672
      Rep Power : 898
      Likes Received
      419
      Likes Given
      21

      Default

      Quote By Kiumbo
      Maeneo ya bigwa maji yalitoka juzi saa sita usiku tena madogo hatari. Sasa kwani maji yatoke usiku wa manane wakati watu wamelala.
      Hii nchi hawa watendaji wetu ni wababaishaji sana,kila idara ni uozo,sioni sababu ya Morogoro kukosa maji siku zote hizo wakati vyanzo vya maji ni vya uhakika,miundombinu nayo iko vizuri,huu ni uzembe na ubabaishaji wa viongozi mamlaka husika,na yote inasababishwa na kukosa umakini kwa viongozi wa wizara husika!wanatoa maji saa nane usiku ili wachote kina nani sasa?huyu mbunge wetu nae yuko wapi kusimamia ili?

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...