Ndugu wana jamii,
Juzi nilienda kulipia road licence ya gari langu, cha kushangaza nikaambiwa nilipie na fire extinguisher Tzs 35,000 cha ajabu nilipatiwa sticker pasipo kuwa na mtungi, kwanza mtungi wa fire ninao, na sidhani sticker pekee ni Tzs 35,000, je huu sio wa mchana?, kwanini serikali yetu inazidi kutulundikia mzigo mkubwa wananchi wake?, na je hii dhana ya maisha bora kwa kila mtanzania itafanikiwa kweli kwa mwendo huu?,
Wana bodi naomba kuwakilisha,

Reply With Quote





, Sticker kwanza halafu ndio upeleke gari likakaguliwe!!, sio gari imefanyiwa ukaguzi kwanza ndipo waridhike inafaa kuwekewa hiyo sticker ya moto. TRA walipaswa kukamilisha zoezi zima bila mmiliki wa chombo cha moto kwenda tena ofisi za fire kwa ukaguzi, mgonjwa anapatiwa dozi kwanza ndipo aende kwenye vipimo? kweli hii nchi inakoelekea sio kabisa
Follow Us Here