Re: Wapenzi wa Chinese food imekaaje hii?

By
Arsene Wenger
mie ndio maana nikienda chinese restaurant nakula "chicken wings tu" lol .
Ya bongo pale Kitega uchumi haina matatizo lakini za majuu hmmmm! Bora hata wewe unaingia mimi harufu ndani ya hotel za Wachina hata chakula kinanishinda. Nimejaribu sana lakini wapi. Kuna mahali walikuwa wanakaanga kuku wana taste vizuri sana basi ikawa kila Ijumaa. Kuna siku nikakuta jikoni kuko wazi jinsi kulivyo kuchafu siju hata kama huwa wanasafisha sikurudi tena
Bora Indian restaurants vyakula vyao vinafanafana kidogo na vyetu.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Follow Us Here