Afisa mmoja wa polisi MWENYE NYOTA MOJA ameniambia kuwa nimesoma lakin sijaelimika.
Kisa eti nimegoma kutoa RUSHWA kwake.YAN hadi RB sasa inauzwa, kwenda kumkamata mtuhumiwa nigharimie USAFIRI NA KUWALIPA MAASKARI....
KWA KWELI NCHI IMEBAKWA

Kwa ustaarabu huo, Polisi jamii, ulinzi shirikishi, kutii sheria bila shuruti...zitabaki kuwa NDOTO tu.
Nchi iko upside down!!
Nilikasirika na kumwambia nipe barua ya wito polis niipeleke mwenyewe,nayo akadai alf20,nikamwambia hiyo ni haki yangu na sitoi hela,tukavutana kisha akanipa nikaipeleka.,MTUHUMIWA alitakiwa afike saa 3 sku inayofata,nilipofika nikamkuta ofcn na Yule Afisa...akaniambia niko hapa tangu saa 1 asubuhi...
Follow Us Here