Mweyekiti wa G55 amepongeza juhudi za UAMSHO kuleta mabadiliko ya muungano. Amesema kwame tuko nyuma yenu na amini mia kwa mia jiwe mlotupa litaua ndege wawili kwa mpigo! Maadam kukomboa Zanzibar imetukomboa nasi! Swadakta.

g55 ndo nani,au ndo jina jingine la al shabaab kwani inasemekana wala mkono wao al shabaab
g55 ndo akina nani ??? nao wapo Zenji ???
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
mwenyekiti wa G55 ndo nani?? weka taarifa clear.
unawazungumzia G55 wepi?wale waliokuwa wanadai tuwe na nchi tatu katika muungano,ikiwemo tanganyika?walioongozwa na nje..u kas..ka ?
ok ok ok nadhani sasa nimesoma mchezo.. kumbe wapo ndani ya nyumba...nadhani sasa naweza unganisha mambo.... simplemind nimekusoma mkuu

Follow Us Here