Wanajamnvi nimesikia Breaking news kuwa jahazi limezama hapo Nungwi na huenda maisha ya watu yamepotea tena,
mwenye habari kamili naomba aje nazo.
Wanajamnvi nimesikia Breaking news kuwa jahazi limezama hapo Nungwi na huenda maisha ya watu yamepotea tena,
mwenye habari kamili naomba aje nazo.
Historia haiishiwi wino!
Eh mungu tuepushe na mabalaha aya waja wako, jamani mbona kuzaliwa bongo sasa inaelekea kuwa soo??
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
sos ni redio one
Mungu Tunusuru ,ilikuwa bora kuzuiwa usafiri yako wa lazima mpaka upepo upungue,hali ya hewa wapo wapi !.
Sisi hatupo serious Period.
Kama mabomu yalilipuka Mbagala, baada ya miezi michache yakalipuka tena Gongo la Mboto na watu bado tumo tuu tunawakenulia waliopewa mamlaka.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Haueleweki mtoa hoja?wangapi wamekufa,wangapi wanahofiwa kufa na wangapi wamejeruhiwa?
na wewe tafuta sos nyingine kama una mtu tanga muhulize
Kweli kuzaliwa bongo imekuwa ni mkosi sasa.
jamani wale wote waliounga mkono 100% kwa 100% hoja ya kupitisha ununuzi wa vitu vilivyotumika aka vitu chavu au scrapper, skilepa waende kituo cha polisi kujibu mashtaka ya mauaji kwa kuruhusu ununuzi wa meli mbovu nchini. Nchi hii inaendesha umafia kwa kunyonga watu mchana kweupe hatuwezi kuvumilia tena kikwete jiuzulu mara moja umeshindwa kazi ., huwezi kuendela kuangalia damu za watu zikiteketea bila hatia yoyote
mmh! kweli inatsha sana watnzania tumemkosea nin mungu kila siku majanga!
Follow Us Here