JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

  Report Post
  Page 1 of 10 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 195
  1. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,886
   Rep Power : 840900
   Likes Received
   5641
   Likes Given
   611

   Default Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja   “HII sasa ni kufuru!” Hivi ndivyo utakavyoweza kusema kwa Davies Mosha ambaye ni makamu mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, ambaye nafasi yake kwa sasa klabuni hapo inashikiliwa na Clement Sanga.

   Kwa tafsiri ya haraka, yawezekana Mosha anaweza kuwa ndiye kiongozi pekee wa soka nchini kumiliki gari la kifahari na lenye gharama kubwa aina ya Lamborghini kama ambalo linamilikiwa na mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney.

   Gari analomiliki Mosha ambalo lina rangi ya njano, linaaminika kuwa miongoni mwa magari yenye thamani kubwa siyo tu Tanzania na Afrika, bali duniani kote, kwani hata siku Rooney alipolinunua wenzake wengi hawakutegemea, siyo kwa sababu hana fedha, ila kwa kuwa hakuwa mtu wa matumizi ya magari yenye thamani kubwa kama hilo.

   Mosha ameliambia Championi Ijumaa kuwa anamiliki magari kadhaa ya kifahari kwa matumizi yake binafsi na familia yake.   Yafuatayo ni maelezo kuhusiana na gari hilo la kifahari kwa kuanzia kiwango cha mafuta na usumbufu anaoupata akiwa katika mizunguko yake.

   Ameinunua kwa bei gani?   “Kutokana na ubora wa gari hili, nililazimika kutoa shilingi bilioni moja kwa ajili ya kulinunua, kama unavyojua ni fedha nyingi, nimenunua kwa mapenzi yangu.   Alipolinunua   “Hili gari kaniuzia mtoto wa Bakhresa (Yusuph), baada ya kufikia makubaliano kati yake na mimi, aliniuzia Julai 2011.

   Spidi ya gari   “Hili gari kasi yake ya mwisho ni 360, ni kasi kali na inatosha kwa matumizi yangu binafsi.   Matumizi ya mafuta   “Matumizi ni ya kawaida wala siyo ya kuogopesha sana, inategemea na umbali utakaotembea.

   Usumbufu anaoupata

   “Usumbufu mkubwa ninaoupata kiukweli, nikiwa naendesha barabarani, madereva wengine wanalishangaa sana, hali inayosababisha kutokea ajali au msuguano mara kadhaa.

   “Hivi karibuni dereva mmoja aliigonga sehemu ya tairi la nyuma kushoto kutokana na kuishangaa, ilikuwa maeneo ya Masaki hapahapa Dar es Salaam.

   “Matengenezo yake yaligharimu pauni 20,000 (zaidi ya shilingi milioni 50), hali iliyosababisha niwe makini nikiwa naendesha,” anasema Mosha.   “Matengenezo yake yaligharimu pauni 20,000 (zaidi ya shilingi milioni 50), hali iliyosababisha niwe makini nikiwa naendesha,” anasema Mosha.
   MZIMU likes this.

  2. Raia Fulani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Posts : 10,143
   Rep Power : 2924
   Likes Received
   1583
   Likes Given
   1017

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Mchaga huyo
   maishapopote likes this.
   Beware of a sucker punch

  3. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,886
   Rep Power : 840900
   Likes Received
   5641
   Likes Given
   611

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Sijawahi Kumsikia Huyu Mtanzania... Yuko kwenye SIASA? Kapataje PESA?

   Ni mtoto wa Mkubwa? Anawajuwa Wakubwa wa CCM au CHADEMA?

   Anatembeaje JIJINI Dar Mpaka anamiliki GARI GHALI kama hilo?

   Niamsheni... Hata huku USA kumiliki hilo Gari sio Mchezo, Wengi walionalo hawaliendeshi kila SIKU
   rogers26tz likes this.

  4. platozoom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Posts : 5,516
   Rep Power : 86809797
   Likes Received
   4002
   Likes Given
   6273

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Aisee....napendekeza zitumiwe na Mawaziri ....ni muhimu kwa safari za Dar/dodma/Arusha
   Jasusi, morphine and DE SOUZA like this.
   "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn't at school"

  5. The Priest's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2010
   Location : Kimanzichana
   Posts : 1,016
   Rep Power : 755
   Likes Received
   202
   Likes Given
   161

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Huyu hajawekeza kwenye siasa,kawekeza kwenye biashara,ndiye mwenye kituo cha mafuta pale sinza mori,pia anamiliki magari ya kusafirisha mafuta huko kibaha na chalinze,jamaa anae pesa bwana.
   Bob Fern likes this.
   U can't connect the dots looking forward,U can only connect the dots looking backwards-Jobs

  6. 'TF''s Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th May 2011
   Location : Bumbwini
   Posts : 935
   Rep Power : 716
   Likes Received
   265
   Likes Given
   400

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   tunaacha ya kwetu na kuwa bize na ya wenzetu
   Angel Nylon likes this.

  7. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,072
   Rep Power : 32245486
   Likes Received
   5409
   Likes Given
   6434

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Mkuu kwani nani kasema kwenye nchi masikini hakuna matajiri wenye pesa,tatizo ni kama gap kati ya matajiri na masikini ni kubwa,hapo ndo serikali inabanwa na wananchi wake,kwasababu sera zake ndo zenye kusababisha hiyo inequality.Thas the reality,mataifa yote duniani matatizo hayakuanza eti tu kwasababu kuna watu wenye pesa,no,don't get it twisted,ni unequality inayosababisha classes.

   Kwenye nchi masikini,na hata tajiri, hakuna shida kama kuzipata kazipata kihalali,ndo uhuru na upande wa "mazuri" ya "free market"
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  8. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,756
   Rep Power : 69117290
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By The Priest View Post
   Huyu hajawekeza kwenye siasa,kawekeza kwenye biashara,ndiye mwenye kituo cha mafuta pale sinza mori,pia anamiliki magari ya kusafirisha mafuta huko kibaha na chalinze,jamaa anae pesa bwana.
   Hawa ndo wanaochanganya mafuta na maji ili wamaximize profit!

  9. dudus's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2011
   Posts : 4,452
   Rep Power : 117652114
   Likes Received
   3102
   Likes Given
   735

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By platozoom View Post
   Aisee....napendekeza zitumiwe na Mawaziri ....ni muhimu kwa safari za Dar/dodma/Arusha

   Ha ha ha ha ha ha! Sio mawaziri tu Mkuu. Hata waheshimiwa wabunge wetu wakopeshwe. Litawasaidia sana kuwahi vikao mbali mbali majimboni kwao pamoja na kukutana na wapiga kura wao na wakati huo huo kuwahi vikao vya kamati na bodi mbali mbali jijini Dar es Salaam ambako pia ni wajumbe. Pia litawasaidia sana kutoa misaada kwa wajazito hasa wakati wa kujifungua majimboni kwao. Kwa kweli lina hadhi ya 'uheshimiwa'. V8 wapewe madiwani.
   platozoom and morphine like this.

  10. dudus's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2011
   Posts : 4,452
   Rep Power : 117652114
   Likes Received
   3102
   Likes Given
   735

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By Kipipi View Post
   Hawa ndo wanaochanganya mafuta na maji ili wamaximize profit!
   Exactly! Tena chini ya utawala wa CCM na mzigo anabebeshwa masikini kwa kuongezewa bei kwenye mafuta ya taa! Inauma sana, wala sio ufahari.
   Ave Ave Maria likes this.

  11. platozoom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Posts : 5,516
   Rep Power : 86809797
   Likes Received
   4002
   Likes Given
   6273

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By dudus View Post

   Ha ha ha ha ha ha! Sio mawaziri tu Mkuu. Hata waheshimiwa wabunge wetu wakopeshwe. Litawasaidia sana kuwahi vikao mbali mbali majimboni kwao pamoja na kukutana na wapiga kura wao na wakati huo huo kuwahi vikao vya kamati na bodi mbali mbali jijini Dar es Salaam ambako pia ni wajumbe. Pia litawasaidia sana kutoa misaada kwa wajazito hasa wakati wa kujifungua majimboni kwao. Kwa kweli lina hadhi ya 'uheshimiwa'. V8 wapewe madiwani.
   Hapo kwenye madiwani umeniwahi........kuongezea tu Rais na Waziri mkuu watumie chopper
   "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn't at school"

  12. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,756
   Rep Power : 69117290
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By jmushi1 View Post
   Mkuu kwani nani kasema kwenye nchi masikini hakuna matajiri wenye pesa,tatizo ni kama gap kati ya matajiri na masikini ni kubwa,hapo ndo serikali inabanwa na wananchi wake,kwasababu sera zake ndo zenye kusababisha hiyo inequality.Thas the reality,mataifa yote duniani matatizo hayakuanza eti tu kwasababu kuna watu wenye pesa,no,don't get it twisted,ni unequality inayosababisha classes.

   Kwenye nchi masikini,na hata tajiri, hakuna shida kama kuzipata kazipata kihalali,ndo uhuru na upande wa "mazuri" ya "free market"
   Mbongo huyu huyu mwenye ubongo??
   Na huu mustakhabali wa Chukua Chako Mapema??
   ........labda!

  13. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,072
   Rep Power : 32245486
   Likes Received
   5409
   Likes Given
   6434

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By Kipipi View Post
   Mbongo huyu huyu mwenye ubongo??
   Na huu mustakhabali wa Chukua Chako Mapema??
   ........labda!
   Wanasema alikuwa kiongozi wa "Young Africans" AKA "kandambili"Nthen kwamba gari kalinunuwa kutoka kwa mtoto wa Bakhressa,so wote sijui kama wana uhusiano na chukua chako mapema AKA. Gamba?That's another topic,navyojuwa kuna watu wana pesa bongo,however wengi wali "lay low" mara baada ya ile maneno ya epa na ingine.
   ndyoko likes this.
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  14. Chatumkali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Location : DOM
   Posts : 1,923
   Rep Power : 1206
   Likes Received
   348
   Likes Given
   304

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Kama anafanya biashara halali haina tatizo,,,tumwache atumie jasho lake.Lakini kama ni kinyume na hivyo tuna haki ya kuhoji.
   Dina likes this.

  15. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,756
   Rep Power : 69117290
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By dudus View Post
   Exactly! Tena chini ya utawala wa CCM na mzigo anabebeshwa masikini kwa kuongezewa bei kwenye mafuta ya taa! Inauma sana, wala sio ufahari.
   Tena kwa vile wako huru na pesa zao, alafu serikali yenyewe imejaa ufisadi........yaani wanajiamlia tu wanavyotaka!

  16. steveachi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2011
   Location : Villageman
   Posts : 2,165
   Rep Power : 85901757
   Likes Received
   563
   Likes Given
   668

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   mwee,hilo gari ndani lina mgodi wa uranium au,mbona ka la afande sele tu
   Lukansola likes this.

  17. manuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2009
   Posts : 1,216
   Rep Power : 85901284
   Likes Received
   792
   Likes Given
   691

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Bongo biashara inalipa sana tatizo wabongo wengi mkimaliza vyuo mnakimbilia kutafuta kuajiriwa ukishakuwa Bank Teller unaona ushamaliza.
   Eti unakuta mtu ana degree ya Horticulture then kaajiriwa NMB eti ni Bank teller.Shame on you all.
   TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

  18. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,756
   Rep Power : 69117290
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By jmushi1 View Post
   Wanasema alikuwa kiongozi wa "Young Africans" AKA "kandambili"Nthen kwamba gari kalinunuwa kutoka kwa mtoto wa Bakhressa,so wote sijui kama wana uhusiano na chukua chako mapema AKA. Gamba?That's another topic,navyojuwa kuna watu wana pesa bongo,however wengi wali "lay low" mara baada ya ile maneno ya epa na ingine.
   Kama kuna baadhi ya viongozi wa Yanga wa ngazi zingine walikuwa wanalalamika kutokulipwa pesa zao.......yeye ndo aibuke na faranga kwenye hiyo nyanja, tena kihalali?? Hapana NO!!

   Hapo in red,
   Sikatai kuwa kuna watu wenye pesa na wengine wanaweza kuwa wamezipata kiuhalali.
   But, why wengi wali 'lay low' baada ya maneno ya EPA.....as per your say?
   mbwigule likes this.

  19. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,756
   Rep Power : 69117290
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By manuu View Post
   Bongo biashara inalipa sana tatizo wabongo wengi mkimaliza vyuo mnakimbilia kutafuta kuajiriwa ukishakuwa Bank Teller unaona ushamaliza.
   Eti unakuta mtu ana degree ya Horticulture then kaajiriwa NMB eti ni Bank teller.Shame on you all.
   Zikiwemo za magendo!

  20. manuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2009
   Posts : 1,216
   Rep Power : 85901284
   Likes Received
   792
   Likes Given
   691

   Default Re: Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

   Quote By Kipipi View Post
   Zikiwemo za magendo!
   Ukipata mwanya wa kuchukua chukua kwani ukiacha wewe makaburu,wahindi na wawekezaji wengine hawataacha wanaishambulia nchi kama tai aliyeona mzoga.
   Shtuka huko tunapokwenda panatisha.
   Ave Ave Maria likes this.
   TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

  Page 1 of 10 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...