Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

    Report Post
    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 113
    1. #1
      kipenga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 127
      Rep Power : 385
      Likes Received
      23
      Likes Given
      11

      Default Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
      Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
      Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
      My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
      Nawasilisha.
      mooduke likes this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Leonard Robert's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Posts : 4,247
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      522
      Likes Given
      175

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      mambo ya facebook haya

    4. #22
      Kingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2009
      Posts : 371
      Rep Power : 585
      Likes Received
      53
      Likes Given
      106

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Kumbe na mahabusu wanaruhusiwa kutambua maiti! Na kwa yeye lengo lake nini na nani kampeleka hapo? Na hao waendaje wote saba zenj kwa wakati mmoja? Mh bora mtu kasema alfu lela u lele....
      GOOD TIMBER DOES NOT GROW WITH EASE. THE STRONGER THE WIND THE STRONGER THE TREES.

    5. #23
      andishile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 604
      Rep Power : 480
      Likes Received
      149
      Likes Given
      304

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      uongo mtupu!

    6. #24
      MVUMBUZI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2011
      Posts : 2,585
      Rep Power : 1089
      Likes Received
      683
      Likes Given
      374

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Mkuu unatupotezea muda kama huna topic just soma za wenzako

    7. #25
      kipenga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 127
      Rep Power : 385
      Likes Received
      23
      Likes Given
      11

      Default

      Quote By Abdulhalim
      kawasilishe hukohuko kwa wapumbav wenzako..
      Mkuu nadhani wewe mmoja wa hao wapumbavu maana umeshindwa kujua hata maana ya tetesi!
      Abdulhalim likes this.

    8. Miaka 50

    9. #26
      mwanachamahai's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd July 2012
      Posts : 13
      Rep Power : 346
      Likes Received
      0
      Likes Given
      9

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Kwa kweli kama watafikia hatua ya kuunganisha matukio hivyo watakuwa wajanja. mchezo wote utakuwa umeishia hapo. nchi yetu imakuwa ya kisanii!

    10. #27
      hetu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Posts : 70
      Rep Power : 402
      Likes Received
      11
      Likes Given
      14

      Default

      Quote By kipenga
      wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
      Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
      Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
      My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu
      zangu, hakuna linaloshindikana.
      Nawasilisha.

      kawadanganye waliolala, we nikirundu.

    11. #28
      Big One's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 741
      Rep Power : 559
      Likes Received
      43
      Likes Given
      0

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      jaman hili jamaa limetokea wap huyu aliye post atafutwe akamatwe anatuletea ujinga humu brai marufuku weeeeeee

    12. #29
      Consultant's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2008
      Location : N/A
      Posts : 1,348
      Rep Power : 827
      Likes Received
      106
      Likes Given
      69

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Hii sio tetesi, but a silly joke. Kwamba marehemu wote (RIP) walipelekwa mahabusu na jamaa akapick 7 among all of them. Poor you!
      It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle

    13. #30
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,629
      Rep Power : 2006
      Likes Received
      1649
      Likes Given
      1621

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Upuuzi kama huu haukubaliki.
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    14. #31
      Mundu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2008
      Posts : 1,680
      Rep Power : 879
      Likes Received
      228
      Likes Given
      22

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Unaweza kuwadanganya watu fulani kwa wakati fulani...lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote...
      Mswahili jambo la kipumbavu likisemwa kizungu, anaona sawasawa kabisa!! J.K.Nyerere

    15. #32
      'TF''s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th May 2011
      Location : Main Pharmacy
      Posts : 507
      Rep Power : 507
      Likes Received
      137
      Likes Given
      168

      Default

      Quote By Gwangambo
      Mtoa mada lazima utakuwa ni Ahmed Msangi. Tangu lini polisi wa bongo akawa great thinker. Karibia wote ni form 4 failures.
      manina wallah

    16. #33
      Arusha Leo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th March 2012
      Posts : 60
      Rep Power : 375
      Likes Received
      45
      Likes Given
      0

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      tumia akili kudanganya usitumie makalio ivi wewe na hao wahusika wa ulimboka kumteka mnamahusiano acha uzeeeeeeeeeeeee

    17. #34
      Mama Mdogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2007
      Posts : 1,356
      Rep Power : 859
      Likes Received
      677
      Likes Given
      73

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Quote By kipenga
      wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
      Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
      Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
      My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
      Nawasilisha.
      Ondoa hekaya za Abunuasi hapa, kama huna watu wa kuwasimulia hadithi za kuburudisha, kamusimulie nyanya au babu yako, kudadadeki.
      Anyone who has never made a mistake has never tried anything new - Albert Einstein
      No problem can be solved from the same level of consciousness that created it
      - Albert Einstein

    18. #35
      HYGEIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Location : Moshi
      Posts : 1,459
      Rep Power : 4498
      Likes Received
      641
      Likes Given
      657

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Hii itakuwa Part II ya DVD ya afande Kova! Iweje huyo mkenya aende kuona wahanga wa ajali na kuwatambua aliokuwa nao? Hii yote ni komedi ya Kova.
      MGENI RASMI: CCM OYEEEEEE!
      WANANCHI: HAITOKIIIII. HAITOKI!
      (Kwa Hisani ya Wanamtwara)

    19. #36
      kibati kichakavu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th March 2012
      Posts : 16
      Rep Power : 367
      Likes Received
      0
      Likes Given
      6

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      duu!yule bwana si yuko lock-up?alifikaje cbumbe hata akaweza kuwatambua wale jamaa?ukistaajabu ya bwana musa...........

    20. #37
      NusuMutu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Mpulungu
      Posts : 421
      Rep Power : 471
      Likes Received
      74
      Likes Given
      20

      Default

      Nchi ya uvumi,tetesi na ujinga ujinga

    21. #38
      msenda's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th July 2012
      Posts : 22
      Rep Power : 349
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Chondechonde matusi waungwana, wengine tumefunga

    22. #39
      Vonix's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2011
      Posts : 564
      Rep Power : 521
      Likes Received
      73
      Likes Given
      109

      Default Re: Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

      Huu upuuzi mpe afande makengeza kusapoti movie yake.

    23. #40
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,195
      Rep Power : 2094
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      313

      Default

      hahaaaa kova weee

    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...