Show/Hide This

  Topic: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

  Report Post
  Results 1 to 13 of 13
  1. Bulah's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th August 2011
   Posts : 166
   Rep Power : 513
   Likes Received
   14
   Likes Given
   1

   Default mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   jamani kwa anayejua mishahara mipya baada ya kuongezwa au ni asilimia ngapi iliyoongezwa mwezi huu wa saba atujuze au mwenye waraka

   nawasilisha...

  2. happiness win's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Posts : 2,257
   Rep Power : 85908611
   Likes Received
   1148
   Likes Given
   340

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Tulia; ndio macalculation yanafanywa usije wafanya waghairi bureee!
   KANDA MBILI likes this.

  3. Kennedy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2011
   Location : Everywhere
   Posts : 7,152
   Rep Power : 701768
   Likes Received
   1482
   Likes Given
   3200

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Nadhani mkuu hata huo waraka unaweza usikusaidie kimeongezwa kidogo ili watumishi wote walipe kodi. Yaani lengo kila mtumishi alipwe kuanzia 170000 halafu akatwe kodi.

  4. Bulah's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th August 2011
   Posts : 166
   Rep Power : 513
   Likes Received
   14
   Likes Given
   1

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   mmh....!!! siasa ndo zenye hela... dawa kujiunga tu

  5. Sibhonike's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th April 2011
   Posts : 155
   Rep Power : 530
   Likes Received
   14
   Likes Given
   6

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Hiyo ndio serikali ya HB...

  6. KIDUNDULIMA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2010
   Posts : 638
   Rep Power : 659
   Likes Received
   104
   Likes Given
   317

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.

  7. hovyohovyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2012
   Posts : 501
   Rep Power : 534
   Likes Received
   127
   Likes Given
   44

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Kidundumila, Asante kwa ufafanuzi mzuri.
   Quote By KIDUNDULIMA View Post
   we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.

  8. TEGEMEA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2011
   Posts : 369
   Rep Power : 582
   Likes Received
   32
   Likes Given
   4

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Mie nasubiri,nione miujiza.

  9. SOLOMO's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Location : kigoma, Tanzania
   Posts : 73
   Rep Power : 449
   Likes Received
   11
   Likes Given
   7

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Haiwezekani Watanzania wahangaike huku na kule kutafuta Waraka wa mishahara ambayo ni haki yao kufahamu na kuweza kupanga bajeti za maisha haya magumu kama chuma! Mimi naona Serikali yetu ni kama Punda aliyekufa sasa watanzania tunajaribu kumpiga viboko ili atembee! Yeyote aliyefanikiwa kupata waraka huu atusaudue wana JF tafadhali!

  10. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,851
   Rep Power : 8791
   Likes Received
   1903
   Likes Given
   220

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Subiri mwezi wa serikali
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  11. Bornvilla's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2011
   Posts : 839
   Rep Power : 673
   Likes Received
   210
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By KIDUNDULIMA View Post
   we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.
   Well said! Thanx

  12. Godwishes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th August 2011
   Posts : 487
   Rep Power : 576
   Likes Received
   63
   Likes Given
   0

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Kwa mwendo huu,lazma wengne wafie njiani,na tutakaofika tutafka tuko hoi hae

  13. Massawe G. I's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th July 2012
   Posts : 112
   Rep Power : 453
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

   Fakama

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...