ccm wamekausha
ccm wamekausha
angejiuzulu kwa hili la leo, nilishangaa sana asee nilipoona akiongea kwenye tv. au kwasababu aliomba mpinzani, angeomba mbunge wa ccm basi angekubaliwa bila kupingwa
Promises are comfort to a fool
makinda na makinda yake ya ccm wote vilaza...
SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI
Hili lilikuwa jambo la kutumia common sense tu mama yangu...Ona sasa, umepanda kitu cha pekee ambacho hakitawatoka watu wengi makini vichwani mwao.
Naamini pia percent fulani ya watu ambao walikuwa waipigie kura ccm mwaka 2015 wataghairi kwa tukio la leo.
Akifa hemed msangi na kova
Laughing Faces Do Not Mean That There Is Absence of Sorrow! But it Means That They have The Ability to Deal With It!
Huyu mama alipewa uspika kwakuwa alikuwa na jinsia tofaut na wagombea wenzake! Ila sio kwa uwezo wake wa kufikiri,kutenda au uzoefu huyu mama ni bonge la kihinyo!
nimeskia itv wanasema wamekufa watu 24, na meli ilikua na jumla ya watu 250, na watoto 31, wafanyakaz 9, imezama kufuatia wimbi lililo ipiga mel hiyo.. Inasemekana meli ilikuwa mbovu mno, Ajali zimekuwa nyingi kimsingi haya yote yanaa ashria na kujibu au kutoa uthibitisho kuwa serikal yetu n dhaifu..
Inasikitisha sana, kikombe cha Babu kimewaharibu akili, hawajui wapi pakufanya maamuzi sahihi, MAKINDA tafakari!
hivi kwa spika makinda na ccm hata zikizama meli zote tanzania bunge haliwezi kuahirishwa kwani hakuna hata moja itakayozamia dodoma.
hahahahahah...............haha hahah.......................ha hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
Hakika hii solidarity ya wabunge wetu kule Dodoma leo imeweka rekodi mpya mno kisiasa ndani ya mipaka yetu.
In a nutshell, it was such a cleaderer demonstion of UNITY IN A DIVERSITY ALL AGAINST ANIMOSITY OF OUR NOW AGE-LONG MUCH INSENSITIVE parliament in Dodoma.
Speaking Openly, without fear!
These are challenging times to lead parliament PhD. Inatakiwa mtu ambaye has a balanced mind. Unazi ndio unamuweka pagumu mama Makinda.
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
huyu bibi ni mdudu anadhani atadumu milele kwenye hicho kiti, mm nataka nimwambie ajue anapita tu hapo kiburi chake kisiwahusishe na jamii, nawapongeza wabunge wapinzani na hiki kitendo cha huyu mdudu kiwe ndio mwisho,waoinzani shirikianeni zaid mukiwemo bungen.
Napita tu
Follow Us Here