JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Meli ya MV Skagit yazama

  Report Post
  Page 7 of 17 FirstFirst ... 56789 ... LastLast
  Results 121 to 140 of 338
  1. Mtu wa Pwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th December 2006
   Posts : 4,424
   Rep Power : 1572
   Likes Received
   241
   Likes Given
   362

   Default Meli ya MV Skagit yazama

   inasemekana MV seagul ikitokea Dar kuelekea zanzibar imezama. kila tupato habari tutazidi kuhabarishana

   Update:
   Ilikua na abiria 200 na juhudi za uokoaji zinaendelea na tayari baadhi ya watu wameokolewa wakiwa hai na wengine bado wanaelea wakiwa na maboya. Taarifa za vifo bado hazijathibitishwa japo ukweli ni kwamba vifo vipo. Meli hiyo imewahi kuripotiwa kuwa mbovu mara kadhaa.
   Attachment 59156
   Mkandara, BAK, Elli and 12 others like this.


  2. KALYOVATIPI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2011
   Posts : 1,248
   Rep Power : 651
   Likes Received
   141
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By mito View Post
   Mkuu umenena vema lakini umeharibu hapo kwa red. Usiwe biased kiasi hicho, au una uhakika wanaume hawamo?
   wafao wengi ni hao nlowataja kaka hata kesho utackia

  3. Anheuser's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2011
   Posts : 1,592
   Rep Power : 779
   Likes Received
   436
   Likes Given
   205

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Kazi ya Mungu haina makosa.

  4. Baba_Enock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Location : "On-board MH370"
   Posts : 6,143
   Rep Power : 2012
   Likes Received
   1375
   Likes Given
   1407

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Well - "Liwalo na Liwe" - (Kayanza Mizengo Peter Pinda)

   "
   Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. "

  5. bluetooth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2011
   Posts : 2,772
   Rep Power : 1181
   Likes Received
   351
   Likes Given
   53

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   ndiyo maana hata ma-meli ya iran yanapewa vibali kutumia vya huku nchini kwetu

   maladministration of our government, very weak and careless government

  6. Mwanaweja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Posts : 3,541
   Rep Power : 1175
   Likes Received
   490
   Likes Given
   1081

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Mungu awaokoe katika wimbi hili la ajari tunawaombea wapate kuokolewa

  7. JF SMS Swahili

  8. BONGOLALA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th September 2009
   Posts : 8,189
   Rep Power : 2181
   Likes Received
   2124
   Likes Given
   425

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   serikali dhaifu waziri atasema(SERIKALI IMEJIPANGA AJALI KAMA HII ISITOKEE TENA)huku kila kukicha zinaua raia

  9. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 18,478
   Rep Power : 23879031
   Likes Received
   6072
   Likes Given
   5858

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Mungu saidia!

  10. matumbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2011
   Posts : 3,631
   Rep Power : 1751
   Likes Received
   1186
   Likes Given
   981

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   poleni sana waZNZ...ila jukumu la kuokoa inabidi muwaachie waBara,iyo shughuli inaitaji watu wakakamavu..
   Usiibe kabla giza alijaingia....

  11. andreakalima's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd June 2012
   Posts : 158
   Rep Power : 429
   Likes Received
   61
   Likes Given
   1

   Default Breaking news: Meli mv. Skaget inazama zanzibar

   Hivi tunavyozungumza Meli MV. Skaget iliyokuwa inaelekea Zanzibar ikiwa imebeba abiria zaidi ya 200 inazama Zanzibar.

  12. Kurunzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2009
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 2,801
   Rep Power : 1106
   Likes Received
   563
   Likes Given
   277

   Default

   Quote By Edson View Post
   mara mv seagul mara mv karama....ni meli ipi hasa imezama?
   Mkuu Mv Seagual ndiyo imezama leo na Mv Karama ilizima juzi usiku mbona imetangazwa na ITV jana.

  13. njiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2009
   Location : ax^2+bx+c=0
   Posts : 6,191
   Rep Power : 889943
   Likes Received
   1325
   Likes Given
   213

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Quote By Doreen22 View Post
   Kumbe hata meli zinazidiwa na upepo, mi nilidhani mashua tu, au kulikuwa na mawimbi ya kitafranitafrani

   Yeh inawezekana .. hata hivo habari hizo nimezipata kutoka kwa mzenji flani... huko huko TZN
   Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
   My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

  14. Yericko Nyerere's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Location : Kigamboni, DSM
   Posts : 10,290
   Rep Power : 1838485
   Likes Received
   6254
   Likes Given
   442

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   BBCAfricaHYS Confirmed that a ferry travelling from Dar to Zanzibar capsized. Rescue effort on-going. Reported 220 on board #zanzibar

  15. Elli's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 12,889
   Rep Power : 2142764
   Likes Received
   4413
   Likes Given
   3733

   Default Re: Breaking news: Meli mv. Skaget inazama zanzibar

   Hapana ni SeaGull sio hio uliyotaja, au ni jina lingine? Kuna thread inaripoti tayari
   ...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???

  16. samora10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2010
   Location : Kwa-Gude
   Posts : 3,724
   Rep Power : 1244
   Likes Received
   887
   Likes Given
   1338

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   PIcha hizi zilipigwa mapema na abiria aliyekua angani kwenye ndege baada ya pilot kuspot hiyo meli

   ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

  17. silver25's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2010
   Location : DSM
   Posts : 719
   Rep Power : 638
   Likes Received
   26
   Likes Given
   21

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Mtumeeee
   Selikali hapa inapaswa kuwajibika Kuanzia Waziri hadi Takataka nyingine zinazo husika... Sumatra nanyie Muwajibike Kwanini muache Meli mbovu ziendelee kusafirisha Abiria?

  18. samora10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2010
   Location : Kwa-Gude
   Posts : 3,724
   Rep Power : 1244
   Likes Received
   887
   Likes Given
   1338

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Aerial pixs.. utaona bbadhi ya abiria wakiwa kwenye maboya

   ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

  19. mndwadage's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2012
   Posts : 346
   Rep Power : 461
   Likes Received
   67
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By matumbo View Post
   poleni sana waZNZ...ila jukumu la kuokoa inabidi muwaachie waBara,iyo shughuli inaitaji watu wakakamavu..
   wabara wenyewe hawana vifaa mpaka waje wasauzi.!
   matumbo likes this.

  20. NATA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2007
   Posts : 4,323
   Rep Power : 8477
   Likes Received
   1177
   Likes Given
   399

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Mh jana niliona taarifa ya habari kuwa ilivutwa sasa kama ilianza tena safari leo, watakuwa wamefanya makusudi kabisa .

   Tajiri na wahusika wa meli hii ni wazi watakuwa na kesi ya kujibu ya mauaji ya makusudi.

  21. silver25's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2010
   Location : DSM
   Posts : 719
   Rep Power : 638
   Likes Received
   26
   Likes Given
   21

   Default re: Meli ya MV Skagit yazama

   Quote By samora10 View Post
   PIcha hizi zilipigwa mapema na abiria aliyekua angani kwenye ndege baada ya pilot kuspot hiyo meli

   Picha ziko wapi mbona hatuzioni?

  22. Doreen22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2012
   Posts : 478
   Rep Power : 651
   Likes Received
   73
   Likes Given
   7

   Default

   Acha ujinga, nazungumzia upepo ulivyokuwa mkali kwetu, nikifananisha na huyo aliyesema kulikuwa na upepo mkali, pengine bahari ilichafuka, tibuka, so kama sikuwa karibu sana na bahari unafikiri suala la Mimi kuappriciate kulikuwa na upepo mkali ningelifananisha na niliouona wapi leo hii?!
   Quote By KALYOVATIPI View Post
   watu wanajadili vitu vya maana kama ubovu wa meli we unatangaza eti nguo zimekauka nani ana nguo?

  23. JF SMS Swahili

  Page 7 of 17 FirstFirst ... 56789 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...