akisoma hotuba ya bajeti mh nchimbi ametangaza kuongeza posho ya chakula kwa jesh la polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto kutoka 100,000 hadi 150,000
akisoma hotuba ya bajeti mh nchimbi ametangaza kuongeza posho ya chakula kwa jesh la polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto kutoka 100,000 hadi 150,000
Kwani zinatosha? Ndiyo wataacha ungunguri wao...
na zile za nyongeza ya mwaka 2011/2012 zilikwenda wapi?
So what next.
They have to be paid retrospectivelly from July 2011
labda wanaweza kuwaongezea zote katika bajeti ya mwaka huu pamoja na zile za 2011/2012
Sijasikia zile 50,000/= zilizopanda toka 2011 julay kama zitalipwa katika malimbikizo haya.Yaani 50,000 x 12 months = 600,000.Hizo ni nyongeza ya mwaka jana.
Sasa ongeza 600,000 na hizi 150,000 wanatakiwa wapewe 750,000/= katika mwezi huu.Ndicho tulichokuwa tunahitaji kusikia bungeni leo.
Follow Us Here