Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Waziri membe athibitisha mbele ya umma kwamba ni kweli serikali iliyo madarakan ni DHAIFU.

    <
    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Jotojiwe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : Tanzania
      Posts : 140
      Rep Power : 389
      Likes Received
      30
      Likes Given
      8

      Default Waziri membe athibitisha mbele ya umma kwamba ni kweli serikali iliyo madarakan ni DHAIFU.

      Ndugu zangu wana jf kama mlimsikiliza waziri jana ktk kile kipindi cha dakika 45 itv pengine ulipata kusikia akikiri yakua lipo kundi lenye uwezo wa kifedha nje ya serikal ambali alina mamlaka lakini kwa kutumia fedha zao wanakua na mamlaka na maamuzi ktk serikali, yani kiufupi ni kwamba uongoz wa nchi hii sio wa hawa viongoz rasmi walioko madarakan bali niwa hawa wengine wenye nguvu za fedha na utashi wa kueza kuivuruga serikali rasmi.

      Nawakilisha hoja anaye pinga basi atupatie tafsiri ya ile kauli yake.

    2. Miaka 50

    3. #2
      NATA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2007
      Posts : 4,255
      Rep Power : 8416
      Likes Received
      1133
      Likes Given
      390

      Default Re: Waziri membe athibitisha mbele ya umma kwamba ni kweli serikali iliyo madarakan ni DHAIFU.

      Nilimsikiliza anaonekana ana visasi maana alikuwa akiapa kwamba akioteshwa urais watamtambua hawa wanaomfuata fuata.

      Halafu hawa vijana wachadema walienda kwake wakiwa na njaa zaolol!

    4. #3
      Gama's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th January 2010
      Posts : 4,576
      Rep Power : 1359
      Likes Received
      425
      Likes Given
      621

      Default Re: Waziri membe athibitisha mbele ya umma kwamba ni kweli serikali iliyo madarakan ni DHAIFU.

      Naungamkono hoja.

    5. FemaTV & Radio

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...