- Wandugu wapenzi tupo huku Osterbay: at Kenyatta Road, karibu na Chole Road, tunafanya Fundraising ya kuwasaidia watoto wa Yatima Dodoma, kwa kushirikiana na Kinjekitile Mwiru. Nawaomba sana wale wote wenye huruma na kuelewa kama sisi kwamba hawa watoto hawakuomba kutokuwa na wazazi kama tulionao sisi, mjiotkeze hapa tupo mpaka usiku wa saa mbili.
- Kinachotakiwa ni kiingilio tu Shillingi 10,000 ambapo pia utaweza kuosehwa gari lako kwa hicho kiingilio, karibuni sana people tuweke itikadi na tofauti zetu pembeni na tuwe One Peopel, One Nation Tanzania na One Great JFers and help this kids!!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA HASA WATOTO WAKE!!
William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA DAR & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA.
Kwa nini hai make sense? Watu ambao ni yatima hawazai?
Haimake sense kwangu kutokana na combination ya hiyo statement/ujumbe na heading,kama inamake sense kwako ni sawa tu.Hao yatima walizaa wakiwa na umri gani ili tuweze kujua kama watoto wao wanahitaji msaada?
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Hao yatima walizaa wakiwa na umri gani ili tuweze kujua kama watoto wao wanahitaji msaada?
Kwa hiyo kumbe kuna umri ambao yatima akizaa basi topic hii ya kuwasaidia watoto wa yatima ina make sense! Basi usingekuwa judgmental kabla ya kuuliza huo umri unaouulizia sasa.
Kwa hiyo kumbe kuna umri ambao yatima akizaa basi topic hii ya kuwasaidia watoto wa yatima ina make sense! Basi usingekuwa judgmental kabla ya kuuliza huo umri unaouulizia sasa.
Sikuelewi.Sorry.
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Kwa hiyo kumbe kuna umri ambao yatima akizaa basi topic hii ya kuwasaidia watoto wa yatima ina make sense! Basi usingekuwa judgmental kabla ya kuuliza huo umri unaouulizia sasa.
acha zako mkuu jitu zima linalojitegemea linazaa watoto halafu tuliite yatima wapi na wapi
"Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?
Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?
Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?
Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.
Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
Kwa maana hiyo unataka Mnikulu asiwe na kazi ya kutoa zawadi pale Ikulu kwa yatima wakati wa sikukuu!
Kwa maana hiyo unataka Mnikulu asiwe na kazi ya kutoa zawadi pale Ikulu kwa yatima wakati wa sikukuu!
Unachoshindwa kufahamu ni kuwa Kikwete ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ikulu ni ofisi ya Rais. Urais ni taasisi na si mtu binafsi kama huyo mtoto wa Malecela na mtoto wa Kingunge.
Kikwete kama Kikwete ana watoto yatima aliowachkuwa anawalea na hawatofautishi na wanawe na hawajijui kabisa wao ni yatima. Au hujui hilo?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Unachoshindwa kufahamu ni kuwa Kikwete ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ikulu ni ofisi ya Rais. Urais ni taasisi na si mtu binafsi kama huyo mtoto wa Malecela na mtoto wa Kingunge.
Kikwete kama Kikwete ana watoto yatima aliowachkuwa anawalea na hawatofautishi na wanawe na hawajijui kabisa wao ni yatima. Au hujui hilo?
Naomba uielewe Mkuu. Mimi sijamsema rais Kikwete. Mimi nimemtaja Mnikulu ambaye alikuwepo na atakuwepo kwa rais yeyote ambaye atakuwepo Ikulu! Alikuwepo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na atakuwepo kwa rais mwingine 2015!
Follow Us Here