Jamani napata wasiwasi mno humu ndani kua it has come to this level , someone is asking an important thing here, and needs to be informed but lijitu limekaa kujibu utumbo tu mara kilaza JK mara hiki,
Napata tabu kuamini Huko tunakokwenda Tanzania is gona be failed state if we continue accommodating this kind of people's around us...ni upuuzi kabisa watu humu hujifanya wajuaji sana na hawako objective,
Sasa inamaana gani mtu anataka kujibiwa wewe unaleta Siasa,
Si kawaida Hawa jamaa kukaa njiani tumezoea kuona traffic police sasa kuna watu mbali mbali wengine wanajeshi pengine wanajua waache wajitokeze watuhabarishe wewe hujui tulia unapungukiwa nini kukaa kimya ..
Taifa hili tunatengeneza kizazi kijinga endapo zile disadvantage za hizi forum ambazo hazitoi utambulisho halisi wa mtu,tukiwa sehemu kubwa ya mambo yetu yamejikita katika negativity....
Tujuzeni mnaojua .
Follow Us Here