Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 69
    1. #1
      Ronn M's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2012
      Location : Moshi~Arusha
      Posts : 1,283
      Rep Power : 612
      Likes Received
      660
      Likes Given
      403

      Default Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

      Nchemba anasema ameuza vx v8 lake kununua motor za maji kwenye vijiji kama kumi hivi! Then anasema leo

      'sijapandisha jazba maana naongea mambo ya msingi'. Kisha anamkumbusha spika kuwa 'siku saba' zimepita kwa

      ule ushahidi wa Mnyika!

      Kumbe,

      1. Kama Vx V8 moja linanunua motor kwa zaidi ya vijiji kumi, je yakiuzwa mia?

      2. Kumbe Mwigulu kwa akili zake huwa anaamua kupandisha jabza akiwa anaongea mambo yasiyo ya msingi.

      Hii ndio akili ya CCM!
      Uswe, Sting and Lynix like this.
      'Whoever sheds the blood of a man, by man shall his blood be shed; for in image of God has God made man. (Gen 9:6)'

    2. Miaka 50

    3. mka
      #41
      mka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 235
      Rep Power : 733
      Likes Received
      47
      Likes Given
      210

      Default Re: Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

      1. Ameuza hiyo V8 shilingi ngapi?
      2. Hiyo pampu ya maji amenunua shilingi ngapi?
      3. Je kuna ushahidi mwingine wa kuunga mkono maneno yake kuwa ameuza VX V8 kwa ajili ya kununua pampu?

    4. #42
      BONGOLALA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 4,905
      Rep Power : 1478
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      128

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      iramba kuna upepo sana,angesimamia govt ifunge windmill pump za maji kila kijiji!ipo siku atamuuza mkewe kununua chalk

    5. mka
      #43
      mka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 235
      Rep Power : 733
      Likes Received
      47
      Likes Given
      210

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      1. Ameuza hiyo V8 shilingi ngapi?
      2. Hiyo pampu ya maji amenunua shilingi ngapi?
      3. Je kuna ushahidi mwingine wa kuunga mkono maneno yake kuwa ameuza VX V8 kwa ajili ya kununua pampu?
      Yangtze likes this.

    6. mka
      #44
      mka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 235
      Rep Power : 733
      Likes Received
      47
      Likes Given
      210

      Default

      Quote By Patric Richard
      ALIMUUZIA NANI??LINI??SHILINGI NGAPI??WEKA REGISTRATION NUMBER YA HILO VX G8 HAPA NA KADI YA UMILIKI??ALILINUNUA WAPI LINI KWA MAPATO GANI???NANI ALINUNUA HILO GARI

      PUMP ILINUNULIWA KWA SHILINGI NGAPI WAPI NA LINI??WEKA RISIT HAPA

      USISAHAU TAREHE KWENYE KILA ITEM MENTIONeD
      Pokea like mkuu

    7. #45
      Said Bagaile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2011
      Posts : 538
      Rep Power : 508
      Likes Received
      206
      Likes Given
      11

      Default Re: Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

      Quote By mka
      1. Ameuza hiyo V8 shilingi ngapi?
      2. Hiyo pampu ya maji amenunua shilingi ngapi?
      3. Je kuna ushahidi mwingine wa kuunga mkono maneno yake kuwa ameuza VX V8 kwa ajili ya kununua pampu?
      Kwa hiyo anataka kutuaminisha, ukiacha leo, siku nyingine zooote alikuwa anaongea Upuuzi tu bungeni? Kweli kazi bado tunayo.
      Dear Lord, help me be the kind of person my Dog thinks I am.

    8. #46
      Yangtze's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 30
      Rep Power : 359
      Likes Received
      4
      Likes Given
      23

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Quote By Prisoner 46664
      Ni udhaifu wake wa kushindwa kushawishi serikali ipeleke pampu jimboni..hana haja ya kujisifia
      Umenikumbusha ule msemo wa John F. Kennedy! Issue hapa ni kwamba tusisubiri serikali itufanyie baadhi ya mambo bali kama yako ndani ya uwezo wetu tuyafanye!

    9. #47
      Tukundane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2012
      Posts : 887
      Rep Power : 808
      Likes Received
      138
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Yangtze
      Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

      Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
      Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

      Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
      Wabunge wanao fanya vitu vya maana wako wengi lakini huwa hawajisifu na na wazuri kuliko hata yeye hapa anajishauwa tu.hiyo pampu aliyo lazimika kuuza hiyo gari yenye thamani ya tsh90,000,000/=inathamani ya sh ngapi?.au aliuza kwa ajili ya mambo yake na mabaki ndio akanunulia pampu na kujitangaza ili aonekane amefanya kitu cha maana kuliko wengine wakati kumbe kuna wabunge wamefanya vitu vya maana kuliko hilo lakini huwezi ukawasikia wakiweweseka.wametulia tuli.

    10. #48
      MtamaMchungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 1,541
      Rep Power : 807
      Likes Received
      710
      Likes Given
      64

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Nchi omba omba yenye raia wapenda misaada.

    11. #49
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 780
      Rep Power : 559
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By Kibagata
      huyu ameshakiwa kubwa jinga hata umpambe vipi ameshachafuka. NI GAMBA TU
      Acha kuishi kwa kukariri wewe

    12. #50
      sambestman's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Posts : 38
      Rep Power : 380
      Likes Received
      16
      Likes Given
      2

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      alitaka nani auze gari lake ndo akawawekee pump kwao? tatizo ni serikali yake haiwajali wananchi...mi ninaamini angesema amerudisha gamba ameamua kujiunga na makamanda wa cdm ili adai maji mpaka kieleweke angeeleweka zaidi...lakini kuuza gari lake hilo ni shauri yake na magamba. Hapo hastahili pongezi yeyote kwa sababu kwanza yeye ni gamba gumu sana linalohifadhi kodi zetu kwa msingi wa uchumi wa chama tawala

    13. #51
      Yangtze's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 30
      Rep Power : 359
      Likes Received
      4
      Likes Given
      23

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Quote By MKALIKENYA
      Huo ni upuuzi mtupu ............
      This is unfair.....Kada wa CCM Sabodo akichimba visima kwa ajili ya wananchi hua tunampongeza...sasa iweje mbunge wa Iramba anunue pampu za maji kwa wananchi wake halafu tuite hicho kitendo ni upuuzi? Sidhani kama wale wanaofaidika na pampu hii watakua na mawazo kayo yako ktk hili kwani amewaokolea muda mwingi uliokua unapotea. Isitoshe mbona Rostam Aziz alikua anatumia sehemu ya fedha zake kupeleka maendeleo Igunga lkn hatukuona ni upuuzi?

    14. #52
      shamsengi's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 9
      Rep Power : 361
      Likes Received
      2
      Likes Given
      8

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      porojo hizo jamani,sisi tupo huku hatuna maji ankokutaja mwanduigembe mpaka kesho hakuna kitu kama hicho.labda aliuza kwenda kwa nyumba ndogo.

    15. #53
      LOVI MEMBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2012
      Posts : 514
      Rep Power : 465
      Likes Received
      79
      Likes Given
      5

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Quote By Yangtze
      Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

      Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
      Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

      Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
      hapana mtu huyu hana moyo wala nini anatafuta ujiko huyu. bila shaka hii atakuwa amefadhiliwa na Kikwete kuzuga watu siamini. hii ni danganya toto. magamba hawana asili hiyo . HUYU ANATAFUTA SIFA. TUMEDANGANYWA MIAKA YOTE ETI RA ALICHIMBA MALAMBO @ KIJIJI HUKO IGUNGA SISI, LAKINI JANA TUMESHANGAZWA NA KILIO CHA DR. KAFUMU. TUANGALIE SANA ASIJE AKAANZA KUSEMA AMECHIMBA VISIMA @ kijiji TAKE FROM ME MAGAMBA WANAPWAYA HIVI SASA WANATAFUTA KILA NJIA KUPATA PA KUSINGIZIA

    16. #54
      Dabudee's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Posts : 129
      Rep Power : 377
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Basi auze vyote alivyo navyo awagawie maskini kwa vile serikali yake inadhani watu wataendelezwa kwa hisani itokayo mifukoni mwao hata kama hisani hiyo inatokana na pesa zetu hizi hizi nwalizoiba. Crazy fools.

    17. #55
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 780
      Rep Power : 559
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By Honolulu
      Hivi huyu anadhani propaganda kama hizo zitamsafisha? Ni mchafu tu, hata afanyeje ataendelea kuwa mchafu!!
      Kushinda lile jambazi la pale Arusha?

    18. #56
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,153
      Rep Power : 14294
      Likes Received
      4024
      Likes Given
      3290

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Quote By Yangtze
      Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

      Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
      Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

      Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
      kwani za EPA zimeisha au anatuzuga tu...juzi Arumeru alikuwa nagawa pesa kama hana akili iweje ameishiwa mpaka auze Vx V8...
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

    19. KUN
      #57
      KUN's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th October 2011
      Posts : 227
      Rep Power : 429
      Likes Received
      32
      Likes Given
      171

      Default Re: Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

      Quote By Ronn M
      Nchemba anasema ameuza vx v8 lake kununua motor za maji kwenye vijiji kama kumi hivi! Then anasema leo

      'sijapandisha jazba maana naongea mambo ya msingi'. Kisha anamkumbusha spika kuwa 'siku saba' zimepita kwa

      ule ushahidi wa Mnyika!

      Kumbe,

      1. Kama Vx V8 moja linanunua motor kwa zaidi ya vijiji kumi, je yakiuzwa mia?

      2. Kumbe Mwigulu kwa akili zake huwa anaamua kupandisha jabza akiwa anaongea mambo yasiyo ya msingi.
      Hii ndio akili ya CCM!
      huyu huwa ana kichaa

    20. #58
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,355
      Rep Power : 12597
      Likes Received
      5872
      Likes Given
      781

      Default

      Quote By FJM
      Bila kuremba maneno naomba nimwambie Mwigulu Mchemba kuwa ameuza gari yake kwa sababu ya upuuzi wake. Kazi ya mbunge ni kuisamamia serikali kwa niaba ya wananchi wake. Na kama sio upuuzi wa Nchemba na ushabiki wa kijinga wabunge wangeibana serikali ili itenge 35% ya bajeti kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Sasa wameicha na kilichobaki ni ngonjera bungeni.

      Na bado, itafika siku huyu mchumi daraja la kwanza atauza hiyo scarf anayofunga shingoni kununua dawa kwa wananchi wa jimboni kwake. Waombe mungu sana ukame usitokee mwaka huu kama ilivyotangazwa, kama tutakumbwa na ukame wabunge wa CCM will go down the drain.
      FJM,
      Hivi mzee Ndesamburo anavyojenga visima kwa pesa yake binafsi unaweza kweli kusema ni upuuzi?

    21. #59
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 780
      Rep Power : 559
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By Crashwise
      kwani za EPA zimeisha au anatuzuga tu...juzi Arumeru alikuwa nagawa pesa kama hana akili iweje ameishiwa mpaka auze Vx V8...
      Vp lile la KUB alilolirudisha kwa mbwembwe baadae akazunguka kichochoroni akalikarua kimyakimya? hahahaha CHANAGA NI CHANAGA TU

    22. #60
      KakaKiiza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2010
      Location : Here Where you see me!!
      Posts : 6,055
      Rep Power : 16331
      Likes Received
      2229
      Likes Given
      1267

      Default Re: Nimeuza gari langu v8 kwa ajili ya kununua pampu - mh.mwigulu

      Quote By Yangtze
      Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

      Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
      Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

      Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
      Hajawahi kumiliki VX V8!!alikuwa na VX 6Cylinder na siyo 8Cylinder na hana lolote Mchemba 2015 mwaka wake wa mwisho...kama amekutuma kamwambie tuna sema hivyo!!
      Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...